Search results

  1. M

    Lecture by hon. Dr. Frank-walter steinmeier

    LECTURE BY HON. DR. FRANK-WALTER STEINMEIER This is to inform the University of Dar es Salaam community that on Tuesday 25th March 2014, the Federal Foreign Minister of Germany, Honourable Dr. Frank-Walter Steinmeier, will visit the University of Dar es Salaam and deliver a...
  2. M

    Wanazuoni, Lugha za Ulaya na za Afrika: Baina ya Utumwa na Uwezeshwaji (Intellectuals, European and

    MAHAFALI YA 43 NA SHAHADA YA JUU YA HESHIMA Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kampasi ya Mwalimu Julius Nyerere Mlimani kinapenda kuwataarifu wadau wa Chuo na umma kwa ujumla kuwa kinafanya Mahafali ya Arobaini na Tatu (43) mwezi Novemba 2013. Mahafali haya yamegawanyika katika makundi mawili. Kundi...
  3. M

    Udsm graduation 2013

    Wandugu nimekutana na hii kitu kwa wale waliomaliza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam 2013. Ni tarehe, mchanganuo na taratibu za mahafali: Tuanze kuandaa ukumbi, mapilau nk. Tuandae pesa za majoho na DVD za stii na video pictures Tujipange kibiashara zaidi (kutafuta kazi, kujiajiri au kuajiri)...
  4. M

    Ujumbe muhimu kwa wana udsm

    Ndugu zangu wana UDSM, kuna taarifa ambazo nimezithibitisha mwenyewe kwa mahijano na viongozi wa UDSM baada ya kuona tangazo lililobandikwa kwenye mbao nyingi za matangazo pale ud na kwenye mtandao wao tangu Ijumaa ya tarehe 16 Augusti 2013. Taarifa hiyo ina ujumbe ufuatao, na kwa maelezo zaidi...
  5. M

    Emirates yafanya maajabu uwanja wa ndege dar es salaam

    Wandugu jana nilienda kumpokea mgeni wangu toka Sri Lanka pale Julius Nyerere international Airort (Dar es Salaam). Saa 9.06 mchana Ndege ya shirika maarufu duniani Emirates iliwasili lakini ilipokanyaga ardhi tu ikapaa tena kurudi angani na kutua rasmi baada ya dakika kama 38 hivi. Sijui...
  6. M

    Tukio la tamasha la tano kigoda cha mwalimu nyerere cha umajumui wa afrika udsm kuriwa live itv

    Wadau katika pitapita yangu nimekutana jambo hili jema toka UDSM na ITV/Radio One, nikaona ni vyema kuwashirikisha wana JF. Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere kinayo furaha kuwafahamisha kuwa kutakuwa na marudio ya matukio siku ya tatu ya Tamasha la tano la Kitaaluma la Julius Nyerere...
  7. M

    The poorer nations: A possible history of the global south

    MWALIMU NYERERE CHAIR IN PAN AFRICAN STUDIES-UDSM, IN COLLABORATION WITH MWALIMU NYERERE FOUNDATION Invite you to a book launch titled: THE POORER NATIONS: A POSSIBLE HISTORY OF THE GLOBAL SOUTH Followed by a seminar on: HOW MWALIMU NYERERE'S SOUTH COMMISSION PRODUCED THE BRICS...
  8. M

    Bodi ya mikopo na utoja pesa za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu

    Ndugu zangu ni mara kadhaa kumekuwa na thrend kuhusu bodi ya mikopo na namna inavyofanya kazi. Watu wengi walitoa mawazo na ushauri za uhakika na yanayotekelezeka. Pamoja na hayo, kulikuwa na swala la bodi ya mikopo kuwayaachia mabenki kazi ya distribution ya mikopo na collection of debts bila...
  9. M

    Mambo ya museven kukumbuka fadhila alizo pata udsm

    As one of the Alumni of the University of Dar es salaam, the President of the Republic of Uganda His Excellency Yoweri Kaguta Museveni, will host a fundraising dinner in Kampala on 3rd July 2011 to support the University of Dar es Salaam as she celebrate her 50th Anniversary this year. The...
  10. M

    Prof. Mukandala wa udsm hana hatia - baraza la maadili

    Wandugu, Baada ya sakata la watumishi wa umma takribani 16 kuitwa kwa mbwembwe bele ya baraza la maadili ya watumishi wa umma kwa kutowasilisha fomu za matamko ya mali na madeni waliyonayo, ni majuzi tu nilishangazwa na habari iliyotolewa na gazeti la mwananchi ikielezea kuwa baraza la maadili...
  11. M

    Naomba Ushauri

    Siku mbili zilizopita niliamka nikajisikia maumivu wakati wa kukaa nilipojichunguza nikagundua kuwa nina uvimbe mdogo kwenye anus upande numevimba kama jipu ila nilipobinya halikupasuka maumivu nikazidisha. Nilidhani rectum imetoka nnje lakini nikagundua kuwa palipovimba pameshikana kabisa na...
Back
Top Bottom