Search results

  1. josephdeo

    Karma ya watani wa jadi (stori za vijiweni)

    Karma ya watani wa jadi, Karma is what?... Usimalizie bwana wapo watoto underage humu ambao matusi hayapaswi kuwa sehemu ya ukuaji wao. Hivyo wacha turejee nyuma tuone ni kwanini wanazuoni waliona huo msemo unafaa... Leo niko kijiwe cha kirumba sokoni, basi bwana wacha turejee mpaka mwaka...
  2. josephdeo

    Sikia hii mwanangu

    Uko zako unaumwagilia moyo kwenye siti za nyuma kabisa ndani ya pub ya kitaa.... Wanaa wasikusome si unajua hawachelewi kuzusha kuwa wewe ni Freemason. Kumbe unajipooza na machungu ya siku nzima. Mara ghafla bin vuu inaingia ile pisi kali ambayo kila siku maombi yako ni kuonana nayo face to...
  3. josephdeo

    Mejja - Landlord (nyimbo na matukio)

    • Mejja - Landlord Kwenye hili song kutoka 254 hakuna chochote kinacho endana na story.. Ila kwa kuwa nimeisikia kwa dereva bajaji hapa basi imenikumbusha 2015. Experience ya kupanga kwa nyumba ya wenyewe huku Landlord akiwa kichefuchefu. KWANINI?!! #NYIMBOnaMATUKIO Around hiyo miaka...
  4. josephdeo

    Kumbukumbu za Muziki na Matukio

    • Ace hood-hustle Mama need house, Babe need some shoes Hustle, hustle hard!.. hustle, hustle hard! Hakaika kila niisikiapo nyimbo hii ni lines hizo ambazo naweza kuziimba kwa sauti ya juu. KWANINI?!! #NYIMBOnaMATUKIO Around 2013 kipindi hiki nilikuwa na babe fulani ambayo hatukuwa serious...
  5. josephdeo

    MAISHA YA UTEGAJI WA LUBONDO

    Makaburi yamezika ndoto nyingi, ndio! wala sina uwezo kulikataa hilo ila tu ninalo la kuongezea kwenye hilo. Kama ilivyo kwa makaburi pia mapenzi nayo yamechangia sehemu nyingine kubwa ya kuzika ndoto za watu wengi. Nasema haya nikiwa muhanga na si mhamasishaji. Naweza kusema maisha ni fumbo...
  6. josephdeo

    Baadhi ya visa vya mapenzi nilivyowahi kupitia

    Bado sijafika ila safari yangu ya mahusiano imepitia njia kadha wa kadha na visa hivyo nitavijumlisha hapa... Mapenzi haya acheni kabisa, hapana yaletea mazoea no mara waaah!. Nakumbuka ilikuwa form 4 kama sijakosea ndani ya Gwantanamo ya Mwanza Thaqafa. Ijumaa fulani niliyokuwa na mtoko enzi...
  7. josephdeo

    REDBULL (Namna ilivyoliteka soko la ulaya)

    Zama za leo kama wewe ni mfuasi wa kuifurahisha nafasi yako kupitia kwenye kumbi za starehi ni wazi uwezi kukosa kinywaji cha Redbull. Hichi ni kinywaji cha nguvu (energy drink) ambacho eneo lolote lile la starehe ulimwenguni uwezi kukikosa wala wahudumu wa sehemu hiyo hawawezi kukwambia kuwa...
  8. josephdeo

    MINING TOWN: Tamthilia inayoonesha namna China ilivyojikomboa na umasikini

    China ya leo ni matokeo ya mipango ya jana. Unafahamu ni kwanini rais Xi Jin Ping amepewa urais wa milele. Kama ufahamu kaa hapa ni rahisi mno. Ila kama una mda zaidi twende mbele ili kufahamu ni kwanini?. Wakati Xi anaichukua nchi alikuta bado kuna maeneo ya China yana umasikini uliokithiri...
  9. josephdeo

    Nani wa kulaumiwa?

    Upo msemo wa kiswahili usemao "wacha inyeshe ili tujue panapovuja". Upo uwezekano wa kuwa ajali ya Precision Air imetokea wakati ambao tumesahau kuhusu ajali ya Mv. Bukoba na treni, Dodoma. Lakini sidhani kama tumesahahu kuhusu ajali ya Mv. Space, Mv. Nyerere na kuungua kwa masoko mfululizo...
  10. josephdeo

    Natafuta kazi, nipo Mwanza

    Jina; Joseph .D. Migini Umri; 25 Elimu; kidato cha nne Natafuta kibarua chochote mahali nilipo MWANZA. Mawasiliano:- +255766604683 kwa meseji, simu au WhatsApp. Email; josephdeogratius70@gmail.com UZOEFU Duka nguo miaka minne, utozaji wa ushuru jiji miezi sita, kiwanda cha kutengenezea biskuti...
  11. josephdeo

