Search results

  1. Kisange

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Baba mi nisaidie file tu ya hiyo funguo huko juu uchumi umeyumba asee nisev hiyo vpn chief
  2. Kisange

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dahh [emoji1787][emoji1787]
  3. Kisange

    Movies kali za weekend hii (Session 06)

    Mkuu SteveMollel , tunasubiri madude mapya
  4. Kisange

    Uzoefu wangu wa kwenda kwa Waganga kwa Mwaka mmoja

    Dah kuna scenario nimeikumbuka baada ya kuusoma huu uzi
  5. Kisange

    Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

    Wenye hii app ni waafrica kumbe ?? Vipi google naweza kupata tutorial nzuri za kujifunza kutengeneza file??
  6. Kisange

    Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

    Dah mkuu unaninyong'onyesha kabisa yani hali ilivyo dahh usifanye hivyo 😂😂
  7. Kisange

    Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

    Dah mkuu nimekuja pm unefunga😂 nataka unipe ujuzi aisee namimi niwe natengeneza yakwangu kusubiri wale jamaa wa telegram wanachosha
  8. Kisange

    Naomba wenye uzoefu na hizi simu za Samsung Galaxy A9(2016), C7 na C8

    Dukani bei ya chini kabisa ni shilingi ngapi..
  9. Kisange

    Naomba wenye uzoefu na hizi simu za Samsung Galaxy A9(2016), C7 na C8

    Ahaa nilikuwa sijafaham hii, hapo nimekuelewa
  10. Kisange

    Naomba wenye uzoefu na hizi simu za Samsung Galaxy A9(2016), C7 na C8

    Wanazingua sana hapo japo simu zao ni nzuri zina features murua ila wanatukomoa hapo
  11. Kisange

    Naomba wenye uzoefu na hizi simu za Samsung Galaxy A9(2016), C7 na C8

    Hapo ndo tatizo linapoanzia halafu kubadilisha ni ghali sasa.
  12. Kisange

    Naomba wenye uzoefu na hizi simu za Samsung Galaxy A9(2016), C7 na C8

    Kheri ya mwaka wataalam. Ninapata mkanganyiko kidogo kwenye kujua ipi itanifaa zaidi kati ya simu tajwa hapo juu. Upande wa performance, ukaaji wa chaji na mambo mengine ya msingi kwa mtumiaji wa kawaida. Nataka kununua moja kati ya hizi nimejaribu kupitia mitandaoni kuangalia ipi ni the best...
  13. Kisange

    Pc yangu mouse, left and right click buttons zote hazifanyi kazi...MSAADA

    Hamna windo mwanzo ilikua stable tu wala haikusumbua.. Nafikiri lilikua ni tatizo tu la kiufundi..
  14. Kisange

    Pc yangu mouse, left and right click buttons zote hazifanyi kazi...MSAADA

    Naona imeshindikana nafikiri lilikua ni tatizo la kiufundi.. Ila nashukuru nimefanikisha. Niliifungua kwa maelekezo ya mafundi kulikua na waya pale chini umeachia.. Nikafix asante sana kiongozi✊
  15. Kisange

    Ushauri kwa kada ya Afya

    Kwani mataifa makubwa wanafunzi wa afya wanashirikiana na wataalam? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Kisange

    Tatizo lolote la PC/device

    Mimi tatizo langu ni MOUSE ,LEFT, RIGHT CLICK BUTTONS zote hazifanyi kazi kwenye hii dell MINI laptop yangu.. Msaada..
  17. Kisange

    Pc yangu mouse, left and right click buttons zote hazifanyi kazi...MSAADA

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo .. Laptop yangu MINI dell inpiron haifanyi kazi pale pa kupapasa pamoja na right na left click zote . Mpaka utumie mouse ya nje .. Nimejaribu ku update driver ila naona bado kwahyo sielewi tatizo nini. Je vipi tatizo kama hili nikiwapelekea mafundi. Wanaweza...
Back
Top Bottom