Search results

  1. BANGO JEUPE

    Naomba ushauri wa kamera nzuri itakayonifaa

    Habarini Wakuu!! kazi yangu Inategemea Sana Picha Video Kidogo. Mimi Ni Dalali Huwa Napost Majumba Mtandaoni. Muda Mrefu Nimekua Nikitumia Kamera Za Simu, Naona Sipati Ubora Ule Ninaoutaka Sasa Naomba Mnipe Ushauri Ni Kamera Gani Itakayonifaa Kwa Picha Za Mnato Ndani Na Nje Ya Nyumba, Ikiwa...
  2. BANGO JEUPE

    Plot4Sale Wahi mradi wa viwanja vizuri Kigamboni

    Tumekata Viwanja vingine Hapa Kigamboni [emoji842]LOCATION Kibada Kilomita 1½ Toka Lami [emoji842]UKUBWA Sqmt 400, , 500 hadi 700 [emoji842]DOCUMENT Pamepimwa Tayari [emoji842]BEI Elfu 35 Kwa Kila Sqmt 1 Mfano Sqmt 400 utapata kwa mil 14 Sqmt 500 kwa mil 17.5 Sqm 700 kwa Mil 24.5...
  3. BANGO JEUPE

    Nauza Wifi Bulb Camera

    Ni Camera 2 MP -Ina Wifi inayosaidia kukupa taarifa hata ukiwa mbali, endapo kamera itapata internet -Ina record video na sauti -Ina jizungusha kulia kulia na kushoto, chini na juu -ina detect object -inachukua matukia mchana na usiku -ina sehemu ya kuhifadhi memory Card -Ni rahisi kuifunga...
  4. BANGO JEUPE

    INAUZWA Nauza taa za kuchaji zinazoua mbu na wadudu wengineo

    Taa ya kuua Mbuu Na Wadudu mbalimbali Ni Ya Kuchaji Inaua Mbuu Na Wadudu mbali Kwa Shoti Maalumu Haina madhara kwa binadamu, Ikishachajiwa na kuwa full chaji inaweza tumika masaa 48 haina gharama ya ziada zaidi ya kuichaji Pia Inatumika kama taa ya kawaida ili kupata mwanga Battery 4000 BEI...
  5. BANGO JEUPE

    Picha: Naomba Chimbo Mitumba ya watoto Grade One

    Bila shaka mko njema wakuu Kwa hapa Dar wapi wanafungua mabelo yenye nguo kali grade one Nahitaji za kupoint nikauze mtaani Naimani hapa kuna wazoefu wa hizi kazi Naombeni msaada wenu kwa hili wakuu
  6. BANGO JEUPE

    Wapi nitapata vifaa vya kisasa vya usafi?

    Bila shaka mko njema wakuu, Nimejaribu kuzunguka maduka kadhaa hapa Dar sijafanikiwa. Kwa anayejua vinapopatikana vifaa mbalimbali vya tena kisasa vya usafi, naomba anijuze.
  7. BANGO JEUPE

    INAUZWA Nauza furniture za saluni yangu ya kike

    Nafunga Ofisi Yangu Ya Pedicure & Manicure, nimekosa usimamizi mzuri ~Kuna Sofa Mbili Za Mtu mmoja mmoja (za pink) pamoja na Stuli Zake Nne ~Sofa Bench Moja La Watu Watatu (la blue) ~Meza mbili Zenye Kioo Juu, Viti Viwili Na Droo zake BEI 850,000 (LAKI NANE NA ELFU HAMSINI ) kwa Vyote maongezi...
  8. BANGO JEUPE

    Msaada: Kwa dalili hizi nikamuone Daktari gani na nikapime nini?