    Brenda

    Mtoko wa chakula cha usiku ambacho nilikuwa na wiki mbili nimeuomba kutoka kwa Brenda ulikuwa umekubaliwa. Tulikuwa kwenye moja ya mgahawa katikati ya jiji la Mwanza. Tuliagiza chakula na kula kwanza hii ilikuwa kanuni niliyokuwa nimesoma kwenye moja ya majalida ya mahusiano. Kanuni hiyo...
  12. josephdeo

    SoC02 Elimu bure

    Mara baada ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani mwaka 2015 chini ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliamuru mara moja kuwa elimu itolewe bila malipo ikiwa ni utekelezwaji wa sera zake wakati akiomba ridhaa kwa watanzania kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Tamko ili ambalo ni sheria moja kwa...
  13. josephdeo

    Ndugu mjasiri mwenye mali (Mjasiriamali)

    Yapo mengi umejifunza au unayafahamu. Kuhusu wateja katika biashara yako. Sababu biashara ndogo zinawahitaji zaidi wateja kuliko wateja wanavyozihitaji. Ila kuna nyongeza katika hayo nayo ni kuhusu saikolojia hii kuhusu watu. Ndani ya kichwa cha binadamu huwa kuna kitu ambacho mara zote huoji...
  14. josephdeo

    Fahamu kuhusu hili

    Inawezekana hatufahamu kuhusu mchakato ila tunavutiwa sana na matokeo. Mara zote tumekuwa wakosefu kwa kutaka kujifunza kwenye matokeo badala ya mchakato. Matokeo ni hatua ya mwisho ya mtu hivyo ni ngumu sana kujifunza eneo hilo. Ila hatua za awali ambazo ndio mchakato wa kupatikana matokeo...
  15. josephdeo

    Jiwe gizani

    Sura yako ya ucheshi ndio tatizo pekee unalo niacha nalo. Kwani sidhani kama ni vyepesi kuiondoa mawazoni. Nilikuwa sifahamu ni nini nahijati kwa mwanamke mpaka pale macho yangu yalipo hifadhi kumbukumbu hizo kichwani mwangu. Toka hapo nimekuwa nikipata msukumo ndani yangu. Ya kuwa wewe ndie...
  16. josephdeo

    Maombi yangu kwako

    Ewe muumba wa mbigu na dunia, ewe ambaye viumbe wote waonekanao na wasioonekana wanakuabudu, ewe ambaye ni alfa na omega....Ewe Mwenyezi Mungu... Ninaomba wasaa wa kuzungumza nawe mimi kiumbe dhaifu uliyenijaza mwili wa nyama. Ulio na dhambi za asili wenye kurudishwa mavumbini kisha kuliwa na...
  17. josephdeo

    Jifunze kulipenda na sio unachokifahamu

    ISHI HUMO... Focus kwenye jambo unalolipenda zaidi kuliko lile unalolijua!!?... Unaweza kuwa na maswali mengi sana juu ya kauli iliyotajwa hapo juu. Usiwe na shaka kwani majibu ya maswali yako tunayo muhimu ni kuendelea kufuatilia. Iko hivi ukipenda kitu mara nyingi inakuwa rahisi...
  18. josephdeo

    Kwanini ni muhimu kusoma?

    Rais wa awamu ya tatu Hayati Benjamini Willliam Mkapa aliwahi kusema, ukitaka kumficha mtanzania kitu chochote mfiche kwa njia ya maandishi. Sisi binafsi tunaungana na kauli hii kwa asilimia 100. Asilimia kubwa ya Watanzania hawapendi kusoma kabisa jambo ambalo linatufanya kuwa nyuma sana kwa...
  19. josephdeo

    Mwandiko wako huweza kusema wewe ni mtu wa aina gani

    Umewahi kukuta tangazo la kazi lenye maelekezo ni kuwa barua ya maombi iandikwe kwa mkono? Na sio kwa kuchapa ulijikiria nini baada ya kuona hivyo? Mpaka hapo ulipofikiri ulishawahi kukutana na miandiko mingi tu. Umewahi kuona mtu anaandika mwandiko mkubwa? Mwingine mdogo sana? Ni hivi Utafiti...
  20. josephdeo

    THINK BIG by Ben Carson

    Kama hulka yetu wanadamu kutokuyafahamu yajayo naye hakujua kama hiyo ndio ingekuwa chanza cha mabadiriko yake ya kifikra. Kwanini?... Endelea kusalia nasi...
Back
Top Bottom