Search results

  1. josephdeo

    Karma ya watani wa jadi (stori za vijiweni)

    Karma ya watani wa jadi, Karma is what?... Usimalizie bwana wapo watoto underage humu ambao matusi hayapaswi kuwa sehemu ya ukuaji wao. Hivyo wacha turejee nyuma tuone ni kwanini wanazuoni waliona huo msemo unafaa... Leo niko kijiwe cha kirumba sokoni, basi bwana wacha turejee mpaka mwaka...
  2. josephdeo

    Sikia hii mwanangu

    Uko zako unaumwagilia moyo kwenye siti za nyuma kabisa ndani ya pub ya kitaa.... Wanaa wasikusome si unajua hawachelewi kuzusha kuwa wewe ni Freemason. Kumbe unajipooza na machungu ya siku nzima. Mara ghafla bin vuu inaingia ile pisi kali ambayo kila siku maombi yako ni kuonana nayo face to...
  3. josephdeo

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hivi ilikwisha kukutoke hii... Umekutana na pisi ukaimba fresh nayo ikasaini barida ila baadae unakutana na breking news kuwa ni mke wa mtu. Mbaya zaidi si mtu tu bali mwanao kabisa.. Situation hii ilinipata nikiwa Musoma mjini mitaa ya Nyakato. Kwanini nilifika hapa ni story ndefu ambayo...
  4. josephdeo

    Mejja - Landlord (nyimbo na matukio)

    • Mejja - Landlord Kwenye hili song kutoka 254 hakuna chochote kinacho endana na story.. Ila kwa kuwa nimeisikia kwa dereva bajaji hapa basi imenikumbusha 2015. Experience ya kupanga kwa nyumba ya wenyewe huku Landlord akiwa kichefuchefu. KWANINI?!! #NYIMBOnaMATUKIO Around hiyo miaka...
  5. josephdeo

    Kumbukumbu za Muziki na Matukio

    • Ace hood-hustle Mama need house, Babe need some shoes Hustle, hustle hard!.. hustle, hustle hard! Hakaika kila niisikiapo nyimbo hii ni lines hizo ambazo naweza kuziimba kwa sauti ya juu. KWANINI?!! #NYIMBOnaMATUKIO Around 2013 kipindi hiki nilikuwa na babe fulani ambayo hatukuwa serious...
  6. josephdeo

    MAISHA YA UTEGAJI WA LUBONDO

    #03 Nikiwa nafanya usafi wa ufagiaji wa kiwanja cha nyumbani kwa kuwa palikuwa mlimani na niliweza kuwaona wote walikuwa na safari za kuja nyumbani kabla hawajafika. Nikaona kuna kakikundi fulani ambako jazba ilijaa vifuani mwao, ilikuwa ni rahisi kugundua na haikuitaji akili za ziada. Mwendo...
  7. josephdeo

    MAISHA YA UTEGAJI WA LUBONDO

    #02 Jahazi lilizidiwa kabisa shehena na kuzama nikiwa kidato cha nne. Wimbi la pepo la ngono likaniandama na kunifanya niwe mraibu kwani nisingeweza kupitisha wiki sijalala na mwanafunzi wenzangu au binti wa makamo yangu. Hali hiyo ikashamiri huku mtu wa kukemea wala hakutokea na matokeo yake...
  8. josephdeo

    MAISHA YA UTEGAJI WA LUBONDO

    Makaburi yamezika ndoto nyingi, ndio! wala sina uwezo kulikataa hilo ila tu ninalo la kuongezea kwenye hilo. Kama ilivyo kwa makaburi pia mapenzi nayo yamechangia sehemu nyingine kubwa ya kuzika ndoto za watu wengi. Nasema haya nikiwa muhanga na si mhamasishaji. Naweza kusema maisha ni fumbo...
  9. josephdeo

