Search results

  1. kokakola

    Usiyoyajua kuhusiana na kampuni ya Cocacola KWANZA ( Dar- Mikocheni )

    Huko nyuma nilielezea mapungufu mengi sana ya kampuni ninayoifanyia kazi ( Cocacola Kwanza company Dar-Mikocheni ) ambapo wachache wakatafsiri kwamba eti kufanya vile ni kuiponda kampuni. Ndugu zangu, kitanda usicholalia haujui kunguni wake. Waulizeni wafanya kazi watanzania walio katika...
  2. kokakola

    Hivi kima cha chini cha mshahara wa mwajiriwa ni kiasi gani?

    Naomba kuwekwa sawa juu ya hili. Hivi kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi ambao siyo wa serikalini ni kiasi gani.
  3. kokakola

    Poleni, Coca-Cola Kwanza

    Ndugu zangu, habari za mida. Nakuja tena mbele yenu leo nataka kunena jambo. Wakati mwingine pesa huweza kumziba mtu mdomo na akawa kimya kabisa, nakubali hii ni kweli. Ila mimi nashindwa kuvumilia ndiyo maana huwa naandika yale ninayoyaona si mazuri na ya kinyonyaji hasa kwa vijana wetu ambao...
  4. kokakola

    Uhamiaji pitieni hapa

    Kwakweli nchi hii inasikitisha sana. Vijana wetu wanalia hawana ajira huku baadhi ya nafasi za ajira wanapewa wageni kutoka nje tena kinachosikitisha zaidi unakuta kazi wanazofanya hata watanzania wanaweza kuzifanya. Tena utakuta hao wageni hata vibali vya kufanya kazi hapa nchini hawana...
  5. kokakola

    Tetesi: Mgomo vingunguti katika kiwanda cha PEPSI

    Habari za muda huu wakuu. Kuna tetesi hapa kwamba vibarua walio katika kiwanda cha Pepsi kilichopo vingunguti jijini Dar es salaam wamegoma. Je ni kweli?. Mwenye taarifa tafadhari. NOTE. Hapa Cocacola kwanza Ltd ( Dar rs salaam ) na sisi siku na muda wowote tunakinukisha pia. Tunanyonywa sana...
  6. kokakola

    Mwambieni Mh, Jenister Muhagama na Abdallah Possy

    Kwa niaba ya vijana wenzangu wengi naomba nikusumbue kidogo. Naomba ukamuonyeshe hili JIPU ndugu waziri wa kazi vijana na ajira ( Mh, Jenister Muhagama ) na naibu waziri ( Mh, Abdallah Possy ) Pengine wao wanaweza wasiione hii post na kuisoma maana sina uhakika kwamba wapo humu JF...
  7. kokakola

    Nahitaji Solar pannel ( Used )

    Habari wana JF Kama juu kichwa kinavyosema. Nahitaji used solar panel. Sema unayo ya watt ngapi na unauza shi ngapi. Namba zako pia muhimu Nipo Dar ( Gongo LA mboto )
  8. kokakola

    Hivi lile shindano la #ChinaMade limeishia wap?

    Siku chache zilizopita hapa JF liliwekwa shindano la ChinaMade ambalo nadhani ni kwa udhamini wa China radio international ikishirikiana na jamii media group. Mimi sikushiriki kutokana na deadline ilinipita. Ila nilisoma stories za watu wote walio post hapa JF. Kwangu Mimi moja ya stories...
Back
Top Bottom