Search results

  1. M

    Zitto umenena kweli, wafanyakazi hawana shukrani, wabunge mmelia sana hawakuwasaidia sasa ni zamu yao kulia

    Unapoona mbunge anatoa kauli ya kejeli kama hii,unajiuliza hivi hajui kazi yake ni nini? Hivi hajui kama yeye ni mwakilishi wa wananchi?Au marupurupu na posho anazopata kutokana na kodi za hao wananchi anaowadharau zinampa kiburi na majivuno.? Kupata bahati ya kupitia vijarida na makaratasi pale...
  2. M

    Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

    Huyu msanii..ila ni vizuri "wenyewe" washamfahamu kuwa si mkweli. Nadhani angeanza lipa mkopo yake michafu anayodaiwa na mabenki yetu kabla ya kurukia huku...Sidhani kama awamu hii udalali una nafasi...
  3. M

    Kwanini siasa ina ujira mkubwa sana kuliko proffesionalism?

    We acha tu..ndo mana hii nchi inaendelea kuwa maskini.Kuna haja ya kuwa na watu karibu 400 bungeni wanaolipwa mishahara minono na marupurupu tele kwa kupiga kelele na kusinzia tu wakati wananchi hawana vyoo,madawati,shule??Hiyo taasisi ya Bunge inabidi imulikwe sasa...kuna haja ya kuwa na viti...
  4. M

    Yogesh Maneck tajiri namba 1 Tanzania

    Kuna ujinga mwingi sana unaendelea kwenye viwanda ya hawa mabilionea mabepari wetu wa kihindi na kiarabu..Wafanyakazi wananyanyaswa,mishahara iko chini ya kima cha chini,watu wanadhalilishwa.Bidhaa nyingi zinazozalishwa ziko chini ya kitengo.. Wanaleta caravan za vibaraka wao kutoka India ambao...
  5. M

    Ali Mufuruki on ITV: Kilimo kwanza kiliishia wapi? Viwanda vya Saruji kupata hasara si ishara nzuri

    Na kipindi hicho ndo akaimarisha hiyo W-stores..si mbaya kama amekuwa mzalendo siku hizi..ahhhaaahh.
  6. M

    Ali Mufuruki on ITV: Kilimo kwanza kiliishia wapi? Viwanda vya Saruji kupata hasara si ishara nzuri

    Ally Mufuruki ..huyu huyu aliechangia kufilisi Air Tanzania akiwa na yule jamaa wa Africa kisuni au mdogo wake??
  7. M

    Millard Ayo anawajaza hofu Watanzania; anawaambia mafuta ya nazi ni sumu wakati hii ni kazi ya Serikali kuthibitisha

    Aache kupotosha watu bila sababu..Mzungu hawezi kujifanya anapenda sana afya zetu kuliko chochote.Msiwe kama dodoki mnanyonya kila uchafu wa GOoGLE..Huyu dogo anatakiwa ajitambue ..Tumetumia Mafuta ya Nazi/tui la nazi kutoka miaka na miaka kuanzia mababu zetu..kuanzia kilwa ,bagamoyo,Tanga e.t,c...
  8. M

    Tetesi: Wabunge kadhaa waanza kuwasiliana kwa ajili ya wao pia kuchukua maamuzi magumu

    Yani niache 90m mkopo wa gari,12m mshahara kila mwezi,50m hela ya Jimbo,kiinua mgongo cha 200m+ kila baada ya miaka mitano,marupurupu ya kamati n.k kukupigania wewe fukara? ? Sahau ndugu,wajinga ndo waliwao! ! Hakuna mwakilishi yuko pale kwa ajili yako ndugu,wote tuko pale kwa ajili ya matumbo...
  9. M

    Uzalendo wa Zitto Kabwe na Mwigamba kusomea nje ya nchi!

