Search results

  1. S

    Nyumba za kupangisha zipo Morogoro na Dodoma

    Napangisha nyumba moja ipo morogoro maeneo ya forest karibu na morogoro hotel, nyingine ipo dodoma area E karibu na area D au gate la airport, zinafaa kwa makazi au ofisi. Kwa mawasiliano 0783656554, 0713656554,0759341334. Karibuni sana
  2. S

    Nyumba za kupanga kwa kuishi au ofisi

    Ya dodoma pia inaweza kuwa ya makazi au ofisi, moro pia kuna inayoweza kuwa ofisi au makazi kwa wenye familia kubwa
  3. S

    Nyumba za kupanga kwa kuishi au ofisi

    Kama ni kuishi ina vyumba ni 3, self kimoja viwili vina vyoo 2 vipo pembeni ya vyumba sebule kubwa dinning na jiko pamoja na stoo, ni nyumba nzuri ya kisasa, umeme haukatiki wala maji labda kuwe na dharura, bei laki 4.5 kwa mwezi. Ya ofisi ina utofauti na hiyo.
  4. S

    Nyumba za kupanga kwa kuishi au ofisi

    Usiwe na hofu zipo salama nilijenga kwa faida za ufugaji wa kuku na mikopo ya bank siyo mtumishi wa serikali au umma nimejasiria mpaka kuzipata hizo nyumba. ..karibuni sana wapendwa wenye kuhitaji.
  5. S

    Nyumba za kupanga kwa kuishi au ofisi

    Nina nyumba za kupangisha kwa kuishi au ofisi zipo morogoro nearby morogoro hotel na Dodoma Area E jirani na maghorofa ya wabunge ya Area D karibu na gate la airport kutoka area D. Contact 0783656554, 0713656554 na 0759341334 bei ni baada ya kuziona karibuni sana.
  6. S

    Kashfa: Mradi wa nyumba 73 za ndugu Masamaki wa TRA

    Mbena Malumbe Mzeru aka Chilakale alikuwa na mali zikiwepo majumba mengi hakuna tajiri yeyote mwenye mali za kumfikia huyo marehemu zipo ndani ya nchi na nje ya nchi, mali hizo zimeanza kuuzwa na mkewe kwa bei ya chee inaelekea kuna mkono wa wakubwa tunashauri mama akamatwe azitolee maelezo...
  7. S

    Nina wasiwasi na ajira ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO

    Upuuzi mwingine TANESCO watumishi wake hawanunui umeme wanapewa umeme bure huu ni ufisadi magufuli anatakiwa alishuhulikie mapema ni hela nyingi inatumika ya wananchi kulipia umeme kwa watumishi wote wa TANESCO nchi nzima na mishahara yao ni minono
  8. S

    Nina wasiwasi na ajira ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO

    Ndugu umenena TANESCO ingepata mshindani ingebadilika kwanza humohumo ndani ndio vishoka wamejaa hata ukiwatolea taarifa wakubwa wao wanaona sawa tu huenda wanagawana, hakuna kitengo chenye kero kama cha dharura ukipiga cm wanaweza wasipokee na wakipokea wanakujibu gari ya mafundi haipo...
  9. S

    Abiria Paza Sauti: Hamna jinsi tumechoka sasa

    Poleni wanandugu. .tumepewa namba za kupiga au kutuma msg endapo kuna tatizo kwa gari lolote linalobeba abiria toeni taarifa kupitia hizo namba
Back
Top Bottom