Search results

  1. Tape measure

    Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?

    Kuna muda Pascal Mayalla anarudi na kujiteka mwenyewe. Niseme pia maisha ni bahati unaweza ukasifia sana na usibahatike kamweee Unaweza ukatumia akili mno na usipate kitu, unaweza kuwa mropokaji na ukapata kila kitu mpaka usivyokua ukihitaji. Kuwa huru ukihitajika utatafutwa, mkuu Pascal...
  2. Tape measure

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Kopeni na msirudishie matapeli pesa Kopa kampuni zote kisha futa app yao mara moja ukishapata mkopo. Ata wakutangaze TBC1 usilipe Tanzania ni yetu sote na wakopaji ndio masikini jeuri.
  3. Tape measure

    Unatamani kuonana na msanii gani mpige japo story!!

    Chi ch chi Chidi Benzi na goma lake Dar Es Salaam Standup
  4. Tape measure

    Happy birthday Rais Dr Samia Suluhu Hassan

    Yajayo yanafurahisha upo tayari? Karibuni nyumbani kumenoga!
  5. Tape measure

    Ifahamu 'Bahati' inavyopatikana katika maisha ya mtu

    Bahati zote amepewa bahati bukuku[emoji28][emoji28][emoji28]
  6. Tape measure

    Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

    Kwanzaa huyo jamaa muelezee matatizo yako kila mwezi yaani wewe kila kukicha mpe misala mpaka ahisi una mikosi. Ata achana na wewe. Usikae umwambie jambo lako zuri ata moja wewe simulia matatizo tu. Hii itamfanya afurahie na apunguze kukusumbua. Tumia akili sana
  7. Tape measure

    Unapoishi sasa mpaka nyumbani kwenu ni kilometer ngapi?

    7980 km Nauli 850 USD Japan to Tz
  8. Tape measure

    Msaada: Toka May 2023 hadi sasa sijapata passport, nimeambiwa mimi sio mtanzania

    Ungejaribu kwanza kuondoa mikosi uliyonayo au kupunguza ujuaji au kuacha kutukana mamba kabla hujavuka mto au kujaribu kuwa msiri. Malizana na hizo au mambo yatakaa sawa usisahau za kuambiwa + na za kuzaliwa. Ndio maana nasema chuo mnaendaga kusomea. Ujinga mambo ya kutumia akili wewe unaenda...
  9. Tape measure

    Naombeni mnikumbushe tena maana ya maisha

    Mhaya maisha ni fumbo Maisha ni CODE Unaweza kuzani umepata kumbe umepotea Maisha ni upepo unaweza kukosea na ukapendwa cc mandonga mtu kazi[emoji16] Maisha ni kitabu kuna kurasa haziwezi kusomwa mpaka ufariki..... Maisha sio hisia, masikini sio kuwa hawajitumi na kuwa tajiri sio lazima ufanye...
  10. Tape measure

    Mwenye ujuzi wa kuongea na wafu, nataka nikamsalime mama angu

    Sijui kama upo serious nitakupa mafunzo ni rahisi lakini yanaogopesha. Utafanya astra projection ni mafunzo ya roho kuacha mwili kwa muda. Ni mafunzo hatari kama umepitia jkt au jwtz kidogo unaweza kumudu kuongea na wafu....ukiwa serious nitafute. Hii ni kama vita na hakuna vita ndogo muhimu...
  11. Tape measure

    Nimekuwa bahili sasa nafurahia maisha

    Sure nasikia raha sana kuwa kaka mkuu wa chama cha wanaume bahili[emoji23][emoji23] Unajua pesa tunapata lakini shida matumizi hewa, nineishi china na japan wana utamaduni tofauti sana. Date, sio jambo dogo ni kipengele mtu kumpenda mwenzie yaani mfano hadi mimi nikuelewe sio jambo dogo...
  12. Tape measure

    Nimekuwa bahili sasa nafurahia maisha

    Boss lady upo kitambo sana karibu inbox
  13. Tape measure

    Nifundisheni kuwa bahili wa kutupwa!

    Saivi naona raha kuwa bahili yaani nafurahi kama chizi nikiingia chumbani nikiona pesa zangu ....nafurahi nalalalaaa. Akili ilinikaa siku mtoto alirudi shuleni akaniambia baba leo Mwalimu kasema ninyoe nywele!!!! Nikacheki kabatini sina hata buku, nikawaza hapa mtaani nani anaweza kuniazima...
  14. Tape measure

    Nifundisheni kuwa bahili wa kutupwa!

    Saivi naona raha kuwa bahili yaani nafurahi kama chizi nikiingia chumbani nikiona pesa zangu ....nafurahi nalalalaaa. Akili ilinikaa siku mtoto alirudi shuleni akaniambia baba leo Mwalimu kasema ninyoe nywele!!!! Nikacheki kabatini sina hata buku, nikawaza hapa mtaani nani anaweza kuniazima...
  15. Tape measure

    Nimekuwa bahili sasa nafurahia maisha

    Saivi naona raha kuwa bahili yaani nafurahi kama chizi nikiingia chumbani nikiona pesa zangu ....nafurahi nalalalaaa. Akili ilinikaa siku mtoto alirudi shuleni akaniambia baba leo Mwalimu kasema ninyoe nywele!!!! Nikacheki kabatini sina hata buku, nikawaza hapa mtaani nani anaweza kuniazima...
  16. Tape measure

    Nimekuwa bahili sasa nafurahia maisha

    Sijui nianzie wapi mim tokea nikiwa mdogo miaka 14 nilikuwa nashika pesa na watu wazima wakawa wananiomba 200, 500 nawapa. Nilipofikisha 17 nikawa nafanya mishe za utalii naingia baa nakutana na vijana wa miaka 30-40 wananiomba niwanunulie bia, viroba, fegi, mbege, sukari natoa. Ikawa ni...
Back
Top Bottom