    Baadhi ya visa vya mapenzi nilivyowahi kupitia

    Noma sana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. josephdeo

    Baadhi ya visa vya mapenzi nilivyowahi kupitia

    Gangster shit!, I remember when I was on the foolish age. Hizi enzi Rock City ilivamiwa na kawimbi fulani ka mageng utadhani ilikuwa south American. Kila street kulikuwa na gang, sio kama hizi za kina konde and others right now. Nazungumzia hapa ni zile geng za kukinukisha. People are loose...
  11. josephdeo

    Baadhi ya visa vya mapenzi nilivyowahi kupitia

    Hakuna kazi ngumu kama kuukubali ukweli!. Hapa nilikuwa nalia na maumivu baada ya kuwa nimepigwa kibuti na pisi ya kwenda ya UDBS. Sikujui mapenzi kama yanatesa hivi; Niko zangu kigamboni nimetulia mageto sina hili wala lile maisha yangu yapo yapo tu kama bendera. Kalikuwa ka kipindi kagumu...
  12. josephdeo

    Baadhi ya visa vya mapenzi nilivyowahi kupitia

    [emoji1][emoji1][emoji1]
  13. josephdeo

    Baadhi ya visa vya mapenzi nilivyowahi kupitia

    Hivi ulishawahi kuwa na ile pisi ambayo mko deep in frendship. Heshima inayotoka chini ya uvungu wa moyo, bro and sis mara mambo ya twin. But kuna scenario inatokea unajikuta umekula tunda. Inshu sio kula tunda but Kwa jinsi ulivyokuwa unamchukulia na lililotokea unajikuta huelewi ilikuwaje coz...
  14. josephdeo

    Baadhi ya visa vya mapenzi nilivyowahi kupitia

    Kuna dogo nilimkuta maskani, nipo IFM dogo yupo Advance ananichukulia kama icon. Hivyo akawa mwanangu ule ushikaji ulichangiwa kwa kuwa dogo alikuwa na konekisheni za pisi za Advance wenzie. Magroup kama yote ukienda kwenye gallery yake sasa unakutana na picha za pisi kibao. So urafiki wetu...
  15. josephdeo

    Baadhi ya visa vya mapenzi nilivyowahi kupitia

    Nimemaliza chuo bado nikiwa mbichi kabisa, mawazo kibao nipate ki kazi changu na kuanza kutakaka. Wacha life linichape namna sijaona, hakuna kazi nilipata zaidi ya msoto. Achana kabisa na msoto wa fresh from school unapiga mbaya mbovu kiasi hata hela ya bando hakuna. Ila fresh tu kwani tulikuja...
  16. josephdeo

    Baadhi ya visa vya mapenzi nilivyowahi kupitia

    Visa hivi sio vyenye mfuatano bali ni matukio yenye kujitegemea #02 SIKU MOJA NILIKUA NA SAFARI YA MWANZA TO DAR,SPONSA AKASEMA NILE MWEWE[emoji3575]SIKU HIO NILICHELEWA KIDGO KUFIKA AIRPORT[emoji28].SO NILIFIKA NIKAFANYA CHECK IN HARAKA HARAKA TU NIKASONGA MBELE WAITING AREA. KATIKA PIRIKA...
  17. josephdeo

    Baadhi ya visa vya mapenzi nilivyowahi kupitia

    Bado sijafika ila safari yangu ya mahusiano imepitia njia kadha wa kadha na visa hivyo nitavijumlisha hapa... Mapenzi haya acheni kabisa, hapana yaletea mazoea no mara waaah!. Nakumbuka ilikuwa form 4 kama sijakosea ndani ya Gwantanamo ya Mwanza Thaqafa. Ijumaa fulani niliyokuwa na mtoko enzi...
  18. josephdeo

    REDBULL (Namna ilivyoliteka soko la ulaya)

    Zama za leo kama wewe ni mfuasi wa kuifurahisha nafasi yako kupitia kwenye kumbi za starehi ni wazi uwezi kukosa kinywaji cha Redbull. Hichi ni kinywaji cha nguvu (energy drink) ambacho eneo lolote lile la starehe ulimwenguni uwezi kukikosa wala wahudumu wa sehemu hiyo hawawezi kukwambia kuwa...
Back
Top Bottom