Search results

  1. 1

    Watoto wasikuizi vipi.......

    Watoto wasikuizi mnaniangusha sana Hampigi baruti..hamuibi miwa..Mkesha kama huu Enzi zetu Baruti Nizakufikia... Napenda Misah ya Mkesha haswa Maigizo aya yananikumbusha Mbali.. VIPI UPANDE WAKO UNAKUMBUKA NINI MKESHA KAMA HUU...
  2. 1

    Moshi ipo kama nilivyoiacha

    Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo.Na huku Machame pia ndo vilevile jamani kunanukia ndizi tu. Xmass iishe minirudi Nairobi.
  3. 1

    Wana JamiiForums Mwanza Tukutane.....

    Wana Jf Mwanza tukutane siku ya Uhuru tarehe 9.Eneo lastand national nyakato kufanya usafi katika dampoo lilopo Eneo ilo tukiwa na Vifaa vyetu..Tuunge juhudi za Rais Wetu kwa vitendo..PAMOJA TUNAWEZA
Back
Top Bottom