Search results

  1. intelligent mind

    Ni kwel madereva mnakutanaga na vitu vya ajabu barabarani?

    habar zenu wana JF leo nimekuja na hili suala la ajari barabaran hususan kwa mabas makubwa yaendayo mikoan hiv ni kweli maderev huwa mnaona vitu vya ajabu maarufu kama vibwanga mkiwa barabaran maana nasikia mara muone mtu anakatisha ukimkuepa tu lazma uende chali afu huyo mtu hutamuona tena na...
  2. intelligent mind

    Naomba kujua ni kweli mwalimu wa degree mwenye carring over anaweza ajiliwa?

    habari wana JF i hope ni wazima wa afya ninaswal ninataka kujua b'se kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua nimeona nikilileta hapa naweza pata majibu hiv mwalimu aliyemaliza degree lakin hakugadurate kwasababu ya kuwa na carring over ila fomu za ajira alishajaza je anaweza kuajiliwa maana najua...
  3. intelligent mind

    Ushauri: Ana mahusiano na mwanamke ambaye hajaachika kwa talaka

    Kuna rafiki yangu wa karibu sana alikuwa na mahusiano na mwanamke flani but yule mwanamke alikuwa ametoka kuachika na mume wake. Jamaa kaanzisha mahusiano lakini yule mwanamke alikuwa tayari na mtoto mdogo kama anamiaka 5. Lakini baada ya siku kwenda yule mwanamke akaja kwa jamaa na kumwambia...
Back
Top Bottom