Search results

  1. Frediluu

    Wakati hayati Magufuli anavunja Katiba Bunge lilikuwa wapi? Chama kikuu cha Upinzani kilikuwa wapi? Mahakama je?!

    Bunge lilikua kikaragosi, mahakama ilikua ni dalali, KUB waling'olewa meno, serikali ilikua ya kifalme, Sasa sjui unamaanisha nini??? Nawakilisha.
  2. Frediluu

    Wakati hayati Magufuli anavunja Katiba Bunge lilikuwa wapi? Chama kikuu cha Upinzani kilikuwa wapi? Mahakama je?!

    Huu nao ni unafiki wa kiwango cha gold safi. Ni nani asiyejua kua enzi ya mwendazake kila kitu hadi katiba vilikuwa chini yake???????
  3. Frediluu

    Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Kimsingi, nasema kimsingi kama shauri lilianza wakati wa uhai wa yeyote ni lazima liishe hata kama mhusika hayupo au katangulia mbele zahaki, haijalishi. Sasa kama mahakama imeona hivyo isisahau kumtendea Hassadi haki kama anavyostahili, ili idhihirishe nguvu yake kisheria na kikatiba. Nachangia...
  4. Frediluu

    Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake

    Ni Pascal ndo anamwombea msamaha ni si sisi, labda atuelezee yeye mkuu japo ni ngumu sana maana hata mahakama haijathibitisha bado hilo kosa mkuu
  5. Frediluu

    Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake

    Kiasi siafiki maana kila mtu anamtazamo wake jamani japo du!!!! utata ni mwing maana sometimes kumwelewa Pascal Mayalla lazma unywe mafuta ya Kondoo.
  6. Frediluu

    Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake

    So sad, so sad, so sad. Mi naamini namba moja keshachelewa maana angerespond kabla mama Kabendera hajafa ndo ingemletea hesima sana na hamasa zaidi.
  7. Frediluu

    Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake

    Hiyo nayo ni fursa mkuu, Pascal hajakosea naamini maana kikubwa hapo kilikua ni kumwombea tu Kabendera msamaha.
  8. Frediluu

    Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake

    Kiasi upo sawa mkuu ila kwa swala la Demokrasiaaaaa! hapana na siafiki kama ipo Tanzania hii, over.
  9. Frediluu

    Najuta kumpenda mtoto wa mchungaji

    We naye!! sasa amtafutaje tena na dem alishajichanganya kueka pich fb akiwa na jamaa mwingine!!!
  10. Frediluu

    What the hell? Miaka mitano Katibu, miaka 20 mwenyekiti

    Thubutu!!! wanajua makali yake yule si mutu ya mchezomchezo.
  11. Frediluu

    Shibuda amwagia sifa kemkem Jemadari Freeman Mbowe amesema "Mizengo Pinda ni Mpambe nuksi"

    Hakika uko na kumbukumbu saaafi sana mkuu, bado ninayo hii cd ya baba wa Taifa. Ipo siku tu mambo yatakaa sawa na watanzania tutaheshimia na ujinga wa mbele kwa mbele utaisha.
  12. Frediluu

    Askofu Bagonza atoa pongezi na ujumbe mzito kwa CHADEMA

    Ahaaa ushaanza sasa, ni wosia tu katoa mu wa Mungu.
  13. Frediluu

    Askofu Bagonza atoa pongezi na ujumbe mzito kwa CHADEMA

    Ni mwelewa wa pande zote mbili mkuu, Namwombea tu Mungu hapo kwenye namba 8 wasijitokeze wasemao katumwa.
  14. Frediluu

    Mwambe kugombea uenyekiti CHADEMA sio alitafuta sababu ya kuondokea?

    Hahahaaaa, hawa jamaa bana, yani wanajitekenya nakucheka wenyewe, wanadhani CDM ni mchezomchezo!!!
  15. Frediluu

    Mwambe kugombea uenyekiti CHADEMA sio alitafuta sababu ya kuondokea?

    Hata akienda na aende salama, ila akirudi tunapiga chini tena kama kawa.
  16. Frediluu

    Mwambe kugombea uenyekiti CHADEMA sio alitafuta sababu ya kuondokea?

    Hata wasiposema popote, ni viburi vyao tu ila ukweli ndo huo.
  17. Frediluu

    Mwambe kugombea uenyekiti CHADEMA sio alitafuta sababu ya kuondokea?

    Usiwe mkali sana mkuu japo naihisi ukweli flaani hivi kwenye maelezo yako. Ukweli ni kwamba Mwambe aliamua hasa kuogelea dimbwini ila tu alisahau kazi ya kupiga mikambi na mitindo yake, akashindwa kuonekana upande wa pili.
Back
Top Bottom