Search results

  1. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Leo nataka niwape elimu kidogo kuhusu afrika kusini na maisha yake Kwa kipindi kirefu mmekuwa mkisikia kuhusu mauaji hususani ya watanzania na mkawa hamuelewi mkawa mnatuhumu kuwa wazawa wanaua wageni hawawataki ipo hivi Wabongo wengi wa kati ya umri wa miaka 19 mpk 37 wengi huku hawana ajira...
  2. steve_shemej

    Naomba kujuzwa Mshahara wa fundi welding kwenye migodi ya makaa ya mawe

    Naomba nijue mwenye uzoefu na makaa ya mawe yaaani migodi ya makaa ya mawe kwa wastani fundi welding huwa analipwa Bei gani baada ya makato.
  3. steve_shemej

    Natafuta mke wa kuoa ambaye ni single mother

    Habari, Mimi naishi Songea, najishughulisha na ufundi, nimekuja mbele yenu nahitaji mke wa kuoa ambaye ameamua sasa kutulia na familia. Awe single mother, asizidi mtoto mmoja. Nahitaji single mother kwakuwa ninaamini kitu ndani yao, mimi Mngoni. Sifa za ziada Awe anajishugulisha. Awe tayari...
  4. steve_shemej

    Baada ya ugomvi kaniambia mtoto sio wangu, ushauri wenu unahitajika

    Kuna mwanamke nilikuwa nikiamini nimezaa nae mtoto na mtoto amefikisha mwaka na zaidi Sasa wa kiume ila leo limetokea tatizo Tulikuwa na ugomvi binafsi ikapelekea mwenzangu akachukia na akaniambia nifute namba zake Baada ya kuniambia hivyo nikamuuliza nafutaje wakati Mimi na yeye tuna mtoto...
  5. steve_shemej

    Msaaada mgodi wa makaa ya mawe

    Ndugu zanguni Kama kunamtu humu anakonektioni kwenye kampuni yoyote iliyopo kwenye mgodi wa makaa ya mawe ruvuma anisaidie Mimi ni welder lakini sijui pakuanzia nahitaji msaada nataka nikafukuzie ajira
  6. steve_shemej

    Hali halisi ya maisha ya Afrika Kusini

    Lazma tuambiane ukweli ipo hiviiii Enzi za miaka ya 90s kipindi watu wanakuja kutafuta kazi afrika kusini walikuwa wanatoboa kirahisi kazi zilikuwa kibao kwakuwa natives walikuwa wanapewa na serikali kilakitu bure Hali iliyopelekea wakawa hawafanyi kazi so mgeni ukija kazi unanchukua tu watu...
  7. steve_shemej

    Ajira bwawa la umeme Tanga

    Nimepata taarifa Sino hydro wamepewa tenda mpya kujenga bwawa jipya la umeme tanga he hii ni kweli? Nataka nichangamkie tenda
  8. steve_shemej

    Jinsi ya kutumia simu yako kama CCTV camera

    Ni raisi sana kuiset smartphone yako iwe kama CCTV camera, IPwebcam ndio suluisho la tatizo ilo. Fatana name mpaka mwisho wa Tutorial hii. IPwebcam is easily the best of the lot because it works through your browser, which gives it the cross platform compatibility. Ili kuset simu yako iwe kama...
  9. steve_shemej

    Kaiza chiefs wakimbilia CAF

    Time ya kaiza chiefs imepeleka malalamiko yao caf wakisema hawana imani na marefa kutoka burundi ambao watachezesha mechi dhidi ya Simba Binafsi Naona jmaa wameanza kugwaya mapema au wanawatikisa marefa Je kwa taratibu za mpira imebaki sikumoja marefa watabafilishwa?
  10. steve_shemej

    Aliyegundua ujumbe wa TAFADHARI NIPIGIE adai fidia kwa Vodacom

    Kupata pesa nyingi ama utajiri wa haraka huwa matamanio ya watu wengi . Walakini kunao watu ambao kiasi kikubwa cha fedha nusura kiingie mifukoni mwao lakini hawakuzipata kwa kuzikataa wakitaka kupewa zaidi au bahati haikutengenea. Hii hapa orodha yawatu ambao wamezinusia pesa hizo lakini...
  11. steve_shemej

    Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

    Natumai wazima wote leo nilikuwa natamani tushee Jambo moja na watanzania wenzangu mnaohitaji kuja kutafuta ajira huku SA Ukweli ni kwamba ajira huenda zikawepo ila siyo kwa watanzania Huenda hujanielewa watanzania huku hatuaminiki, ni vigumu mtu kukuamini kukupa kazi wengi "wezi' hali...
  12. steve_shemej

    Jamani Simu yangu inatatizo hili nahitaji msaada

    Simu yangu inaandika "betery low temperature" Kisha inazima je tatizo nini
  13. steve_shemej

    Jina steven lina mahusiano gani na movie za kizungu?

    nimejaribu kuchunguza nimebaini kati ya movie kumi za kizungu tisa zinamshiriki anaitwa steven hii imekaaje wakuu
  14. steve_shemej

    Jaman mlipata kazi ujenzi wa reli hawamu ya tatu kuna aliyeitwa kazini?

    Jaman ujenzi wa reli hawamu ya tatu kutoka singida umeanza? Je kuna aliyeitwa kazini?
  15. steve_shemej

    Je, ujenzi wa reli unaishia Dodoma au unaendelea?

    Habari wakuu nilikuwa natamani kujua je ujenzi wa reli ukifika Dodoma utaendelea mbele? Na kama utaendelea awamu hiyo inaanza lini? Nia ya kuuliza ni kwamba walituma maombi hapa VETA Songea wakihitaji mafundi na baada ya kupewa majina wapo kimya ni mwezi sasa na ujenzi unakaribia kwisha. Je...
  16. steve_shemej

    Msaada nataka kufungua kampuni

    Habari wakubwa naitwa steven ni kijana wa miaka 25 nipo Songea ni muhitimu wa fani ya welding and metal fabrication mwaka 2019 nia yangu natamani fungue na nisajiri kampuni yangu ya utengenezaji na uuzaji wa furniture za chuma hapa Songea. Ila changamoto sijui wapi naanzia natamani nifahamu...
  17. steve_shemej

    Mambo usiyoyajua kuhusu maombi ya 'Passport'

    Kuna mambo fulani idara ya uhamiaji hawajayaweka sawa Ukiingia katika tovut ya uhamiaji utakuta kuna vielelezo unavyotakiw kuwa navyo ili upate passport lakini kuna maelezo hawajayaweka vizuri Mfano: Kiapo Wamesema kama huna cheti cha kuzaliwa unatmia kiapo lakin hawajasema kuwa kiapo kina...
  18. steve_shemej

    Fundi welding natafuta kazi

    Habarini wanandugu. Nimekuja kwenu naomba ajira mim ni fundi welding nina cheti. Nina uzoefu kwenye arc pia nina uzoefu wa wastani kwenye MIG welding Namba yangu hii 0763329715
  19. steve_shemej

    Natafuta kazi ya welding

    Naitwa Steve nipo Songea natafuta kazi ya welding Nina uzoefu wa kuunga vyuma vyepes na vizito Namba yangu 0713861567
  20. steve_shemej

    Hivi basi za transit zinazotoka Zambia to South Africa zimeanza kazi?

    Naulizia zile gari za transit zinazotoka Zambia to South Africa hivi zimeanza kazi? Na nauli Shi ngapi?
Back
Top Bottom