Search results

  1. Nkungulume

    Naomba ufafanuzi jinsi serikali inavyonufaika na mradi wa UDART

    Wakuu nimesoma muundo wa kampuni ya mabasi UDART kwamba kampuni ya Simon group inamiliki asilimia 51. Kwa upande wa pili serikali na umoja wa wenye daladala kwa pamoja wanamiliki asilimia 49. Sasa hoja yangu ipo hivi miundombinu (barabara) imejengwa na serikali kutokana na kodi ya wanaichi...
  2. Nkungulume

    Naipenda sauti ya Da Zuu

    Hodi jamvini kwa kweli lazima niseme ukweli sauti ya mtangazaji Da Zuu wa cloud radio. Naipenda sana anapo tangaza natamani aendelee kwa wale mlio karibu naye mfikishieni salam zangu. Toa hisia zako kama kuna mtangazaji unayempenda kwa namna yeyote ile povu kafulie nguo hapa halitakiwi.
  3. Nkungulume

    Ni wakati gani abiria wamekuwa wakisema dereva alikuwa anakwenda mwendo mkali?

    Habari za asubuhi wana jamvi, Nimekuwa nikisafiri kwa mabasi kwa muda refu sana katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kwa utaratibu wa sasa kuna vituo askari wa barabarani wamekuwa wakisimamisha mabasi ya abiria na kuuliza abiria mwendo wa dereva. Lakini mara nyingi abiria wamekuwa wanasema ni...
  4. Nkungulume

    Kuzuia kuongea na simu ndani ya benki inasaidia?

    Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh. Amani ya bwana iwe juu. Wana jamvi rejeeni kichwa cha habari hapo juu. Nimekuwa nikitafakari kwa mda mrefu juu ya amri ya kutokuongea na simu ndani ya benk. Ni kweli kabasa baadhi ya wahalifu wamekuwa wakitumia simu kama nyenzo ya kuwasiliana na...
  5. Nkungulume

    Kampuni ya mabasi BARAKA acheni uswahili

    Wadau rejeeni kichwa cha habari hapo juu nimekuwa nikisafiri na mabasi haya ya Baraka nikitokea Dar kwenda Lindi na kutokea Lindi kwenda Dar. Anayo mabasi ya VIP na luxury za kawaida mm nimekuwa mara nyingi nikikata tiketi za VIP. Cha ajabu sasa kule nyuma ambako kunatakiwa kuwe Business Class...
  6. Nkungulume

    Nampenda Evelyn Salt

    Kwani Evelyn salt uko wapi mbona unanitesa hivyo nifanye nini ili ujue nakupenda. Siyo nakupenda tu ila nakupenda sana njoo Evelyn Salt tafadhali njoo najua upo nataka uelewe
  7. Nkungulume

    Natafuta nyumba ya kupanga Masasi

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ninahitaji vyumba vitatu vya kupanga Masasi mjini nyumba iwe na umeme na maji. Chumba kimoja kikiwa maater itakuwa bora zaid
  8. Nkungulume

    Napata mashaka na kiwango cha elimu yetu.

    Habari za asubuhi hapa jamvini. Ni matumaini yangu kuwa mmeamka salama wale ambao mpo mapuzikoni kila la kheri. Na wale ambao mnaenda kuwajibika nawatakia kazi njema. Ni rudi kwenye mada yapata kama miezi miwili hivi nilikuwa nikisafiri kutoka Dar kwenda Lindi. Katika siti niliyokaa alikuwepo...
  9. Nkungulume

    Tenesco Lindi mnamatatizo gani? Mnazima umeme mara kwa mara.

    Wakuu nipo hapa Lindi mjini toka jana milango ya saa 5 asubuhi baada ya kufika nikachukua sehemu ya kulala. Nirudi kwenye mada toka nilipofika hiyo jana umeme umekuwa ukikatika mara kwa mara yaani kama nikihesabu inaweza fika hata mara 20. Maana mara nyingine unaweza ukajiuliza kuna mtoto...
  10. Nkungulume

    Nataka kwenda Newala, wenyeji naomba nisaidieni maelezo muhimu

    Wakuu nahitaji kwenda Newala kwa wenyeji wa huko tafadhali naomba mnijuze basi zuri nauli ni kiasi gani na hotel/Guesthouse kuanzia sh. 25-30.
  11. Nkungulume

    Udhalilishaji huu utaendelea mpaka lini?

