Hivi hawa wanaohoji uwezo wa Spika kumwita CAG kupata maelezo ya kile alichosema kuhusu Bunge wanajimbua kweli? Mbona kila siku hao ndio wanasema Bunge linaisimamia Serikali? Bunge likisimamia Serikali litatashindwaje kumsimamia CAG? CAG yupo Serikalini, si ndiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mzee anataka dezo zote apewe yeye. JK alipomhifadhi pale ikulu kwa kipindi kirefu kama waziri bila wizara maalun alifarijika sana, na kila siku bungeni ilikuwa kumsema JK alivyo na roho ya malaika! Ila JK alipokuja na jina la JPM kwenye uteuzi wa mgombea, akabadirika ghafla: hii cyo sawa...
Nyani haoni kundule! After all, North Korea is grossly mismanaged. Matatizo kibao hasa vijijini kwao.
Hata hivyo, kwa Tanzania kumpata rais JPM twaweza kuendelea kwa kasi zaidi kutokana na kupambana na mafisadi na wala rushwa.
Asante Mkuu kwa maelezo haya lakini bado siyo hasara kwa 7bu wakulima watalipwa 3300 kwa kilo wakati walanguzi waliwalipa pungufu, say 2600 kwa kilo. Hivyo, wakulima wanaweza wakitaka, kuwarudishia walanguzi hela hayo na wakulima wakabaki na faida ya 3300 - 2600 = sh 700 kwa kilo! Siyo haba. Ni...
Ila sijaelewa unaposema walishauza kwa wafanyabiashara halafu wanauziuza tena kwa serikali na kupata hasara. Kama wanauza mara mbili hasara inatoka wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.