Search results

  1. S

    Bungeni: Naibu Spika alalamikiwa kumzunguka Spika Ndugai

    Pamoja na Bunge kuwa na Kamati, Kanuni na Miongozo, inawezekana kweli Naibu wa Spika akafanya hiki kunachosemwa?
  2. S

    Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!.

    Nimekuambia mimi siyo rika lako! Usifikiri kila anayeingia humu ni Bavicha mwenzako au Uvccm!
  3. S

    Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!.

    Kwa taarifa yako mimi sina chama. Ni raia tu wa kawaida!
  4. S

    Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!.

    Sina haja ya Vyama mimi! Unaabudu mtu hata akikuambia zungusha mikono unafanya? Ni akili hiyo!
  5. S

    Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!.

    NCCR ipo UKAWA! Unafikiri mimi ni ACT kwa mawazo yako?
  6. S

    Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!.

    NCCR ambayo ipo kwenye UKAWA ina viti maalum vingapi?
  7. S

    Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!.

    Mimi siyo saizi yako kijana! Hapa natumia laptop Apple na siyo huyo mchina wako. Ninakula pensheni wewe unaangaika kuzungusha mikono!
  8. S

    Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!.

    Swali langu ni kuwa UKAWA ni matapeli! Mmeshindwa kumpa Ubunge wa Viti Maalum mke wa mwenyekiti mwenza wa Ukawa, badala yake mnampa EL viti 5 ambavyo amevigawa kwa wanaCCM!
  9. S

    Asiepokea mshahara vs viongozi wasiotangaza mali zao hadharani

    Hiyo barua umeisoma peke yako?
  10. S

    Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!.

    Jibu hilo la kutompatia mama wa watu ubunge, wakati El anapeta na viti5 ambao amewachukuwa huko huko CCM!
  11. S

    Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!.

    Mbatia naye ana taa ngapi kule NCCR? UKAWA ni watu wa hatari sana! Mmeshindwa kumpatia Ubunge wa Viti Maalum mke wa marehemu, Mwenyekiti Mwenza UKAWA mzee Makaidi badala yake mnampa EL nafasi5 za viti maalum!
  12. S

    Asiepokea mshahara vs viongozi wasiotangaza mali zao hadharani

    Kwani sababu zilizoelezwa zilikuwa ni mshahara tu? Tuwekee na sababu zingeni ambazo serikali haikutaka kuzisema hadharani!
  13. S

    Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!.

    Mlijifanya kutoka Bungeni eti mpaka sharti la kuonyeshwa live Bunge litekelezwe! Kulikoni sasa mpo Bungeni au sharti lenu la kuonyeswa live limetekelezwa? Msikilize Zitto na nondo zake Bungeni amewazidi hao ndugu zako!
  14. S

    Usafi wa jiji la Makonda leo

    Suala la USAFI unaingiza u Chama? Hivi haujui kuwa Halmashauri zote huwa zinashindanishwa kwa usafi hapa tanzania?
  15. S

    Serikali ya Magufuli yakiri kufanya makosa

    Ebu fafanua kama GT wa hapa JF Mkuu!
  16. S

    Msigwa umechemka kumsifia Kikwete

    Jibu langu lingekuwa na maana sana kwako laiti ungejua kilichoandikwa na huyo ndugu niliyemjibu! Yeye anasema JK ameleta uhuru mpana kwa wanahabari.
  17. S

    Ili bunge kuwa kitu kimoja, lisionyeshwe live

    Mkuu nafikiri unatafuta matusi weekend hii! Najiuliza kabla ya mwaka 2005 wakati Bunge lilikuwa halionyeshwi"live", sijui wananchi walisononeka na kitendo hicho!
  18. S

    Msigwa umechemka kumsifia Kikwete

    Sasa mbona wengine wanamponda kwa kusaini sheria ya mtandao ambayo wanadai inakandamiza uhuru wao?
  19. S

    Serikali ya Magufuli yakiri kufanya makosa

    Umeandika maneno haya kutoka moyoni au umeambiwa uandike hivyo! Rais hajasema hivi kama unavyotaka kutuaminisha sisi wengine ambao tunafuatilia kwa umakini. Alisema kutokana na utajiri wetu tunaweza na sisi kuwa donor country. Neno hapo ni TUNAWEZA ( Ceteris paribus)!
Back
Top Bottom