Search results

  1. Madihani

    Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

    Nakuja PM kuuliza jambo fulani. Au njoo wewe PM.
  2. Madihani

    Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

    Hongera sana kwa kupata mume.
  3. Madihani

    Nilichobaini kwa watu wa Njombe

    Mwenzako ameandika vitu vinavyoonekana wewe unaleta habari za kufikirika. Ni wajinga wachache kama wewe ndio wanaamini mambo ambayo ukiambiwa thibitisha unaishia kutoa macho kama mjusi kabanwa na mlango. Mimi ni mzawa wa Njombe huwa nashangaa wajinga wanaokomaa kuongelea habari ambazo...
  4. Madihani

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Vikindu

    Nani alikufundisha kuwa viwanja vinapimwa kwa kipimo cha futi. Tumia kipimo cha mita au mita za mraba.
  5. Madihani

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Vikindu

    Huu ni ujinga, watu wa Mbagala na Mkuranga elimu yenu mmeipata kwenye shule zenu peke yenu.
  6. Madihani

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Kuna mtu anauza maeneo yale kwasababu ameona hawezi kujenga kama walivyojenga majirani.
  7. Madihani

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Kama una 50mil kuna kiwanja Goba Kulangwa, mita 100 kutoka barabara ya lami ya Goba kwenda Madale, ukubwa ni 600sqms. Eneo limepimwa. Karibu PM
  8. Madihani

    Hivi huwezi mtu kugomea uteuzi?

    Hongera kwa kusomeshwa. Tambua kuwa waliosomeshwa ni wachache sana ukilinganisha na waliojisomesha.
  9. Madihani

    Nini husababisha jasho jingi kwa watoto?

    Wanaishi mkoa gani? Kama ni Dar es Salaam ni kawaida. Kama ni Njombe hasa Makete hao ni wagonjwa.
  10. Madihani

    Ni ngumu sana kupata mwanamke full package

    Pole sana. Tafuta Mhasibu mwenzako mtaendana.
  11. Madihani

    Hizi ni baadhi ya njia zinazotumiwa kudukua mitandano ya kijamii

    Ukiona mtu anaonekana amepost picha za ngono ujue alikuwa anajaribu kufungua.
Back
Top Bottom