Search results

  1. Geofrey Maseta

    Simba kutangaza ubingwa Mbeya leo...sio Singida

    Ha ha ha ha ha ha.. Hapana chezea mnyama weye..
  2. Geofrey Maseta

    Mkude ndiye kiungo bora wa chini kuwahi kutokea nchini?

    Daaah mtoa mada kuna viungo bora kbsaa hujawatendea haki Mf : Issa Athuman.. Ramadhan Lenny.. Athuman Abdalah china.. Hussen Marsha.. Salvatory Edward... Niko Bambaga... Michael Paul... Hamis Gaga.. Wazir Mahadhi.. Godfrey Bonny Mwandanje...kiukweli Mkude ni mzr sio kwa ulivyompamba mkuu...
  3. Geofrey Maseta

    Wanajeshi wa Tanzania takribani 2000 walifyekwa na majeshi ya Idd Amin; huo ndio ulikuwa mwanzo wa vita ya Kagera

    Naungana na ww mkuu.. Nimewahi kukisoma kitabu cha siri cha vita ya Uganda... Kilikuwa kimeandikwa kwa lugha ya tarakimu... Mfano Neno kama basi liliandikwa 52III2 ...aisee kile kitabu hakijaficha kitu chochote, wameelezea jinsi tulivyopigwa pale mpkani.. Tulipoteza mgambo na waalimu wa shule...
  4. Geofrey Maseta

    Tukubali tu Messi Ndiye Mchezaji Mahiri Kuwahi Tokea Hapa Duniani

    Ni mchezaji bora asiye na mafanikio kwenye kikosi cha Team ya Taifa lake kama akina okocha tu kwangu Gaucho ndo bora
  5. Geofrey Maseta

    Diwani wa CHADEMA kata ya Sinza ni mzigo

    Hapo jamaa anajaribu karata ya udc na uded... Haya bhana mhe chikandamwali atazipata salamu zako.... Lkn mkimnunua mtamsimamisha huyo huyo tena
  6. Geofrey Maseta

    Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

    Ha ha ha ha.. Albadiri si kitu cha mchezo mchezo
  7. Geofrey Maseta

    Manyara: Diwani wa Kata ya Masakta Wilayani Hanang', Marco Martini Kia (CHADEMA) amejiuzulu na kuhamia CCM

    Aende salama tu.. Hii biashara haizuiliki kwa namna yyte ile
  8. Geofrey Maseta

    Mwanza: Viongozi na wafuasi 20 CHADEMA waliokuwa msibani washikiliwa na Polisi

    Polisi wetu wana mambo ya ajabu sana.. Kumbe ni msiba??? Kwnn wasitumie busara tu??? Khaaa, pole pole anafanya na hatusikii polisi kufanya chochote
  9. Geofrey Maseta

    Wachezaji watatu mahiri kuwahi kucheza Simba SC

    Mohammed mwameja Hussen Masha George Masatu Nteze John Ramadhan Lenny
  10. Geofrey Maseta

    Simanjiro: Wanachama 3,500 wa CHADEMA wahamia CCM kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli na RC Mnyeti

    ccm kwa maigizo ni balaa.. Kutoka watu 35 hadi 3500? duuuh... Endeleeni kujitekenya na kuteka hvyo hvyo
  11. Geofrey Maseta

    Mbunge Elibariki Kingu: Watu kutekwa na kuuawa ni kawaida, haina haja ya kulipeleka Bungeni

    Tatizo hatuna bunge huru... Tuna mfano wa bunge tu
  12. Geofrey Maseta

    Kwanini wanawake hawa wanakuwa hivi........?

    Ha ha ha ha ha ha ha ha.. Hatari sana huu utafiti
  13. Geofrey Maseta

    Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

    Kama kuna mtu anamatumaini na serikali ya ccm kuwa inadhamila ya kufuta umaskini kwa raia wake bc huyo mtu ufikiri wake una mapungufu makubwa mnoo.. ccm furaha yao kubwa ni kuona wananchi wanaendelea kuwa maskini ili iwe rahisi kuwatawala... Hakuna mwana ccm yyte kwa ngazi yyte ana hiyo dhamira...
  14. Geofrey Maseta

    Madaktari wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, wamefanikiwa kutoa kipande cha chuma kilichokuwa ndani mwili wa Lissu

    Hz habar za mhe Lissu anaendelea vzr huwa zinawaumiza mioyo BASHITE na Makomeo... Maana hawakutarajia kuwa angekuwa hai hadi Leo... Hakika mungu wa lissu ni mungu asiye sinzia hata kidogo
  15. Geofrey Maseta

    CCM kushindwa Ibighi, dalili za CCM kupotea Rungwe

    ccm rungwe kwisha kwisha kabsa.. Hata kyela nako ccm kwisha kwisha kabsa.. Sasa hv wanapumulia kofia ya kamanda sirro tu... Kwenye uchaguzi mdogo uliopita wa kata 43 ccm hakuna kata hata moja walioshinda kihalali bila msaada wa polisi na watu wasiojulikana...
  16. Geofrey Maseta

    Kitendo cha Rais Magufuli kutoshiriki katika kuwaaga Makamanda 14 wa JWTZ waliouawa DRC...

    Yuko busy na mipango ya ununuzi wa wabunge kutoka upinzani... Pia waganga wa kienyeji walimpa asishiriki misiba... Jamani kutawala watu ni kz lazima uwalaze usingizi.. Ha ha ha ha ha ha eti ukiona maiti tu 2020 kwa heri
  17. Geofrey Maseta

    Tundu Lissu azungumza kuhusu tukio la kushambuliwa kwake, Amlaumu Rais Magufuli

    Kama si kweli kwnn siku ya tukio askari waliondolewa lile eneo ?? Cctv camera kwnn zimeng'olewa kwenye baadhi ya nyumba lilipofanyika tukio... Hv hii nayo inahitaji uwe std VII ndo ubaini huu mchezo ulichezwa na nani ?? Acha kujitoa ufahamu bhana
  18. Geofrey Maseta

    Haki ya kupata habari sahihi inapokiukwa

    Serikali ya danganya toto kila siku ni usanii tu
Back
Top Bottom