Search results

  1. LadyJanja

    Nina degree ya Mass Communication, natafuta kazi

    Habari wana jf...mi ni msichana nna 27yrs nina degree ya mass communication. .natafuta kazi hata kama isiyoendana na professional yangu sababu nimeshafanya kazi ya customer service that was my last job..pia nimefanya kazi ya data entry .. kwa kuanza sichagui aina ya kazi coz najua safari moja...
  2. LadyJanja

    PM zangu zimejaaa

    Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao huko kwenye pm yan mtu anajiexpress hadi unabaki kucheka...ni nini kuniletea jam huko..afu wana...
  3. LadyJanja

    May 2016 bless me with a husband!

    Yan Mungu ntamganda mpaka kieleweke 2016 unitunuku na mume kabisaaa sio boyfriend....sijawah apa au kusema mwaka flan nipate mwenza ila huu mwaka 2016 yan nautolea macho in Jesus name na ntakuja kutoa feed back humu December 2016.. najua kuna wanawake wenzangu ambao nao wanaomba iwe hvo..hamna...
  4. LadyJanja

    Nahitaji kupungua uzito

    Yani nina 92kg nataka kupunguza uzito wa mwili at least nifike 80 if not 75 nataka mnishauri diet nzuri itakayo nisaidia nafanya mazoezi kidogo though sitaki dawa za kunywa ili nipungue uzito no. Nataka ushauri wa diet tuu my meal arrangement basi. (pls nipo serious maana kuna wengine...
  5. LadyJanja

    I miss being in relationship

    Duuuuh kua single ni shida saa ingine...yes unakua free at times but being with someone pia ina umuhimu wake.namiss kudeka,kuulizana uko wap, hangout na kuzinguana sometimes. .hahahahaaa (msipanic basi..i just say wat i fill maana kuna watu wana maushauri ya kuumiza roho).
  6. LadyJanja

    Ndoa za siku hizi kwanini ni shida?

    Yan siku hizi mtu hata unaogopa kuolewa ..yan watu wanalia na kulalamikia ndoa zao dooooh...mungu asaidie kizazi chetu tuu
Back
Top Bottom