Search results

  1. moyafricatz

    Foleni kubwa isiyo na msingi barabara ya Kilwa

    Tunaomba maaskari wa Kikosi cha Usalama wa Barabarani kuingilia kati kwani watu wanachelewa kwenye majukumu yao ya kitaifa, wanafunzi n.k. Kuna foleni kubwa inayoendelea kurefuka kutoka kwa round about ya kwa Aziz Ally inaendelea mpaka kwenye daraja la treni hapa Mtongani mpaka Mbagala mission...
  2. moyafricatz

    Ufukwe wa Coco Beach Umeuzwa?

    Habari Wakuu, Kuna fencing imewekwa hapa kuzuia. Watu wasiingie sambamba na tangazo kubwa la Manispaa ya Kinondoni likipiga marufuku. Ni nini kinaendelea hapo? Wajuzi karibuni.
  3. moyafricatz

    Tuko mtu TATU ndani ya track moja

    Tuko mtu TATU ndani ya track moja
  4. moyafricatz

    Kwenye miti hakuna wajenzi

    Ripoti ya Wizara.
  5. moyafricatz

    Uokoaji

    Tupe maoni yako.
  6. moyafricatz

    Unapataje Afya ya Akili ili hali unadaiwa namna hii?

    Unapataje AFYA ya Akili, ili Hali unadaiwa namna hii? Kanisani. 1. Unadaiwa Fungu la kumi 2. Ujenzi wa Kanisa. 3. Kumnunulia gari Mtumishi. 4. Ujenzi nyumba ya Pastor. 5. Mchango kwa wasiojiweza. Serikalini. 1. TRA 2: TOZO. 3: Leseni ya biashara. 4: Bill ya MAJI 5: Bill ya umeme 6:Tozo ya...
  7. moyafricatz

    Waliochaguliwa kuendelea na mchujo wa Mahojiano (Tanzania Airport Authority)

    Angalieni na hongera kwa walifahulu.
  8. moyafricatz

    Majina ya waliochaguliwa sensa Temeke

    Mkeka huo.
  9. moyafricatz

    Majina ya waliopita mchujo wa sensa Temeke

    Haya hapa wakuu
  10. moyafricatz

    Which countries are sending military aid to Ukraine?

    Which countries are sending military aid to Ukraine? In the Russian-Ukraine war, many countries including neutral non-aligned Sweden have started to send military aid. As the war between Ukraine and Russia continues to escalate after Moscow sent its troops into its neighbouring country...
  11. moyafricatz

    Dunduliza Fare ya Precision Air imeigwa na ATCL

    Wanabodi, Tarehe 13August 2021,shirika la ndege la Precision lilizindua huduma yao mpya iitwayo "DUNDULIZA FARE",Na niliona tangazo hili kwenye page yao "Sasa kupitia Precision Air unaweza kufanya booking ya tiketi yako na kulipia kidogo kidogo Anza kwa kulipia 50,000/- tu na uendelee kulipia...
  12. moyafricatz

    NIDA nisaidieni njia ya kupata namba ya kitambulisho (NIN)

    Wanajukwaa, Nina shida ya haraka sana ya kupata NIN toka kwa hawa waheshimiwa wa NIDA. Cha ajabu ni ngumu sana kupata huduma hii kwenye mtandao Nimejaribu kwa meseji ya kawaida kwenye ile menu ya *152*00# hakuna kitu. Kwenda kwenye website ya nida pia hakuna kitu. Nimepiga namba zote za huduma...
  13. moyafricatz

    Utofauti wa watu wa Dar na wa mkoani huu hapa

    Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako na mkewe na watoto stendi wamekuja kukupokea! Mnatembea kitambo na kufika kwake. Watoto waliobaki...
  14. moyafricatz

    Tuacheni kuangalia movies za mapigano sana na hizi videos games

    Wanajamvi, Nimeamua kuwaza tu nmje ya box kuhusu hili tukio la leo pale daraja la Salender. Nimeleta huku kwenye uzi wa entertainment maana huku wengi watakua na ufahamu mkubwa wa hii game iitwayo GTA Vice City. Kwa jinsi nilivyoona namna yule mwamba amefyatua risasi pale mbele ya ubalozi wa...
  15. moyafricatz

    #COVID19 Kurejewa upya kwa gharama za upimaji wa UVIKO-19 kwa wasafiri nchini Tanzania

    Tarehe 11 Agosti, 2021 Dare es Salaam. Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa UVlKO-19 Duniani, ambapo Tanzania ilipata kisa cha kwanza cha mgonjwa wa UVlKO-19 tarehe 16 Machi 2020, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo upimaji wa wasafiri wanaoingia na...
  16. moyafricatz

    Binti amlalamikia mpenzi wake kwa kumvalisha pete ya shilingi elfu 23,000

    MDADA - "Hi Nimevalishwa pete ya uchumba mwezi wa 6. Nilifurahi sana sababu sikutegemea. pete haina hata miezi 2 imeanza kupata kutu. Hata marafiki zangu chuo wameanza kunicheka kuwa nimevalishwa pete fake. Kuna rafiki wa mchumba wangu nimeongea nae ameniambia pete yangu ni ya elfu 23...
  17. moyafricatz

    Insp MJ Eliasi na WP 6052 jirekebisheni

    Wanajamvi, Leo muda huu kwenye bus la ruti ya Kitunda- Kivukoni kumetokea na tukio ambalo ni la kawaida ila kwa namna ya lilivyokua handled ni very un professional. Ni kweli dereva ana makosa kwa kushusha abiria sehemu ambayo sio ya kituo hapa kwenye ujenzi wa flyover VETA. Na baadae Insp wa...
  18. moyafricatz

    Ufaransa

    Sasa itakuaje?
  19. moyafricatz

    The rot at Uganda Airlines

    Dear kakensa, I want to bring to open the troubles at our new Uganda Airlines and how it is going to collapse soon. This place has become like Hell after the suspension of some staff orchestrated by the current Ag. Ceo Jenifer Bamuturaki and Ag. Director safety & Security Wegoye Steven, (a...
Back
Top Bottom