Search results

  1. M

    Kama Tanzania itaishinda corona kutokana na msimamo wake, Rais Magufuli atakuwa kivutio cha watalii kama mfalme Suleiman

    Mzee unatisha[emoji2] [emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    ZEC: Hakuna Chama wala Mgombea aliyejitoa kwenye Uchaguzi wa marudio Machi 20

    Ila dhulma zingine zinatia hasira sana. Ndo maana kuna wengine huchukua maamuzi magumu sana. Sasa wanalazimishwa kushiriki uchaguzi
  3. M

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Baadab ya vyama vya upinzani kuungana, kete ya udini haina mashiko, sasa ukanda unaanza kupandikizwa tena kwa kasi kubwa.
  4. M

    Kinachofanywa na ITV ni kinyume cha maadili

    ITV wako vizuri. kuonyesha sehemu zenye matatizo zaidi ni vyema ili wahusika wajue mapema na kutatua hayo matatizo ili tupate matokeo ya uchaguzi yanayo akisi maoni ya wananchi.
  5. M

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Add me too, please nataka nilime tikiti
  6. M

    Soma hapa (contents) za Makubaliano (MOU) ya CUF, CHADEMA, NCCR-Mageuzi na NLD

    Utawezaje kusaidia wananchi vizuri bila ya kuwa na cheo na mamlaka? Issue ni kutumia vizuri cheo na madaraka kwa manufaa ya wananchi.
  7. M

    Serikali mbioni kufilisi mifuko ya jamii

    Si ndo Mambo yetu ya uswahili yale, ukijua kuna ela itaingia unaanza kukopakopa, yeye anajua gas ipo ndo maana mambo meeeengi yako katika mipango yatafanyika, kama kuboresha daftari la wapiga kula, kula ya maoni, uchaguzi serikali za mitaa n.k. Ndo maana mtwara walikula kibano saana
  8. M

    Channel 10: Francis Godwin ateta, nusura auawe

    Amini usiamini mzee, polisi wanashangaza! utadhani kama vile hawana ubongo, ni shida sana wao ku-analyse information na kuja na reasonable conclusion!
  9. M

    Mdahalo wa Ugomvi: Ati Nyerere alikuwa Dikteta; aliua wengi...

    Kwa muono wangu mimi naona Nyerere hakuu kulinganisha na Mkapa na kikwete, labda uje na ushahidi kunishawishi vinginevyo.
  10. M

    RE: Nauliza kwanini Lema au Chadema hawajampeleka Lusinde Mahakamani

    Ni kweli anastahili kushtakiwa.
  11. M

    Bungeni: Shibuda aongelea hatma yake ndani ya CHADEMA!

    Shibuta tatizo lake ni mtu mwenye 'over comfidence' na anajiona yuko sahihi wakati wote, mtu akiwa hivyo always anakuwa ni tatizo mahali popote hivyo CDM wanalo hilo. kumfukuza sasa hivi si muafaka kabisa.
  12. M

    Mdahalo: Ndugai vs Lissu - Jumamosi Julai 30

    Ndugae yuko fiti nyie, hamkumbuki alivyojitahidi sana kuwashawishi waingereza waturudishie chenji!!!!!!!!!!!!!1
  13. M

    Jakaya Mrisho Kikwete: Rais mwenye kipaji na usikivu

    kweli anatufaa, naona hapo katika picha ( ya kwanza) yuko na wasanii wenzake ndio maana sanaa haiishi bongo.
  14. M

    Uongo wa Mizengo Pinda kuwekwa hadharani 14.02.2011

    Wabunge wengi wa CCM ni vilaza! wagumu kuelewa mambo,wanaosukumwa na ushabiki wa chama na kutaka kuwakomoa CDM, lazima watamfungia GL. Ikitokea hivyo, naunga mkono maandamano, mimi mwenyewe ntaandamana.
  15. M

    Kwa wana CHADEMA tu!

    Wakati ukifika nijulishe nikupe mchango wangu ingawa najua pa kukupata na kukuwakilishia mchango wangu
  16. M

    Kutengwa kwa wafuasi wa katoliki S/wanga, Ukweli umebaki pale pale

    Kwa kosa walilofanya walistahili adhabu kulingana na sheria za kanisa, sasa napata ugumu watu wanapo husisha mambo haya na siasa. Wadini wana fanya makosa na wakiadhibiwa wanatumia visingizio vya dini badala ya kuangalia matendo yao. utamaduni huu unaopandizwa Tanzania wa watu kutumia dini...
  17. M

    Nami nimejiunga

    Kwa hakika nimekuwa nikiifuatilia jf kama mgeni, sasa nimeona na mimi niwe natoa yangu maoni na kuchangia.Hodi hodi wana jf!!!! naamini tutaelewana tu maana "lugha" zenu nazitambua na nazipenda!!!!
Back
Top Bottom