Search results

  1. BabaSwaleh

    Nipo njiapanda: Kanieleza kuwa moyo wake umekuwa mzito kuwa nami so anaomba tuachane

    We endelea kumpenda ila moyo wako inabidi ukubali wewe kwasasa ni love security ya huyo msichana, huyo aliyenae mwanamke anampenda ila hajamuweka kwenye himaya yake kama alivyokuweka wewe ndio maana hataki kukupoteza ili akiachwa arudi kwako au siku bwana mpya akizingua anakua karibu nawewe kwa...
  2. BabaSwaleh

    Mpenzi wangu kanitambulisha mume wake mtarajiwa

    Dem anafanya kazi wewe upo chuo hilo tatizo la kwanza..,kalinganisha boom na mshahara wa mume mtarajiwa kaona hamna future nawewe kwani sahv hali ngumu unaweza kumaliza chuo usipate ajira uanze kuomba nauli.. Hawezi kukupendea kumtimizia kwani wote tunajua wanawake wanataka nini so inawezekana...
  3. BabaSwaleh

    msaada tatizo la pc kunuka kama kitu kinaungua

    Jaribu KVD wapo posta nyuma ya bilcanas kuna round about ambayo kuna shell ya puma kvd ni opposite na shell
  4. BabaSwaleh

    Watalaam wa window installation pls msaada

    Hiyo memory ni ukubwa wa graphics card ya PC yako na pia ili ifanye kazi to its full potential lazima VGA drivers ziwe installed
  5. BabaSwaleh

    msaada tatizo la pc kunuka kama kitu kinaungua

    Typing error paste gundi kwenye processor imekauka
  6. BabaSwaleh

    msaada tatizo la pc kunuka kama kitu kinaungua

    Inaungua kweli ndio maana inanuka kaka kawaida PC processor inazalisha joto sana hivyo imetengenezewa cooling system ambayo inakua na fan,paste na cooling pipe yenye helium gas ndani kama ya fredge Huu mfumo usipofanya kazi vizuri au processor ikiover work joto linazidi kiwango that why unahisi...
  7. BabaSwaleh

    Nampenda siwezi kumuacha lakini Kwa hili simuelewi. Ushauri wenu ni muhimu.

    Hakuna kitu kipya kwenye hayo mambo unapangwa ili uoe tu so usiumize kichwa na kama unampenda we mpende tu ila sio kwa kutegemea kuna vitu adimu unaweza kujikuta unakua disappointed na ndoa siku ya honeymoon
  8. BabaSwaleh

    Tanzania kuuza Umeme nje ya nchi.

    Nilidhani umeme wa Tanzania ulipaswa kuwa wa bei rahisi kama tulivyoahidiwa baada ya kupatikana gesi mtwara.,ila kama umeme wa maji tena ya mabwawa ya kuchimbwa na ukasafirishwa toka ethiopia mpaka tanzania ni rahisi kuliko wa mabwawa natural tuliyokuwa nayo na gesi pia basi inabidi tujitafakari...
  9. BabaSwaleh

    Mrembo wa hapa jirani aing'ang'ania simu yangu

    Dah nahisi napoteza hamu na mitandao ya kijamii speed ya bashite imefungwa turbo ya Subaru na mkulu..,nikaona siasa hazina maana nimekuja huku jamaa anataka kuibiwa anajiona kapata zali hakuna iPhone 8 utapewa iPhone yenye Android mjini hapa we endelea kuuza maji...,
  10. BabaSwaleh

    Nataka kulima bangi kwa ajili ya exportation only. Je sheria zinasemaje?

    Hiyo ni sawa na kutengeneza filamu za ngono nchi za kiarabu ukauze nchi wanazoruhusu watakupiga mawe tu mkuu.,sheria ya madawa ya kulevya inakataza kushiriki kwa namna yoyote kuzalisha,kusambaza na kutumia
  11. BabaSwaleh

    Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

    Naelewa ila huoni kama ni mtu alikua anasubiria timing ya kukimbia unless uniambie alikua na tabia mbaya mapema au ulimuoa kwa nguvu ya hela ila mapenzi upofu hukutaka kuona sometimes huwezi kupata ukweli wa jambo upande mmoja..,na solution ya tatizo sio kukimbia what if usafiri ukirudi...
  12. BabaSwaleh

    Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

    Washauri ndugu zake wampeleke akaombewe huyo kwani binadamu mwenye akili timamu hawezi kufanya hayo unless mwanzo ulikua unamdharau analipa kisasi.,hatuwajui wanawake ndio ila out of the blue mtu unayemjua vizuri mpaka ukamuoa mkazaa hawezi change ghafla hivyo
  13. BabaSwaleh

    Kubomoa Naura Spring Hotel ni komoakomoa sio bomoabomoa

    Kama hili halipo kisiasa na pia kajenga kimakosa kwa kuhonga akapata kibali kwa mawazo yangu naona busara ingekua kutafuta wataalam wa kuzuia mto usije kuleta madhara endapo kutatokea mafuriko au mto kuongezeka kwa kumomonyoa kingo siku za usuni.na gharama ziende kwa mwenye hotel au serikali ila...
  14. BabaSwaleh

    TANESCO na TTCL: Pamoja na kupata ruzuku kubwa ya Serikali lakini ufanisi ni mdogo sana

    Tatizo ni wafanyakazi ajira zao sio za kulenga ufanisi ila ni ukipata nafasi umetoka..,kwa soko la sahv technolojia inabadilika haraka haraka sana hivyo kama hufanyi kazi kwa ufanisi unajikuta nyuma siku zote
  15. BabaSwaleh

    Kwanini baadhi ya wanawake hupendelea kufanya mapenzi gizani?

    Hahahaha jibu limejitosheleza sana kalabaho mpaka tunashindwa kuchangia mada
  16. BabaSwaleh

    Rais Magufuli, Tanzania sio Dar pekee!

    Nahisi ni mapema sana kuanza kusema Raisi anapendelea dar peke yake kwan baraza la maziri bado hivyo akianza kuwaza kila sehemu zinaweza kupigwa na huko bora hapa ambapo macho ya wengi kama waandishi wa habari na wadau wengine wanaweza kusaidia kuona..,then akichagua mawaziri ndio aangalie tz...
  17. BabaSwaleh

    Nimeweka system mbili kwenye PC Moja (Windows 7/10), napata changamoto hii

    Njia rahisi ni kutafuta external drives,washa computer ikiwa na windows 10 copy files zako then switch to windows 7 zihamishie..,kama ni lazima uhamishe bila external drive kwenye windows 10 ondoa security kama username and password kabla hujaanza kuaccess windows.old ukiwa kwenye windows 7 au...
Back
Top Bottom