Search results

  1. Bongo senior

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Naona jinsi gani hisia za kutendwa zinavyokupa imani yakusadikika, pole sana dada
  2. Bongo senior

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Thubutuuuuuu nina experience hiyo nilijikuta napita bila kupingwa bora hizi age mate tu si hao wadudu.
  3. Bongo senior

    Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

    Kabisa maana pia ni udhaifu tayari ambao atakuadhibu nao haswaaa.
  4. Bongo senior

    Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

    Hiyo ilikuwa siri yake uko anaposhinda mana hakuwa na mambo mengi kitaani akirudi yeye ni ndani tu.
  5. Bongo senior

    Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

    Baba unakiherehere wewe endelea na juhudi zako utakachovuna urudi kuomba ushauri tena.
  6. Bongo senior

    Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

    Eeeh! aina kwa maana kila mwenye nacho utamani kilicho juu zaidi ya alicho nacho, kw maana mataifa yaloendelea gari ambazo zinawapa mchecheto huku 90.999% ya raia wanazo so akikutana na mwanaume mwenye chuma kali lazima apapatike we nani huku ka IST kasikubabaishe?
  7. Bongo senior

    Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

    "Usimuamini mwanamke yeyote isipokuwa mama yako" hii kauli alinambia bro mmoja alipigwa tukio na mkewe nilolishuhudia yule bro alikuwa muislam pure ila tangu yamkute kwa sasa mlevi mbwa
  8. Bongo senior

    Humu hata wanaume ni wapweke

    Sawa umefikiria nini kutupopoa na mfungo wote huu mana wengine na swaumu imekuwa kama kisingizio tunaonekana kama wafungaji kumbe apetite ya kula ishakufa kw stress
  9. Bongo senior

    Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

    Hakuna madhara yeyote yale kikubwa piga tizi na kuwa busy na kazi hata faida hata utulivu wa akili utaupata.
  10. Bongo senior

    Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

    Ila jf inawanafiki sana kwakweli nmecheka sana kw comment yako hata kw nchi zilizoendelea kuna aina fulan za magari wanawake wanapapatikia uyo mwanaume sembuse huku.
  11. Bongo senior

    Moshi: Vijana watano wanaodaiwa kumlawiti kijana mwenye tatizo la Afya ya Akili waachiwa kinyemela na Polisi

    Makubwa kwahiyo kwakua majanga yanaendelea kutokea basi yaruhusiwe mana hata hilo ni janga lakukemea na si kupewa support. Mbona kuna njia halali kwenye sex na bado watu wanabaka, kundi la watu wachache lisifanye taifa kuharibika.
  12. Bongo senior

    Kati ya Wanaume na Wanawake nani mabingwa wa kuharibia wenzao maisha?

    Wanawake wanafanywa vibaya ndiyo mana mpaka kuna visheria vingi kuwalinda na bado maumivu yapo ila laiti kama hizo sheria zisingekuwepo sijui.
  13. Bongo senior

    Humu hata wanaume ni wapweke

    Mbona unaonekana unastress zaidi kuliko ulowazungumzia.
  14. Bongo senior

    Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

    Kuna tatizo unaliandaa wewe mwenyewe badae likaja kukutesa kwenye hiyo ndoa ukarudi hapa hapa kuomba tena ushauri.
  15. Bongo senior

    Mambo ambayo mwanaume wa thamani hatakiwi kuyafanya kamwe

    Jamaa jau sana hawa ndiyo kizazi ambacho tangu anakua analelewa na mama akigeuka kushoto kuna dada hajakaa vizuri saut ya bibi inaita chumban so wanatafuta namna yakuji over comfidence uanaume wao uonekane kumbe wanajipa mateso tu.
  16. Bongo senior

    Mambo ambayo mwanaume wa thamani hatakiwi kuyafanya kamwe

    Kuna namna fulani unawapangia watu maisha waishi utakavyo wewe, starehe yangu masanga kwa kiasi tena bila kumbugudhi mtu wewe kama nani unipe principle kujiona kama mdada kwa complications zako dhofu? % kubwa ulivyoviandika ndiyo rotation ya maisha ya sasa.
  17. Bongo senior

    Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

    Kwani unashindwa kuachana nae kivipi unaishi kwa mateso kiasi chakufanya maamuzi ya ovyo wewe ni family leader. To tell u the truth mzee mwenzangu umekurupuka.
  18. Bongo senior

    Mamelodi Sundowns Wanapaswa Kuthibitisha Ubora wao Dhidi ya Yanga SC

    Hivi uko sawa wewe baada yakusema uto ndiyo wakwenda kuthibitisha ubora dhidi ya mamelody hizo dharau zenu ndiyo ziliwaponza kwa al ahaly
  19. Bongo senior

    Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

    Katika yote uloandika nadhani la msingi ni hiyo point ya mwisho. Iwe kwa fitna au kwa halali lazima timu zetu kupambana.
Back
Top Bottom