Search results

  1. M

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    Bado mfumo una shida za hapa na pale. Lakini unaweza kupata control no ya kulipia Kwa kuingia kwenye Mfumo; upande wa kushoto Kuna link ya Land sales, click hapo kisha nenda kwenye My Applications, utakikuta kiwanja ulicholipia Application fee. Kuna link pembeni yake kulia, bonyeza then utaona...
  2. M

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    Lakini Bado Kuna janja janja nyingi. Viwanja vizuri wanavi post bila taarifa ya kutosha, na Kwa muda wao muafaka; Kisha watu wao wanavishambulia fasta !!
  3. M

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Habari. Mimi niliagiza gari Real Motor Japan na nimeitoa last week. Pia, mwezi June 2023 niliagiza gari. Cha msingi ni kuagiza toka Real Motor wenyewe kupitia website yao, ambayo ni Japanese Used Cars | Real Motor Japan. Mawasiliano yote yanafanyika ndani ya website yenyewe. Wako vizuri sana na...
  4. M

    Nahitaji eneo la kujenga sheli

    Lipo lakini Kigamboni Gezaulole, lina hata, sqm 12,100, Interested ?
  5. M

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Ukiagiza online, vipi maswala ya kodi ? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Bila eTendering na eProcument hapakazi is a joke.

    Jaribu kucheck utaona tayari www.taneps.go.tz inatumika. Ila nasikia ni kwa mikataba ya GPSA kwa kuanzia
  7. M

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Anyonr looking for Redmi Note 5 pro ? 650,000/-
  8. M

    Redmi phones for sale

    Sold out Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Redmi phones for sale

    2 pcs of Redmi 5A (@350,000) and 1 pc of Redmi Note 5 pro (@600,000) Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Bila eTendering na eProcument hapakazi is a joke.

    Nimepitia mahali na kuikuta hii, kazi kwenu sasa — www.taneps.go.tz
Back
Top Bottom