    Kuna mitazamo tofauti hapa,yawezekana wameenda kusoma kujiendeleza kwa maslahi binafsi au kwa ajili ya kujitengenezea utukufu siku za mbeleni..Mana bado kuna kasumba ya kuwa ukisoma nje ni bora kuliko elimu ya vyuo vyetu..ingawa kuna ukweli kwenye baadhi ya Maeneo unayoyasomea. Ingawa kusoma...
  10. M

    Wabunge wapinga billlioni 6 kurejeshwa Serikalini

    Hawa si wawakilishi wa wananchi,wanajiwakilisha wao wenyewe na familia zao.Haiwezekani hela kupelekwa kwenye maendeleo watu wanakataa.Vipaumbele vyao ni vipi?? Tatizo bunge imekuwa sehemu ya kutokea kimaisha kwa wengi wao na sehemu ya kutengeneza mtandao wa kujinufaisha badala ya kusaidia...
  11. M

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi wa jiji la Dar, Wilson Kabwe. Makonda amtuhumu kuongeza mkataba wa maegesho bila mchakato

    Ni kweli unachoongea,na pia hawa wapiga kura simple minds hawaitaji vitu vingi zaidi ya maji safi,umeme,barabara,maboresho ya hospital n.k Ukiwapa hivyo umemaliza kazi na magufuli analijua hilo vizuri sana..Nadhani wale wanasiasa waliokuwa wanatumia ripoti ya CAG kuchukulia sifa binafsi na kwa...
  12. M

    Magufuli ana ubavu wa kuvunja Bunge kama anavyodai?

    Kama hashauriki kwa maslahi ya taifa sio vibaya..sio kila ushauri una tija.
  13. M

    Ridhiwani Kikwete akana kufanya biashara na Polisi

    Mkuu ulichosema ni kweli kabisa...jaribu kuingia kwenye kumi na nane za hao Jamaa uliowasema hjuu uone figisufigusu zao. .waweza hama nchi kama una roho nyepesi..
  14. M

    Baada ya kujua mshahara wa Rais, Mtujuze sasa mshahara wa mwenyekiti wa CHADEMA

    Kama ni kweli Kama ni kweli ana huo utajiri unaousema basi atakuwa mbinafsi wa hali ya juu..Mbona ameshindwa kuwakomboa jimboni mwake.? Ataweza kuwakomboa watanzania kweli..?hizo biashara zinalipa kodi stahiki kweli ?Mamlaka inabidi iliangalie hilo jambo.
  15. M

    Ventilation on MCC move is primed on wrong assumptions

    Mawazo yake yaheshimiwe ila tusisahau kuwa naye alinufaika na udhalimu uliopita na pia alichangia kuua Shirika letu la ndege. ..Historia itamuhukumu. .. Huu uzalendo unatokana na wasiwasi wa kwamba biashara zake zitakwama kwa namna moja au nyingine kutokana na maamuzi haya..kilio cha mamba...
  16. M

    TRA watendee haki wafanyabiashara wa Kariakoo makadilio yenu

    Kwani wamelazimishwa kufanya biashara?ukiona kodi kubwa, badili biashara na fanya shughuli unayodhani utalipa kodi kidogo...tuache kulalamika ovyo..Kodi lazima ikusanywe hamna namna..
  17. M

    Dr. Kimei: Hatua ya Serikali kuhamishia akaunti zake BoT, itasaidia kupunguza mfumuko wa bei

    Kabla hawajafikiria kumpa nafasi ya Ndulu huyo ndugu achunguzwe vya kutosha kwa madudu yaliyofanyika hapo kwenye iyo benki "yake"..Kuna vitu vingi sana vimefanyika kuanzia kwenye ufungaji wa akaunti mfu/utoaji wa mikopo na ufutaji wa mikopo mibovu/forward deals e.t.c. Yatajulikana yote ni suala...
  18. M

    Operesheni wahamiaji haramu kazi imeanza, vilio vyatanda, wachina wagoma

    Ndugu nina kampuni mbili ambazo zinaendeshwa na watanzania wenzangu wenye sifa stahiki . Na kadri fursa zitakapoongezeka ntaendelea kutoa ajira kwa vijana wetu. Sitaleta kundi la wageni wasio na sifa kama makampuni mengi ya wahindi yanavyofanya afu kwa sababu ya udhaifu wa sheria .zetu..lazima...
  19. M

    Operesheni wahamiaji haramu kazi imeanza, vilio vyatanda, wachina wagoma

    Shida si Manji..shida ni kwanini makampuni yake kajaza wahindi wageni??ina maana hana imani na " watanzania wenzake"??
Back
Top Bottom