Search results

  1. K

    Muungano uwe wa serikali moja tu, kama sio hivyo ufe tu

    Huu muungano ni wa ccm na siyo wa wananchi.Ukiwagusa au ukahoji uhalali wa huu muungano hutapewa jibu kwa sababu uko kwa maslahi yao zaidi ili waendelee kugawana madaraka.Labda wajivu wa siasa watuambie aina hii ya muungano uko ktk nchi gani duniani ambao nchi moja inauliwa wkt nyingine inaachwa...
  2. K

    Hashim Rungwe: Hayati Magufuli alikuwa anachukua pesa za umma na kuwapa wapinzani kumuunga mkono

    Huyu naye akili zake haziko sawa apelekwe milembe akapimwe
  3. K

    Tukubali kubadilika, Mifumo ya TEUZI ni chanzo cha Umasikini

    Labda tuambiwe hizo contract ni kwa kada zipi? wahudumu,walimu,majeshi,madaktari au wapi.Nakubaliana na wewe kwenye nafasi za uteuzi zifutwe lkn kwenye mikataba lazima umakini mkubwa unatakiwa.huwezi ajira daktari kwa mkataba wa miaka mitano.hiyo miaka ndoa kwanza anaanza kupata uzoefu halafu...
  4. K

    Serikali ondoeni haraka tozo hizi za matengenezo ya nyumba wakati huu wa mvua

    Hii ni nchi ya kishetani na wanataka tuishi kama mashetani ndo maana tunaambiwa tuende Burundi
  5. K

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Mbona namwona hapo viwanja vya leaders club akiaga mwili wa Gardner Habash ambao unasafirishwa kwenda rombo kwa mazishi?
  6. K

    Ni halali kutoza tozo vigenge vya vichochoroni?

    Katika tembea tembea yangu tarehe 20.04.2024 nilikuwa mkoani Kigoma vijijini sehemu inayoitwa Kazegunga.Tulikuwa na washikaji zangu ktk sehemu fulani tukipata kinywaji baridi. Mara tukavamiwa na watu watano ambao walijitambulisha kama watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Kigoma vijijini na...
  7. K

    Paul Makonda kuongoza Mapokezi mazito ya Rais Samia siku ya Mei Mosi mkoani Arusha yatakakofanyika kitaifa

    Mimi sioni hàta sababu ya wafanyakazi kumkaribisha raisi kwenye sherehe hiyo.hali ya wastaafu ni tete.wanalipwa malipo ya kila mwezi kati ya 100000 hadi 600000 kwa mwezi.Malipo ya mkupuo no 20M sababu ya kikokotoo sasa kuna haja gani kualika mkuu wa nchi.miaka nenda rudi wastaafu wanahangaika...
  8. K

    Januari Makamba atapita njia ya Hayati Lowassa katika safari yake ya kisiasa

    Tuwaache wakijani wenyewe wapatikane sisi yetu macho.The endless road
  9. K

    Huenda mgogoro wa Kidiplomasia ukaanza kati ya Tanzania na Malawi baada ya uboreshaji wa Bandari ya Mbamba Bay kuanza

    Hao ndugu zetu wanapoteza muda si bandari ya mbambabay tu hata kyera,ndumbi, Rundu zote zinaboreshwa wao watueleze aliyesaini huo mkataba wa kijinga ni nani.watasubiri sana hao ndugu zetu wa Malawi
  10. K

    Kuna nchi Afrika Mashariki inayomiliki ndege za kivita zisizotumia rubani?

    Siyo kuwa hawajibu fuatilia aljazera cabineti imekaa kufanya tathmini utasikia retaliation yao
  11. K

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Haya mashangingi wanaonunua pesa wanatoa wapi,majengo marefu wanaojenga faida inaenda wapi,fedha wanazoikopesha serikali hairudishwi na riba,tozo,madege nk
  12. K

    Bado tu Makonda hajasimamishwa kazi kupisha uchunguzi?

    Unajuaje kama katumwa kuongea hivyo.
  13. K

    Shillingi ya Tanzania yazidi kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya

    Waache siasa wazalishe na kuuza nje zaidi.waache kuzalisha chawa wazalishe bidhaa tena zenya ubora na ushindani kwenye masoko ya dunia
  14. K

    Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

    Arusha haiko mlimani bashee iko chini ila imezungukwa na milima.kwamromboo,unga ltd,ngaranaro,usariver,sehemu kubwa iko tambarare
  15. K

    Ugumu wa Maisha wasababisha Wananchi kununua Utumbo badala ya Nyama , Sikukuu ya Idd Yadorola

    Ni eneo gani hilo watu wanalishwa?vijijini au mjini.you need to think deeper out of the box
  16. K

    Ugumu wa Maisha wasababisha Wananchi kununua Utumbo badala ya Nyama , Sikukuu ya Idd Yadorola

    Sio kweli nchi nyingine mtu wa kipato cha chini atleast anamudu basi needs kwa nchi yetu ni tofauti ukizingatia pia uwezo wa fedha kununua bidhaa muhimu umeahika
  17. K

    Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Tanzania wajinga ni wengi hivyo hawawezi kuwajibishana.Anayetakiwa kuwajibisha naye anafanya mambo yale yale anayofanya anayetakiwa kuwajibishwa.Unakuta kitu bila aibu limebeba nyasi za ng'ombe mchana kweupe but nobody cares.polisi wanaona,ras yupo na dada wake yupo.ukimwona RPC ni kama...
Back
Top Bottom