Search results

  1. mkatagogo

    Hivi mtu anayenuka mdomo unaanzaje kumwambia?

    Ukweli ni kwamba tatizo la kunuka mdomo sio tatizo dogo,ni tatizo kubwa sana na kwa taarifa yako asilimia zaidi ya 50 ya watanzania wanatatizo hilo,hii inaweza kutokana na mambo kadha wa kadhaaa,1.Kutofanya usafi kwa usahii 2,magonjwa ya mfumo Wa hewa, 3.kuna watu...
  2. mkatagogo

    Mtangazaji kupanga nyumba ya laki 5 kwa mwezi??

    Unamuonea wivu maulid wa kitenge acha hizo Fanya yako hapa mjin kila MTU anajua TRA yake
  3. mkatagogo

    Michael Jackson Alimdharau Mzee Mwinyi, Alijiachia Ka Baba ake

    Kwani kosa liko wapi? Nyambafu
  4. mkatagogo

    Kupunguza Ada ya shule binafsi imeshindikana?!

    Komaa tu simlizipenda wenyewe?
  5. mkatagogo

    Picha za Couple zilizobamba mwanzo wa mwaka 2016

    Angalia usijekumegwa wewe cha MTU mavi
  6. mkatagogo

    Wife hataki sex na mimi kabisa! Jamani nifanyeje!

    Kwa taarifa za kiintelijensia kutoka kwa mama yako zinanirudisha kufikiri upya juu ya mimba hiyo kuna uwezekano hiyo mimba ni ya jini pia na ndio ujigeuza usiku na kumshugulikia mkeo,sasa nini chakufanya,wewe Ni muislam hata usiposema nenda kwa mashehe wakayatoe hayo madubwasha ila mtoto fikir...
  7. mkatagogo

    Nakosa cha kuongea na mpenzi

    Nitafute nikupe maujanja
  8. mkatagogo

    Sababu 11 zilizofanya nipende wake za watu

    Mungu akusamehe bure mzee wakufunga viatu wakubwa
  9. mkatagogo

    Mapenzi ya jinsia moja mkoani Iringa aibu ya jamii na kuenea kwake

    Ni kweli watanzania tumeendelea kujifanya tunaona aibu lkn tatizo hilo limekuwa janga
  10. mkatagogo

    Miji inayo Ongoza kwa usafi

    Ongeza mwanza,bukoba,Moshi,Iringa
  11. mkatagogo

    Miji inayo Ongoza kwa usafi

    1.Mwanza 2.Moshi 3.Iringa 4.Bukoba 5.Njombe 6.Musoma
  12. mkatagogo

    Safari ya Dar Mwanza kuna hili basi ni majanga

    Panda Leo coach luxury bus bonge la bus ac, sehem za kuchaji simu
Back
Top Bottom