    Habari Wakuu, Natanguliza Shukrani Mimi Ni Me Umri Miaka 33 Ni Miaka 6 Naishi Na Hili Tatizo Ila Kwa Sasa Mambo Yamenizidia *Mwili Wangu Una Maumivu Makali Ya Ndani Kwa Ndani Hasa,Mabega, shingo,nyonga na mgongo na hata kichwa Kuwa Kizito (Sio Maumivu Ya kuminya Bali ni ya ndani mfano...
  9. BANGO JEUPE

    Msaada: Sponsor Ads inanipa Zero Performance

    Habari ndugu Jana kwa mara ya kwanza nimepost ads kwa kutumia computer, tangazo linahusu Saluni yangu na huduma zinazopatikana Nikaweka objective ya message Nikaset audience fresh Nikaweka placement ya Instagram feed Nikapublish report ikasoma tangazo lipo active Shida performance inasoma zero...
  10. BANGO JEUPE

    Wapi nitapata aina hii ya viti?

    Habari zenu ndugu naomba nielekezwe wanakouza jamii hii ya viti kwa Dar es Salaam Natanguliza shukrani
  11. BANGO JEUPE

    Kwa dalili hizi nimuone Dokta gani na nichukue kipimo gani?

    Habari zenu wakuu, Jinsia yangu me umri 30 Ni mda Sasa Nasumbuliwa Na Dalili Hizi: Hii hali nna miaka nayo 6 ila sasa imekua siriasi Kuna kipindi niligoogle hizi dalili, nikatumia dawa za neorotone, nilipata nafuu, ila nilipoacha kutumia hizo dawa tatizo likarudi -maumivu ya misuli hasa...
  12. BANGO JEUPE

    KERO YA VIPAZA SAUTI MISIKITINI NA MAKANISANI

    Ndugu zangu Waislamu na Wakristo kuna ulazima gani kuweka vipaza sauti nje ilihali ibada mnafanyia ndani!!?.... spika za ndani pekee zinatosha kuendesha ibada zenu , ningeomba mamlaka husika iliangalie hili Napendekeza muito(adhana) pekee ndo utumike kwenye kipaza, zaidi ya hapo ni usumbufu...
  13. BANGO JEUPE

    Dharura: Je naweza kunywa dozi wakati nimetumia pombe masaa matano yaliyopita?

    Wakuu niko hoi hapa nilipo malaria imenikamata Je naweza nikanywa vidonge usiku huu bila kuniletea matatizo?
  14. BANGO JEUPE

    INAUZWA Fursa! Fursa! nauza greenhouse kwa kilimo cha umwagiliaji

    Achana na kilimo cha kutegemea mvua Sasa nawaletea GREENHOUSEDrip irrigation , drip tapes na accessories zake na reserve tank la lita 3500 kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji kisicho na stress ALL PACKAGES TOTAL PRICE NI MIL 20 TZS maongezi yapo Drip tapes Zinatosha kuanzia Eka 9.5 Ni mpya...
  15. BANGO JEUPE

    Nauza automatic jenereta kv16 hadi kv30

    Majenereta yote hayana tatizo, yako vizuri sana FUEL:DIESEL KVA 16' MIL 8 TZS KVA 20 MIL 14 TZS KVA 25' MIL 17 TZS KVA 30' MIL 21 TZS Maongezi yapo DARESALAAM STAKISHARI CALL 0718295182 0753254562 BANGOJEUPE
  16. BANGO JEUPE

    Nina 350,000 nishauri simu ya kununua

    Wakuu nina hela hapa sasa nataka kutimiza lengo langu la kununua simu yenye kamera na betri Nzuri mimi ni mtu wa Picha sana ushauri wenu tafadhari kabla matatizo hayajazuia lengo langu 0718295182
  17. BANGO JEUPE

    Msaada english subtittle dramacool

    Wakuu samahani naomba mnisaidie seriez online ina subtittle ila nikiidownload inacheza bila subtittle Nimetumia VLC Nina pc kupitia idm asante Nimeipenda Dramacool kwa sababu unadownload file kwa mb ndogo na ni full episode
  18. BANGO JEUPE

    Niuzie modem ya mitandao yote 4G nina elfu 20

    Speed Iwe kuanzia 21mbps niko DARESSALAAM CALL 0718295182
Back
Top Bottom