Search results

  1. socha

    Naomba msaada wa jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji

    Tatizo sio lugha wala picha Tatizo hayapo maelekezo husika
  2. socha

    Naomba msaada wa jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji

    Nimejaribu kuangalia lakini naona inatumika katika sabuni za miche
  3. socha

    Naomba msaada wa jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji

    Kuna post humu jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji kwa kutumia caustic soda na salfonic acid pekee Kwa mwenye uelewa naomba atufafanulie vizuri
  4. socha

    Natafuta kazi ya ukemia wa dhahabu (gold processing)

    Asante Tatizo connection mkuu
  5. socha

    Natafuta kazi ya ukemia wa dhahabu (gold processing)

    Habari, Natafuta kazi ya ukemia wa dhahabu (gold processing) Kwa mwenye connection ama kazi naomba anisaidie wakuu maisha magumu bila kazi ndugu zangu tusaidiane Jinsia yangu ni +ke hata kazi nyingine naweza kufanya, nipo Geita
  6. socha

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Hapana bado
  7. socha

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Habarini.. Mwenye connection ya kazi ya ukemia(uchenjuaji/mineral processing) kwa geita nipo hapa dada yenu nina uzoefu na uaminifu pia katika kazi,mwenye plant ama connection naomba anisaidie hata kazi nyingine pia naweza kufanya kama kusimamia mradi,shell,storekeeper n.k...Maisha ni magumu...
  8. socha

    Natafuta chumba cha kupanga Mwanza Mjini

    Habari wanna jf... Kuna mtu anahitaji chumba cha kupanga mwanza mjini kama unacho au unafaham kinapopatikana naomba unijuze ila usiwe dalali chumba kinachohitajika ni cha 30,000 kiwe katika hali nzuri.
  9. socha

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habari Mi naandika story na scripts naomba kwa anaehitaji au kuniunganisha na wanaohitaji stories anisaidie Hata Kama utahitaji kuandikiwa nakuandikia halafu utapublish mwenyewe Topic yoyote utakayohitaji nakuandikia Mawasiliano 0675676269 au pm
  10. socha

    Natafuta vifungashio

    Mbona majibu hakuna?
  11. socha

    Mazulia safi kabisa yanapatikana

    Ni mazulia...
  12. socha

    Mazulia safi kabisa yanapatikana

    Mazulia safi na ya kupendeza popote Tanzania utatumiwa kwa uaminifu mkubwa Unaweza pia kuchagua maneno unayohitaji kuwekewa kwenye zulia lako. Bei ni nafuu kabisaTsh 12000 kwa Bei ya jumla 15000 rejareja kwa mazulia ya mlangoni Pia ukihitaji makubwa zaidi utatengenezewa Napatikana Mwanza Kwa...
  13. socha

    Natafuta kazi yoyote halali Mwanza na Geita

    Bado sijakata tamaa.. Msaada wenu jamani
  14. socha

    Ugumu wa ajira siku hizi

    Hapana sijapata tatizo uchumi
  15. socha

    Haya tuliyofanya zamani; Je, ni dalili za ushirikina au ndio mila na destruri zilidumishwa?

    Nyoka wakubwa huitana kwa staili hiyo. Kama Yupo karibu anaezahisi kaitwa na mwenzie
  16. socha

    Natafuta kazi yoyote halali Mwanza na Geita

    Mmh Asante ila.. Hapana
Back
Top Bottom