Search results

  1. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Watamu ila wanavta mno bangi na sigara ila wapo vzur
  2. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Ndugu wanakomaa kuwa nipo songea sipo SA hata tukishilikishna jambo watadai nimehadithiwa
  3. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Ndiyo hvyo ndugu wanaumanisha uwezo wa kuandika na mazingila anayouishi mtu
  4. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Hata mimi nimelihisi hilo pia nimegundua wengi huisi south ni sehem flani hivi kumbe ni kwa kawaida ambako kuna watu hata kuandika hawawezi bora mimi
  5. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Unaowasemea ni hao pichani zoom utawaona cjawapiga picha vzuri wasije jua nawapga picha
  6. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Kukaba si timing? Mbona wanakabwa kilasiku? Anakabwa mtu mwenye bunduki sembuse kisu?
  7. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Walikuwa wanatutishia tuu
  8. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Nimeona nikuwekee na video ili uamini
  9. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Kwanini wasikabwe? Wanakabwa kma kawaida
  10. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Nimeona niwawekee na video muamini
  11. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Songea ndiyo nyumbani kwetu maeneo ya msamala
  12. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Ni wazuri mno kma machotara hivi hao madem hawana gharama wengi wanakaa uswahilin kwenye wind house wanavuta mno sigara na bangi kuoa hutoi hata barua ila hawajui kukataa
  13. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Hao kama wanakuwa weupe ki rangi basi watakuwa jamii ya coloured wengu hupatikna Capetown
  14. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Kunamuda mtu anauliza jambo kwaajili ya watu wengine pengine ulikuwa hujui hilo pia kwanini mpk nidanganye wakat south ukiwa na 250000 tu nafika?
  15. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Leo pia huku app ya jf ilikuwa inazingua hata skujua kuwa kuna maswali ibidi kuyajibu ndyomaana wakahisi nimekimbia
  16. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Hapana kikubwa kuwekana sawa kuhoji muhimu
  17. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Huo uzi ni kweli wangu na ni wa mwakajana nia ya kuandika nipo songea ilikuwa kumpata mtu sahihi kwakuwa natarajia kurudi kuishi songea ila kwasasa nipo capetown jimbo la western cape kitongoji cha saldanah ila natarajia kurudi songea ndyomaa nikasema nipo songea Ningesema nipo south watu...
  18. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Bro nimerudi huo uzi ni kweli wangu na ni wa mwakajana nia ya kuandika nipo songea ilikuwa kumpata mtu sahihi kwakuwa natarajia kurudi kuishi songea ila kwasasa nipo capetown jimbo la western cape kitongoji cha saldanah bay Hapo pichani ni Milnerton maeneo ya Capetown karibu na bandarini karibu...
  19. steve_shemej

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Nikueleweshe kuhusu huo uzi ni kweli wangu na ni wa mwakajana nia ya kuandika nipo songea ilikuwa kumpata mtu sahihi kwakuwa natarajia kurudi kuishi songea Mimi bado naishi afrika kusini mji wa Capetown jimbo la western cape kitongoji cha saldanah Sasa kma ulihisi nakudanganya basi ulikosea...
Back
Top Bottom