    Hodi katika jamvi ni matumaini yangu ku mmeamka salama jana usiku katika wilaya Makete Mkoa wa Njombe. Askari walikuwa wakipita katika nyumba za kulala wageni na kukamata wageni waliokuwa wamelala katika nyumba hizo. Sababu iliyotolewa ni kuwa hawakujiandikisha kwenye daftari la wageni na hivyo...
  12. Nkungulume

    Msaada wakuu kuhusu nmb benk

    Habari wana jamvi nataka nijue kuhusu benk ya nmb ukiachilia tawi la mlimani city ni tawi gani linalofanya kazi j2?
  13. Nkungulume

    Tutafakari juu ya gharama hizi za Harusi

    Ndungu wana jamvi habari za asubuhi, ni matumaini yangu kuwa mmeamka salama na mnendelea na shughuli zenu za kulijenga taifa. Hebu tutafakari juu gharama tunazochangia katika sherehe za harusi ambazo zimekuwa zikipanda kila siku. Tunachangia gharama hizi kubwa sana ambazo mwisho wake...
  14. Nkungulume

    Mtaalamu wa massage anahitajika

    Hodi wana jamvi nahitaji mtaalam wa kunifanyia massage ambaye anauzoefu wa kutosha na awe tayari kufanya huduma hiyo sehemu tofauti na anapofanyia. Awe mwanamke ambaye atakuwa tayari ani PM kwa makubaliano zaidi.
  15. Nkungulume

    Kufungua website

    Msaada mtalaamu wa kufungua website anipm tafadhali
  16. Nkungulume

    Waendesha bodaboda wafundishwe kufuata sheria za barabarani

    Hodi wana jamvi leo nimekusudia kuongelea waendesha Pikipiki maarufu bodaboda. Kweli hii kazi imekuwa ni msaada mkubwa wa ajira kwa vijana wetu na kurahisisha usafiri maeneo mengi ajira hii imenea nchi nzima. Kwa mara ya kwanza ajira niliiona nchini Rwanda mwaka 1980 nikiwa safarini kwenda...
  17. Nkungulume

    Hivi ni nani atatuokoa katika hili, gharama zinaongezeka kila sehemu

    Gharama zimezidi kila eneo naomba nitoe mfano wa makampuni ya simu zamani ukinunua bando la muda wa maongezi unapewa na mda wa inter net na sms. Lakini leo mda wa maongezi una gharama zake inter net gharama zake na hata sms na ukienda katika eneo la kuweka na kutoa pesa hapo ndiyo usiseme...
  18. Nkungulume

    Mauaji Pwani: Ikwiriri, Kibiti, Njopeka kutembea mwisho saa 3 usiku

    Wana jamvi habari ya jioni awali ya yote niwape pole kwa kazi za kila siku za kulijenga taifa na pia kuzijenga familia zetu. Ndugu zangu maeneo hayo niliyoyataja ambayo yapo mkoa wa Pwani hali ni tete baada ya viongozi wa serikali za vijiji kuuwawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana ambao...
  19. Nkungulume

    Nyumba inauzwa

    Nyumba inauzwa ipo maeneo ya Tandika Azimio ni ya ghorofa moja tafadhali kwa anayehitaji piga simu 0656539377
  20. Nkungulume

    Kwanini baadhi ya halmashauri za miji miundombinu ni dhaifu?

    Wakuu habari za jioni nina udhoefu wa mda mrefu wa kutembembelea miji mbali mbali hapa nchini kwetu. Na nimegundua kuwa baadhi ya miji miundo mbinu imekuwa hafifu sana ukilinganisha na miji mingine. Nitoe mfano tu wa miji kama Iringa, Songea na Moshi. miundo mbinu yake iko vizuri tafauti na...
Back
Top Bottom