Search results

  1. shabanilikassike

    Niliyoyaona leo, majambazi kuuawa ni haki kabisa

    Mm hata cku moja haitatokea kuwaonea huruma majambazi yakiuwawa kwa njia yoyote ile kwani hawa watu ni makatili sana, halafu wanaishi kifahari kwa kutoa roho za binadamu wenzao.
  2. shabanilikassike

    Huyu Diwani Amepoteza Mwelekeo!!

    Kwa upande wangu mm nasema amefanya vizuri kwani watanzania wanadharau sana lazima wafatiliwe ndipo watatekeleza waliagizwa.
  3. shabanilikassike

    Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Hamna jipya hii ni serikali ya awamu ya tano ni mabadiliko kwenda mbele sasa unashangaa nini, hii ni mbinu ya kuvuruga ccm jamani wanaccm tuwe macho mwacheni Magufuri afanye kazi wananchi wanataka mabadiliko ya kweli tukifanya mchezo wa kuadanganya wananchi basi tuseme baibai ccm2020
  4. shabanilikassike

    Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

    Sio kweli haupo makini kwa hili naona upo kiutani zaidi kwani Mume na mke bora hapatikani kwenye if fb yahoo na twitter.Zunguka tembea ipo siku utakutana uso kwa uso na unaemtafuta,na Inshallah kwa uwezo wa Allah huyo ndio atakuwa mume bora,
  5. shabanilikassike

    TUCTA yamvaa Makonda kwa udhalilishaji wa Wafanyakazi

    Makonda safi sana kwa ulichokifanya, kwani hao viongozi wameonesha dharau ya hali ya juu sana walitakiwa kufika saa tatu, wao wanafika saa tano, hii haivumiliki hata kidogo, hapa kazi tu, huu no uongozi wa awamu ya tano wote wanatakiwa kuwa makini na wanachoagizwa, walionyesha dharau sababu ya...
  6. shabanilikassike

    Uchokozi: Rais Magufuli unajua haya?

    Hongera sana Raisi kwani ww ni mkweli na unajua unachokitenda ucjali kwani hapa Duniani wote tunapita tu, tenda wema hapa duniani akhera ni mahesabu, wananchi tumekukubali sana kwani ww ni mtu wa kipee sana katika kuwatetea wanyonge ss tutakuombea kila kukicha kwa Allah akupe nguvu,afya na...
  7. shabanilikassike

    January Makamba: Kasi ya Magufuli, Majaliwa imeipa Uhai CCM

    Ni kweli kabisa sasa tunatembea vifua mbele mabadiliko tunaanza kuyaona cha msingi nikumuombea tu kwa Allah amzidishie uhai na afya tele aweze kutumbua majipu vizuri.
Back
Top Bottom