Search results

  1. BlackPanther

    Nahitaji kontena ya futi 20

    Habari wakuu? Hope wazima kabisa! Nina uhitaji wa kontena la futi 20, lenye hali nzuri, bajeti yangu ni tsh 500.000/= Laki tano! Ahssnteni!
  2. BlackPanther

    Hii mboga inaliwa? Msaada wenu!

    Mchicha pori mwekundu je! Unaliwa ama sumu? Na upandaji wake ni kama mchicha tuliouzoea? Hivyo nikisema nijaribu kuupanda unakubali kwa all season kwa maana kiangazi na masika? Mchicha pori nimetokea kuupenda sana sana, ila huu mwekundu unanipa mashaka kama unaliwa. Msaada wenu wanajamvi...
  3. BlackPanther

    Morocco National Football Team (The Atlas Lions) Special Thread

    MOROCCO NATIONAL FOOTBALL TEAM 🇲🇦 HONORS: Tafadhali, wenye elements za ubaguzi wapite pembeni, uzi huu hauwahusu!
  4. BlackPanther

    Morocco National Football Team (The Atlas Lions) Special Thread

    Moderator kuna thread mbili zimeniijia, naomba ufute hii ambayo haina chochote ndani yake
  5. BlackPanther

    Messi alimdhalilisha sana Ronaldo, ona hii Clip mpaka huruma 😄

    458KB Messi kawadhalilisha sana wachezaji 😄😄
  6. BlackPanther

    Huyu dogo ni hatari sana, angalia alivyo wanyanyasa Brazil

    👇🔥🔥🔥 Dogo amepiga hatrick, magoli ya ufundi haswaa, so itapendeza sana ikiwa watamchezesha world cup 2026, sio wa kumuacha namba 10 huyu....
  7. BlackPanther

    Mwenye uelewa wa hiki chombo anisaidie

    Habarini wakuu? Hope wazima kabisa.. What is motorcycle fuel consumption per km? Kwa watumiaji wa hizo pikipiki za miguu minne(Quad Bike) cc700, mnaweza kunisaidia consumption ya petrol kwa km?
  8. BlackPanther

    Hili ndilo Kombe la Dunia bora kwangu kuanzia mwaka 1998 mpaka 2022

    Katika mashindano yote niliyoshuhudia, from 1998-2022, basi hili ndio shindano bora kwangu(2022), sio tu shindano, bali na muandaaji mwenyewe QATAR na tamaduni zake nimezifurahia sana sana, wengine walijaribu kubip suala la ushoga wakagonga mwamba.. hongereni sana wana-QATAR, hakika mmewaweza...
  9. BlackPanther

    Mgao unaoendelea wa umeme, ni furaha kubwa kwa Mitandao ya Simu

    Huu mgao wa umeme unaoendelea kwa kasi, umesababisha wengine tutumie simu za mkononi kuangalia mpira, jambo ambalo linatugharimu sana sisi wapenzi na watazamaji wa mpira wa miguu. Vifurushi vimepanda bei, mafuta yamepanda bei, in short maisha kwa ujumla yamepanda juu. So, Mgao unaoendelea wa...
  10. BlackPanther

    Kwa yeyote anayejua hili anisaidie

    Naomba kufahamishwa unapoongea na mtu kwa njia ya simu, je! Ni wapi naweza kurekodi maneno yake wakati wa mazungumzo? Naomba kuweleweshwa makamanda wangu.
  11. BlackPanther

    Watanzania wenzangu tushirikiane kwa pamoja, hawa watu wamevuka mipaka

    Bei za vifurushi vimepanda mno, ukijiunga zinaliwa fasta, najitahidi kujibana lakini wapii, hata kama kuwemo kwa tozo/kodi za serikali lakini sio sababu ya wao kutupandishia kiasi hicho, ni too much kwakweli, wamevuka mpaka. Mimi ni mpenzi na mfuatiliaji wa football, and many times naangalizia...
  12. BlackPanther

    Wale wa Wydad Casablanca tukutane hapa

    Leo tunamdunda mtu jamani My prediction Wydad Casablanca 2-1 Al ahly, FT Karibuni sana makanda wangu
  13. BlackPanther

    Poleni Sana Ukraine, siku zenu zinahesabika...

    Marekani na Nato wamemponza mwenzao, utampelekeaje Zelensky silaha na mindege! Ona sasa kilichomkuta huyu Comedian....hapa BlackPanther anahesabu siku za kuimega ukraine, Nawasubiri pro Americans a.k.a wazee wa kukaririshwa na kuaminishwa Propaganda za westerns... 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
  14. BlackPanther

    Hawa ndio wanaume wa shoka

    Wale wa wydad na Raja Casablanca tukutane hapa....tunauwa mtu...... Karibuni sana makamanda wangu Al ahly and Raja Casablanca saa 5:00 usiku Belouizdad and Wydad Casablanca saa 00:00 Kila la heri Wydad and Raja Casablanca
  15. BlackPanther

    Wale wa Algeria na Morocco tujuane hapa fasta 😀

    Congo 1-1 Morocco FT Cameroon/Mchongo 0-1 Algeria FT Next matches tutachezea HOME HOME HOME Karibuni makamanda wangu
  16. BlackPanther

    Edo Kumwembe atoa ya moyoni kuhusu Messi

    TV & RADIO PERSONALITY SPORTS JOURNALIST @wasafitv, Edo Kumwembe. Ametoa ya moyoni kuhusu Lion Messi baada ya kubeba ballon d'Or ya 7, nami BlackPanther kwa upande wangu nasema hivi "Yuko sahihi na wala hajakosea hata kidogo bwana Edo" ingawa kwangu mimi bado nitaendelea kuwakubali (Lion Messi...
  17. BlackPanther

    Miaka 18 iliyopita historia iliandikwa (Leo 10)

    Zimebaki siku 11 akabidhiwe ballon d'Or ya 7......
  18. BlackPanther

    Wawakilishi Kutoka Bara la Afrika

    1 Algeria 2 Morocco 3 Mafarao 4 DR Congo 5 Tunisia 6... 7... 8... 9... 10... (Algeria and Morocco) wawili hawa sina pressure nao hukoo Qatar, i know that watatuwakilisha vyema kabisa. kwangu mimi nawatambuwa kuwa ndiyo (Giants of Africa). Kwako mdau mwenzangu, nani unampa nafasi ya kusonga...
  19. BlackPanther

    Imevuja Ballon D'OR (2021)

    IMEVUJA Kwa upande wangu LEO10 anasitahili, no doubt, na vigezo viko wazi. Unaepinga jiandae kuja na facts with statistics. Karibuni sana wadau, nawapendeni nyote
Back
Top Bottom