Search results

  1. B

    Ukiukwaji wa Haki za Binadamu: Tanzania yachongewa Umoja wa Mataifa (UN)

    Hivi ni kipi unadhani Tanzania ingefanya ingeweza kuzuia korona? Angalia USA pamoja na jitihada zao zote za kupambana na korona mpaka ya takwimu za leo new deaths USA 1800+... Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
  2. B

    Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

    Nenda ambacho hali si mbaya. Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
  3. B

    TANZIA Dkt. Peter Mamiro afariki dunia zikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe(Prof. Delphina Mamiro) afariki dunia

    Nenda US taifa tajiri kwa ambako hawafi na corona. Corona wao wanaisikia inaua Tanzania tu.
  4. B

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Kumbe riwaya? Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
  5. B

    #COVID19 Ubalozi wa Marekani, watoa tahadhari dhidi ya ongezeko kubwa la ugonjwa wa Covid-19

    Nenda marekani hakuna korona wameisha ishinda wao huko. Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
  6. B

    Hakika siku ya leo sitaisahau maishani mwangu

    Mambo haya ni ya kumwachia Mungu ingia kwenye net uone Marekani wanaojisifu kuwa na vifaa vya kutosha uone watu wanaokufa kila siku. Uwe serious, usiwe serious hili gonjwa halina cha kujiandaa au kwamba una vifaa tiba bora. Tuendelee kumtumaini Mungu... Sent from my Infinix X655 using...
  7. B

    Ujamaa system bana, sasa ni marufuku kwa Watanzania kufanya "jogging" siku za Ijumaa, Jumamosi, na Jumapili

    Joggig waliniblock njiani almanusura niachwe na flight Dar - Mwanza. Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
  8. B

    Tuliowahi kudate na waume za watu tukutane hapa tusimuliane visa tulivyowahi kukutana navyo

    Mmmm Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
  9. B

    Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

    Huko USA unadhani hawavai barakoa? Hawajui social distance? Mbona wanakufa watu 2000 kwa siku. Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
  10. B

    KDF to buy 118 top military vehicles to fight al Shabaab

    Soon mtajua hizo gari sio kwa Alshabab. 2022 hiyo ndiyo mtajua matumizi ya hizo gari. Mark my words. Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
  11. B

    Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

    Mambo mengine ni kumwachia Mungu tu. Hivi mnadhani USA wanakokufa watu 2000+ Hawana mbinu kama sisi? Mungu yeye anajua kabisa hili gonjwa halina cha kujihami wala kwamba umejipanga. Likija limekuja hakuna cha kwamba una huduma nzuri za afya wala kwamba una mipango mizuri. Ndiyo maana Magufuli...
  12. B

    Nahitaji kufahamu kiwanda cha kutengeneza matisheti

    21century cha MO kiko Morogoro. Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
  13. B

    Nile nini baada ya mazoezi kupunguza maumivu?

    Jitahidi kuwa unakunywa maji ya moto au uvuguvugu baada ya mazoezi. Hakikisha unakunywa maji ya kutosha. Dehydration mara nyingi husababisha muscle cramping. Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
  14. B

    Ni ipi mipango ya Serikali ya awamu ya tano katika kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania?

    Kama mtoa mada umeshindwa kutambua fursa za ajira zinazotengenezwa na serikali hii basi unapaswa kurudi shuleni. Mradi mkubwa wa umeme utafungua fursa za ajira kwa sababu kwanza utavutia uwekezaji wa viwanda kwa sababu nishati itakuwa inapatikana kwa uhakika. Viwanda vikifunguliwa ajira...
  15. B

    Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

    Kwa utapeli wenu mliwalaghai Rwanda na Uganda mkaunda Northern Corridor. Haikudumu hata miezi sita Rwanda wakarudi Tz, Uganda nao wanatumia Tz ajabu hata mizigo ya South Sudan inapita Tz. Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
  16. B

    Tafakuri: Japokuwa Wapinzani mnamchukia Mkuu wa Kaya, lakini Watanzania wanamshukuru Mungu kuwa na Rais kama huyu

    Uchaguzi mlitaka kuharibu wenyewe watanzania ni werevu sana. Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
  17. B

    Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

    Mnajitapa mna uchumi imara wakati, Tanzania tukiweka vikwazo mnaanza kutapatapa... Mnarudi na kupiga magoti. Tanzania tumeshawekewa vikwazo na US na Ulaya lakini hatukuwahi kutetereka, maisha yanaendelea kama kawaida. Hata sasa Umoja wa Ulaya walijifanya kupiga kelele tukawarudishia pesa yao...
  18. B

    Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

    We endelea kujitapa bure wakati haizidi hata miaka mitano mnakwenda kuumbuka. Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
  19. B

    Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

    Uongo mtupu wakati wakenya siku zote wako Tanzania kusaka green pasture, Tanzania kwao wanaona ina maslahi mazuri. Hadi wengine wanafanya kazi chini ya taaluma yao kisa zinalipa sana. Huwezi amini baadhi ya taasisi zilikuwa zinaajiri wa kenya kisa ni cheap labour. Kenya ndiyo nchi inayoongoza...
  20. B

    Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

    Subiri endeleeni kuwaza hivyo hivyo, Tanzania ya jana siyo ilishaondoka tuna Tanzania mpya na watanzania wenye mtazamo mpya. Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom