Search results

  1. J

    Rais Magufuli amteua Rais mstaafu, Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

    Kweli mkuu magufuli kana mbali jamaa asiwe mpweke
  2. J

    Bei ya mafuta duniani imeshuka, Tanzania bado bei ipo palepale

    Sifahamu sana mambo ya thamani lakini kwa uelewa wangu mdogo kama mwanzo yalikua dola 150 na mafuta yalizwa 2000 na sasa ni yameshuka hadi dola 30 yanapaswa kuuzwa chini ya 800 kwa lita bila kuangalia thamani ya dola dhidi ya shilingi
  3. J

    Kubomoa Naura Spring Hotel ni komoakomoa sio bomoabomoa

    Nimeishi arusha ukweli hayo majengo pamoja na ccm yapo mtoni kabisa yabobolewe tu hamna namna
  4. J

    Anahujumiwa! Wafanyabiashara wakubwa wakutana kwa siri, waazimia kuficha fedha zao, kutoagiza bidhaa

    Umeeleweka vyema kwetu tatizo halikuanza wakati wa kikwete bali sera mbovu za ubinafsishaji uliofanywa na mkapa kuamini uchumi wa nchi utaendeshwa na wageni na sio wazawa
  5. J

    Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    Kiukweli kabisa serikali ya awamu ya tano inazidi kunikosha
  6. J

    Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    Kwanini isiwe tanga au mtwara iwe bagamoyo kilomita chache kutoka dar
  7. J

    Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    Bora ziliwe kuliko huu uaribifu wa ambao ungetokea
  8. J

    Kwanini "Service charge" ya TANESCO ni tatizo linalohitaji utatuzi wa haraka!

    Sichangii neno kimsingi umemaliza mi nasoma coment
  9. J

    Juma Duni Haji hajarejea CUF, puuuzeni uvumi wa CCM

    Mbona povu linakutoka tulia utaelewa
  10. J

    Ushauri. President Magufuli badilisha fedha haraka

    Sijui faida yake wala hasara yake kwakweli
  11. J

    Syria na Iraq zinapogeuzwa maeneo ya kujaribia silaha za U.S, Ulaya na Urusi

    Ndugu zangu naombeni mnisaidie dikteta ni mtu gani je kuna tofauti ya dikteta na mfalme je kama mtu kaongoza muda mrefu sana ndio dikteta?
  12. J

    Niliwapigia CCM kura, sasa mbona wale jamaa hawaisomi namba?

    Subiri namba inamuhusu kila mtu
  13. J

    Nyalandu vs Maghembe: Nani nafuu kwa Wizara ya Utalii?

    Kama kigezo ni ukanda kiukweli maghembe ndio bora kuliko Mathayo David inawezekana raisi aliumiza sana kichwa kupata mtu wa kubance ukanda ila kiukweli kwa Maghembe kachemka natabiri atakua waziri wa kwanza kufukuzwa
  14. J

    Lugha, "kutumbua majipu" inatia ukakasi kuitamka na haina ladha masikioni

    Lugha hii ni tamu kwa mtumbuaji ila chungu kwa anayetumbuliwa
  15. J

    Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

    Umbea ni kazi isiyo na malipo cv ya kubenea ina msaada gani huo ni uchoko
Back
Top Bottom