Search results

  1. J

    Almanusura niolewe hotelini, mke wa mtu sumu

    Kwa kweli hakuna namna ya Ku proof kama huamini, isipokua Nina hoja chache tu (1)nisingekua hata na kifua cha kuja hapa kusimulia huu mkasa kama ningelawitiwa, (2) hata hapa kazini sina hakika sana kama ningekuwepo, ila nipo, jamaa ndie alimuachisha mkewe kazi kwa aibu, hiyo ni baada ya...
  2. J

    Almanusura niolewe hotelini, mke wa mtu sumu

    Wana jamvi nawasalim, Mwaka 2013 nilitokea kumpenda Dada mmoja hapa kazini kwetu, alikua ni kiongozi ktk moja ya idara za hili shirika letu, hatukua tunafahamiana personally isipokua kwa kupishana Mara kwa Mara hapa mjengoni, yy flour ya 4 mm ya 6. Uzuri wake hauna maelezo ya kawaida, hakua...
  3. J

    Raisi Magufuli alipaswa awe Paris leo hii!

    Umewasikia wapi wanalalamika kama sio uongo, mi natazama citizen daily sijaona hicho kitu
Back
Top Bottom