Search results

  1. baba nanihii

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Wewe mwenyewe ndio my favorite. Hata kama Kuna sehemu kibao ulikua unauma-nje you ware still my favorite. Mostly ni vile unaisaka pesa na uko serious on it hata hujaonyesha dalili za kuwa ngoswe baada ya warimbwende kufanya bidii ya kukukimbilia na umenifunza sana hapo , ulinunua Bajaj...
  2. baba nanihii

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    IRYN: “I’m yours now.” MIMI: “Are you serious? You’re m…” Nilijikuta nimevutwa nimepewa ulimi kwa haraka ni kama alikuwa ananinyamazisha,… aisee ngoja tuishiie hapa kwa leo
  3. baba nanihii

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nimetoka kununua Leo jioni Pure German Shepherd Long coat laki nane. Tena muuzaji anasema huyu nimekupa kwasababu amebaki pekeake
  4. baba nanihii

    Msanii V2 yupo wapi na nyimbo yake ya Nasonga Mbele

    Huu wimbo ni Bora kabisa. Jana jioni nilikua nausikiliza taratiibu nikitoka kazini na stress za maisha ya kila siku Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
  5. baba nanihii

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nimechoka kuwa mpenzi msomaji Sasa niwe mpenzi mkomentiji. Hakunaga Demokrasia kwenye mahusiano au Ndoa ila hii Demokrasia yako tena multiparty inatupeleka kusiko Enewei mwambie Prisca achukuwe muhtasari wa kikao maana kaamua kuwa Katibu muhtasi Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums...
  6. baba nanihii

    Mazda demio 2004-2006

    Nnakujibu Kwa kuchelewa ila. Niliagiza mwaka jana na nipo nnadunda nayo sijapata changamoto yoyote tangu ifike na safari za above 500 km non stop imefanya za kutosha tu. Kama wewe ni mtunzaji hizo ten years itafika ila kama sio mtunzaji hata upewe land cruiser haitafika
  7. baba nanihii

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mkuu kichuguu pole na majukumu ya kutusaidia watanzania wenzako. Gari yangu inawasha taa ya over heat kila nikitembea zaidi ya km 160-180 na kwa mara ya kwanza ilipandisha na nilitakiwa kusimama kila baada ya km chache ili kusubiri engine ipoe baada ya safari hiyo nilienda kwa fundi akaniambia...
  8. baba nanihii

    Nina swali naomba kusaidiwa

    Angalia PM Sent from home
  9. baba nanihii

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Hakuna ila mkiwa mnapita rain Forrest unasikia sauti za wanyama Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
  10. baba nanihii

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Wabeba mizigo(potters) Sent using Jamii Forums mobile app
  11. baba nanihii

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Asante. Tulitumi Lemosho route Sent using Jamii Forums mobile app
  12. baba nanihii

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Angeulizwa akiwa mlimani angesema siwezi thubutu kufanya huu upuuzi tena. Ni majibu niliyoyatoa mimi Ila kwa sasa natamani hata kesho niambiwe anza maandalizi ya Kilimanjaro hiking Sent using Jamii Forums mobile app
  13. baba nanihii

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Uhuru nilifika mkuu. Ila nivokua njiani from barafu to stella nilianza kukata tamaa aisee Sent using Jamii Forums mobile app
  14. baba nanihii

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    I had full preparation but tulilala crater na kwasababu ya baridi ya crater nilivaa soks zote asubuhi sikutaka kuzipunguza nikavaa hiking boots tukaanza safari ya kurudi so viatu kubana ndio hapo kucha zikaharibika Sent using Jamii Forums mobile app
  15. baba nanihii

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Hahaha nilikua sijiangalii kwenye kioo Sent using Jamii Forums mobile app
  16. baba nanihii

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Acha tu. Tulishuka kwa two days. The first day nilivaa soks zaidi ya pair moja mixer kujigonga kwenye mawe ndio kucha zikapata damage na zilichange colour to black after two month zilitoka ila zinamea nyingine Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
  17. baba nanihii

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Kilimanjaro hiking ni more than experience. Nilipanda August 2018 na tukalala kilimanjaro crater. Nikiwa mlimani niliulizwa utapanda tena nikajibu never. Kwa sasa natamani kupanda tena na tena ingawa kucha zangu za vidole gumba vya miguu ziling'oka kwasababu ya mlima Natamani kila mtu apande...
  18. baba nanihii

    Umeoa/umeolewa ukiwa na umri gani!??

    Tatizo sio procedure. Tatizo waolewaji hawapo serious. Mbona waoji tupo tayari kufuata procedure.
Back
Top Bottom