Search results

  1. T

    Serikali yatangaza ajira za Waalimu wa Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari

    watu bhn hivi ww BabM upo sawa kweli? bora angesema mapema ili watu wajipange maana kuna uvumi ulitokea serikal ikakanusha then ilicho kanusha ndo hiki kimetokea leo ?maana yake!
  2. T

    Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatia aibu

    Udom iko vizuri saana, ukitaka utam wa ngoma ingia ucheze,, ni ukweli usio fichika Udsm miundombinu mibaya mno, nilienda kumtembelea rafiki yangu pale kiukweli nilishangaa ukienda chooni looh yaani khaaaaa pachafu my, majengo yamechakaaa kwelikweli sio siri nilimshukuru mungu kwa kutochahuliwa...
  3. T

    Ubora wa UDSM ni upi?

    Chuo bora ni UDOM tuu kwani inatoa product safi kabisa na bora ,, Udsm inabebwa na jina tuu kwa kuw ni chuo kikongwe ila kwa sasa ni empty box
  4. T

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Nenda kijijini nunua kuku wadogo wadogo kwa tsh.2000 kila mmoja then watunze kwa umakini mkubwa ,baada ya miezi sita wauze utanambia
  5. T

    Watu wenye uchungu wa maisha wajitokeze

    Wazo zuri ilaa.... Balaaa mwenye macho na aone
  6. T

    Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

    Hamjui lolote kuhusu UDOM na mmekaa kishabiki saana ,, tena wasomi wengi ni watumwa wa siasa hasa vyuo vya serikali wengi wanajipendekeza tuu ,,afu eti lijitu Lina soma vyuo vya kubebana halijui hats supp. Na carry over halafu lina bwabwaja tuu , vyuo vyote vya private vipo kibiashara na...
  7. T

    Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

    Karibu saaaana #mtegemea mungu ,hiki ni chuo bora kielimu na hata ramani yake imetulia achana na hivyo vijichuo vya uchochoron ambavyo wanasoma mpaka kozi ambazo hawana msingi nazo yaaani mtu hajawahi kusoma kifaransa o'level ila analazmishwa kusoma chuo kikuu duuu hii hatari yaani eti mtu ana...
  8. T

    Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

    Acha zako nani kakwambia udom haina walimu wa kutosha ,udom IPO vizuri mno tens mno kuliko hata hivyo vyuo mnavyo visifia ,waulizeni wale wenzenu walotoka st. Joseph na GPA kubwaaaa kilicho wakuta pia naomba yeyote anajiita mwana UDSM ama anae dharau hiki chuo ache hapa chuoni walau a some hats...
  9. T

    Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

    Udom ,no chuo bora na elimu yake ni bora zaidi nilivyo kuwa mtaan kabla ya kujiunga na huo hiki nami niliamini hivyo lakini so kweli hapa ni kazi tuu haina kulemba ,kama unabisha njoo ujionee au Fanya research fupi utapata majibu,, kumbuka anae dharau chuo hiki hajielewi kabisa ama ndo wale...
  10. T

    Mkoa Mpya wa Songwe na Wilaya mpya zaanzishwa

    watu hawajielewi yaani wamekaa kiushabiki
  11. T

    Earn in US$, save in books

    KUNA MALIPO YOYOTE? FUNGUKA
  12. T

    Bata Mzinga Jike na Dume wanauzwa

    kaaa nayoo duu bei yote hiyo
  13. T

    Majaliwa: Ajira mpya za Walimu ni Julai 2016

    mmh hasa kwa walimu wa sayansi kauli hiyo inaashiria kuwa arts ni less considered
Back
Top Bottom