Search results

  1. F

    ushauri nataka kuacha chuo(udom).

    Ndugu nahisi were unaweza kuwa msaada wangu, the best tuwasiliane kwa 0684305615
  2. F

    ushauri nataka kuacha chuo(udom).

    mmm ni hatari mkuu but ahsante kwa ushauri wako.
  3. F

    ushauri nataka kuacha chuo(udom).

    safi kwa ushauri mzuri mwenyezi mungu akubariki sana.
  4. F

    ushauri nataka kuacha chuo(udom).

    mmmm ahsante kwa matusi mkuu.
  5. F

    ushauri nataka kuacha chuo(udom).

    nashukuru sana jamani kwa ushauri wenu, hakika umenijenga na umenifudisha pakubwa sana, na wale mulionitukana mungu awabariki na awape maisha marefu, pengine hamujaona changamoto za maisha me siwashangai.
  6. F

    ushauri nataka kuacha chuo(udom).

    Ikiwa ni mwaka wa pili sasa tangu nijiunge na chuo hiki Cha udom, naona maisha yanazidi kuwa magumu kila uchao ni bora ya jana, hali inayonifanya nisononeke sana na kutaka kuacha masomo Kwani kila jitijada ninayofanya najikuta imegonga mwamba, Nilimaliza form six 2013, nikafauru hivyo nikaaply...
  7. F

    Loan Board 2015/2016 appeals iko open now

    Hivi wewe hujaenda bodi ya mikopo ndo maana unataka kuappeal aise pale wanasema Hivi jpm amepeleka hela nyingi sana ila wanataka kazirudisha kwenye mfoko wa hadhina hazina pa kwenda kwan wanafunzi wote wamepata mikopo, ndo uone sasa upuuzi wa bodi ya mikopo.
  8. F

    University of Dodoma naomba mpitie hapa

    Jaman samahannn Pole sana mwanafunzi wa udom, lakin bora wewe umesain uhakika wa kupata upo ngd kunawatu tunakula mavi hapa udom na hatujuwi hatima yetu sembuse na wewe tena umesain, dogo unakibari cha kuchukuwa hela kwa mtu na akakuelewa, kwa kifupi kunawatu tunakula mavi na hatuna namna.
  9. F

    Wanafunzi vyuo vikuu kutumbua jipu bodi ya mikopo

    Ok find me from www.fieldmashal@.gmail. com or PM 0756755319
  10. F

    Loan Board 2015/2016 appeals iko open now

    Haaaaaaa watu bhana narrow thinking, bado unahamu ya kuappeal aise pole sana kweli dunia imebeba Mingi!!!!!!!!!!!!!!!!
  11. F

    Waziri mpya wa Elimu

    Ezekieli maige. Mbunge wa kahama vijijini(msalala).
  12. F

    Wanafunzi vyuo vikuu kutumbua jipu bodi ya mikopo

    Hizi porojo ndo tunataka tuzitafutie modarity nzuri ya kuziondoa, within this forum we have different people with different carriers and professionals so let's use this as stepping stone to solve our problems your's fieldmashal udom (education).
  13. F

    Wanafunzi vyuo vikuu kutumbua jipu bodi ya mikopo

    Wewe kweli naona hujawahi kwenda board, hawa watumishi wa bodi wanachangia sehemu kubwa sana kwa wanafunzi kuteseka vyuoni.
  14. F

    Wanafunzi vyuo vikuu kutumbua jipu bodi ya mikopo

    We should never give up in struggle, let's unity together to demand our rights.
  15. F

    Wanafunzi vyuo vikuu kutumbua jipu bodi ya mikopo

    JIPU LA BODI YA MIKOPO LIMEWASHINDA NINYI LAKINI NAWAHAKIKISHIA KUWA SISI WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU TUTALITUMBUA NA KULIKAMUA WENYEWE. na SHITINDI VENANCE Hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu inapaswa kubadilishwa jina na kuwa bodi ya pensheni kwa wanafunzi wa elimu ya juu...
  16. F

    Hivi Magufuli majipu Board ya mikopo huyaoni?

  17. F

    Hivi Magufuli majipu Board ya mikopo huyaoni?

    Jaman hiki kitu ni janga la sote wahanga mi naomba wahanga wote vyuo vikuu tz tuwe na kauli moja ambayo itatufanya tupate haki yetu ya msingi.
  18. F

    Hivi Magufuli majipu Board ya mikopo huyaoni?

    Jamani wahanga wenzangu continuing students tuliokosa mikopo, kwanza nashukuru kurejea tena kwenye jukwaa hili la elimu baada ya kuzuiliwa kidogo kutumia hili jukwaa, hizi zote ni jitihada zangu za kupigania haki yetu ya msingi, nilishikwa na hasira nikaandika matusi kwa wahusika wa loan board...
Back
Top Bottom