Search results

  1. Yego jnr...

    Daverneius Jaimes a.k.a Dj khaled...

    Wild thougth
  2. Yego jnr...

    Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

    Hata mimi nimesaidiwa na ile post iliyopostiwa na member mwenzetu ya kusimamisha kama unataka kunya vile hahahaaa,kumbe ukiamua inawezekana
  3. Yego jnr...

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Asante jamaa mie baada ya kutendwa na wanawake niligeukia kwenye nyeto na nimeshindwa kujinasua,ngoja nijaribu njia yako kama nitaweza
  4. Yego jnr...

    PICHA 17: Kijiji ambacho kama huna boti huwezi kwenda hata dukani

    Hata mie mbongo nawezaishi huko
  5. Yego jnr...

    Ukweli usemwe: Tuliofanyiwa uhakiki ndio wenye uchungu na matapeli wa elimu. Hatutawaacha watambe!

    Kweli kabisa mkuu watu tunasota mtaani kumbe vyeti vyetu vinatumiwa na wengine
  6. Yego jnr...

    Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

    Asante kumbe na mm naweza fuatilia cheti changu kilichoibiwa na wezi cku wameiba nyumbani, ili mradi taratibu zimefuatwa!!!!
  7. Yego jnr...

    NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

    Mkuu ellyrehema nabii cku zote hakubaliki kwao, wataongea sana binafsi nampongeza sana rais Jpm
  8. Yego jnr...

    NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

    Umeota ngoja tuje tukuongezee na mkia maana, ili wewe uje kuwa rais kama umeona jpm hafai
  9. Yego jnr...

    Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

    Nimepata point moja hapo kwamba ukiroot cm inakuwa na uwezo was kutunza betri, naomba kujua maana ya kuroot ili nami niroot cm yangu kwan ninapowasha data cm yangu inakula chaji haraka sana
  10. Yego jnr...

    Looking for gentleman

    Uko mkoa gani dada
  11. Yego jnr...

    Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

    Hohehaee kama mimi nitakipataje mkuu,kwani kinaonekana ni kizuri sana
  12. Yego jnr...

    TANZIA: Mwanamuziki Papa Wemba afariki dunia

    Pole wanajf kwani anapokufa mtu wote tunaguswa,kwani wote safari yetu ni moja tofauti ni kutangulia tu,Mungu amlaze sawaswa na mapenzi yake Amina.
  13. Yego jnr...

    Serikali yaombwa kuingilia kati suala la wanafunzi wa shule za Muheza na Masuguru kukaa chini

    Nimestuka kweli,kusikia Masuguru nilidhani huku kusini kumbe kuna masuguru nyingine huko muheza Tanga,cjui masuguru ya huku kusini nao wana madawati au la! Cause ni kijijini sana kando ya mto ruvuma,border ya mozambique
  14. Yego jnr...

    SUMATRA na ratiba mpya ya mabasi

    Labda na ajali pia zitapungua kwani mwendo utakuwa wa wastani,haraka ya nn wakati unafika siku ya pili
  15. Yego jnr...

    TCRA yaweka namba ya kucheki simu fake! Kuanzia tarehe 17 June simu zote fake kufungiwa

    Jamani mwenzenu cjaelewa bado tunaangalia sasa hivi,ili tununue cm original au tunangoja hiyo june 17 ndiyo tujue cm zetu feki ili tuingie dukan kwa manunuzi ya cm nzuri zinazokubalika,ufafanuzi tafadhali mwenzenu mmeniacha.
Back
Top Bottom