Search results

  1. JtheQueen

    Waziri Mhagama kiokoe Chuo cha Utumishi wa Umma

    Hii ni epsode ya ngapi, wagombea vyeo mna kazi sana....
  2. JtheQueen

    Natafuta mwenza, HIV + male aged 40-47 yrs

    Mimi ni mwanamke mjane, 42 yrs, HIV +, natafuta mwenza mwenye hali Kama yangu, kwa maelezo zaidi DM.
  3. JtheQueen

    Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    Kuna jamaa ilimtokea issue kama yako, akamwacha mzazi mwenzie ambaye ni + akaenda kuoa binti mwingine na walicheki afya zaidi ya mara 2 kabla ya ndoa. Sasa hivi wote ni + kwani mkewe alikumbushia na ex wake bila kujua kuwa kaungua. jamaa anaomba kurudiana na mzazi mwenzie ili waishi kwa...
  4. JtheQueen

    UDSM ni chuo dhaifu sana Afrika "Aibu kwa nchi"

    Mnyakyusa mmoja anaitwa Anangisye, hebu tumpe muda manake nasikia ana mikakati ya kukiboresha chuo kitaaluma kuliko ilivyokuwa.
  5. JtheQueen

    Lady jaydee ndani ya 707 great Gatsby

    Warumi miaka yote niko JF kwa ajili yako ujue, unafurahisha sana na mineno yako.... Sichangii hoja mara kwa mara lakini nakusoma daily
  6. JtheQueen

    Tuliotoka tangu Darhotwire tukutane hapa

    Nilikuwa natumia jina la Beaty1 au mamawawili Sent using Jamii Forums mobile app
  7. JtheQueen

    Natamani kujiua baada ya kugundua alinibambikia mtoto

    Yawezekana hata wewe sio mtoto wa unayemwita baba yako Sent using Jamii Forums mobile app
  8. JtheQueen

    Weekend story! BEN 10

    Huwa sisomi hadithi humu, hii nimeisoma episodes zote... Lara 1 una kipaji kikubwa mnooo. Nakupenda
  9. JtheQueen

    MAKASA: Bi Mkubwa (Mama mkwe)

    Bado tuuuuu?
  10. JtheQueen

    Msaada madaktari kwa huyu mtoto.

    Nadhani huo ugonjwa unaitwa alopecia, niko tayari kurekebishwa... Google utauelewa vizuri
  11. JtheQueen

    MSAADA Tafadhali: Mume ni HIV+, Mke ni HIV- na ana Mimba ya Miezi 4

    Nina kaka yangu na mke wake wana issue kama yenu kwa miaka zaidi ya sita, wanafuata masharti na wana watoto 2 wasio na maambukizi, kikubwa aanze dawa mapema na kuhusu ndugu zake asiwaambie so long as wewe unajua... ndugu wengi kibongo bongo wana chembechembe za unyanyapaa.
  12. JtheQueen

    Kutembewa na kitu mwilini

    Mtafuteni jamaa mmoja FB anatumia jina la KUHANI MWANA WA LAWI, kuna mtu alimuombea kwenye simu tu amefunguliwa, pia hutoi hata shs. 10
  13. JtheQueen

    Wimbo gani wa hillsong united unaupenda sana?

    Napenda wimbo wa "open the eyes of my heart"
  14. JtheQueen

    TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

    Ndio, hapo ni kijiweni kwangu ila siku hizi sipapendi kihivyoooo pana kajiumbeya umbeya, nimehamia bulls
  15. JtheQueen

    TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

    Mmmmh umemsahau mhudumu Happy yule mwenye nyaaaa ila sura hailipi, siku hizi alitimuliwa
  16. JtheQueen

    RC Mtaka: “Nimekataza watumishi kuwekwa mahabusu... huo ni upuuzi”

    Jamaa yuko vizuri sana, halafu ana mke msomi, mwelewa, ametoka familia bora na ni bonge la mnyenyekevu. Nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke imara Sent using Jamii Forums mobile app
  17. JtheQueen

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    Duh muhimbili wameshindwa? Mungu amponye haraka ili arejee tuijenge Tz yetu
  18. JtheQueen

    Sikuwahi kujua kama Mwingira wa Efatha kawekeza kijiji kizima namna hii!

    Me nilihudhuria kusanyiko la 2016, watu ni wengi mnooo... kuna ndugu yangu ni mtumishi kwenye moja ya makanisa ya Efatha alinikaribisha, kwanza ule umati ni zaidi ya mtu anavyoweza kuelezea. Ile kwaya yake ilikuwa na waimbaji zaidi ya 500. Ila jamaa ana miujiza tuache utani, nilivutiwa kidogo...
Back
Top Bottom