Search results

  1. Nurdin Mihungo

    Usafi ni tabia

    Usafi wa Mtu/Mazingira yake ni Tabia, inaweza kuwa ya kuzaliwa nayo au ya kujifunza, inaweza kuwa kujifunza kwa hiari au kwa kulazimishwa; sasa hili swala la Usafi wa Miji yetu inabidi kuwekwe utaratibu huo, kuwa usipokuwa msafi kwa hiari, basi utakuwa msafi kwa kulazimishwa (iwe sheria au...
  2. Nurdin Mihungo

    Hodi hodi wana JF

    Habari zenu wakuu, hongereni kwa kazi ya kujenga Taifa; na hongereni kwa kutumia Mtandao huu kuibua mambo mbalimbali yanayoikabili jamii, pia hapa kuwa kitovu cha mijadala yenye tija kwa jamii na Taifa kwa ujumla, nami nimeamua kujiunga nanyi!!
Back
Top Bottom