Search results

  1. I

    Serikali 'tukufu' ya Mh. JK inashambuliwa kila kona...!

    ndugu yakupasa kutulia,kutafakari na kisha unasema! siku zote nakushahuri ujifunze kuangalia leo yako na si jana yako, maana jana haina maana yoyote zaidi ya leo yako, na leo yako ndio inayotengeneza kesho yako!
  2. I

    Serikali 'tukufu' ya Mh. JK inashambuliwa kila kona...!

    hakuna jammii yoyote hapa duniani na hata huko wanakokwenda watu kisha wasirudi wanapendezwa na wizi,unafiki,nguvu pasipotakiwa, uongo! wote kwa pamoja watasimama wima kupinga mambo hayo kwa nguvu zao zote ilimradi tu haki yao ipatikane!
  3. I

    Mh. Samweli Sitta: Waziri wa Afrika Mashariki Ameiasi Serikali ya CCM?

    SIku zote mwenye kupenda maendeleo ya watu walio chini yake ufanya kila analoweza ilimradi awasaidie watu hao kuweza kufikia maendeleo, Yeye ni mtanzania pia ni kiongozi wa muda mrefu, anayajua matatizo ya watu wake na ndio maana hapendi kukumbatia maovu ya wanachukua chako mapema maana anajua...
  4. I

    Mwl Nyerere

    kwa hakika tulijuta,tunajuta na tutaendelea kujuta kwa kumkosa baba wa taifa kwa kipindi hiki maana sasa kila jambo alilokuwa analikemea kwa nguvu zake zote kama ni maouvu ambayo hayapaswi kufanywa na viongozi yamegeuka kuwa mena na ya kuchekelewa ilihali ni msiba na mzizo kwa mahohehahe sisi...
  5. I

    Hali ni mbaya sana Arusha hospitali

    HEY man serious on what you say,think criticaly before you say.write or talk anything...remember when the time goes the new ideas and thoughts which is productive to the majority erupt. And the time will come and show those leaders who are there for their benefit including you! you're happy...
  6. I

    Hali ni mbaya sana Arusha hospitali

    hali ndio hii,nchi imekuwa machinjio gerezani kwa wasiokuwa na hatia! Tuone tunafanya nini sasa na sio kulalamika tu, maana wahenga walisema kuchukia na kuishia kunung'unika pekee hakusaidii kitu.... let us unite and find the way in how we can amend this situations which leave us with the pain...
  7. I

    Hali ni mbaya sana Arusha hospitali

    ndugu zangu WANTANZANIA, poleni sana na mkasa huo ambao ni mkubwa. baada tu ya uchaguzi mambo yamekuwa sio mambo. Hebu fikiri ni lini uchaguzi ukafanyika kisha ndani ya takribani miezi miwili, matukio makubwa matatu yaliyoacha makovu,vilema na zaidi misiba....tumeshuhudia virungu,mabomu na maji...
Back
Top Bottom