Search results

  1. Augustine John Peter

    Kwanini asikuhamishie shule ya msingi?

    Na Mwl. Augustine John P. Suala la Walimu wa Sekondari kushushwa (Kuhamishiwa) shule za msingi limetumika kama kigezo kwà wakuu wa shule kupunguza kero za usumbufu kwa Walimu WANAOHOJI UTENDAJI WA WAKUU. hivi unaanzaje kubaki wakati wewe ndio mwenye kuhoji Mapato na Matumizi ya shule ...
  2. Augustine John Peter

    UTOFAUTI WA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

    Tofauti ya Mapinduzi ya Zanzibar ya 12/01/1964 yaliongozwa na John Okelo na yalihusisha umwagaji damu na haya ya 25/Oct/2015 yaliongozwa na Jecha na hayajamwaga damu hadi hivi sasa. Let's keep in record
  3. Augustine John Peter

    TUBADILISHANE VITUO VYA KAZI

    Naitwa Mwl. Augustine John Peter, nafundisha shule ya Sekondari Kemondo iliopo Halmashauri ya Bukoba Vijijini km 19 kutoka Bukoba mjini na km 2 kutoka Kemondo Bay, nahitaji kuhamia Dodoma manispaa, Kama upo tayari, nitafute kwa:- 0767684808 0716784807 tinejoh2011@yahoo.com tinejoh2011@gmail.com...
  4. Augustine John Peter

    Wako wapi tuliowapa dhamana????

    Ni kweli Dunia haihusiki moja kwa moja, na ile dhana ya GLOBALISATION ndipo inapokufa kibudu, Ni kweli umoja wa Afrika upo lakini ukiwa na viongozi wasiojitambua na ndipo ile dhana ya Afrika Unite inakufa kifirauni. Nitakuwa mtu wa Mwisho kuitambua Tanzania kama ni nchi ya Kidemokrasia, Nitakuwa...
Back
Top Bottom