Search results

  1. iam halavi

    Nahitaji Vitabu vya Vicoba

    Habari ya jioni Natumia mko salama na mmesherehekea vizuri mwaka mpya Nahitaji Mtaalamu ambaye anaweza kunitengenezea Vitabu vya Vicoba. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. iam halavi

    Natafuta Mtaalamu Wa Kutengeneza Leja na Vitabu vya Vicoba Nimpe Tenda

    Habari ya mchana Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Nahitaji mtu mwenye utaalamu wa kutengeneza leja, Daftari kubwa na vitabu vya wanachama vya Vicoba Nimpe kazi maana tuna kikundi chetu cha Vicoba. Au kwenye mwenye uzoefu anielekeze wapi ntapata watu wanaohusika na kazi hiyo...
  3. iam halavi

    Natafuta mwalimu au mtaalamu anifundishe video editing, graphics design and kuflash simu

    Habarini za leo, Natumai mko poa na siku inaenda vizuri. Mimi ni mdau mzuri tu wa jukwaa hili na mara nyingi huwa napitia hapa kujifunza baadhi ya mambo. Leo nimekuja na hitaji langu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta mwalimu au Mtaalamu ili anifundishe hizo kozi hapo juu. Nahitaji...
  4. iam halavi

    Ipi pikipiki imara na madhubuti kati ya Boxer 150 na TVS HLX 150?

    Habarini za mchana wadau, Natumai mko poa na mnaendelea na harakati za kutafuta maendeleo. Wadau nahitaji kwa mwenye uzoefu kuhusu pikipiki anisaidie kuchagua kati ya boxer 150 na Tvs hlx 150. Nahitaji kujua ipi ni bora kibiashara na uimara kwa hapa mjini maana nafikiria kununua pikipiki kwa...
  5. iam halavi

    Nisaidieni Kumpa Ushauri Huyu Jamaa

    Habari za Leo Wana Jamii Forum Wenzangu? Natumaini Wikiend imeanza vizuri kwenu na jumamosi inaenda poa. Naombeni msaada wa mawazo yeni ili nimshauri huyu jamaa yangu ambaye amepatwa na jambo ambalo linamvuruga akili na moyo wake. Miezi 2 iliyopita rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na...
  6. iam halavi

    Je, mwanamke anayefanya mchezo huu anaweza kuacha?

    Habari za jioni hii? Natumai mko poa na mnaendelea na majukumu yenu katika maisha. Nimekuja hapa kuomba ushauri baada ya kupata kigugumizi cha nafsi, akili na moyo. Ni hivi leo jioni hii nimemtongoza msichana mmoja ambaye tumekuwa tukifamiana kwa kipindi kama miezi mitatu sasa ambaye kwa umri...
  7. iam halavi

    Nini chanzo: Wapenzi walioachana wakionana mahusiano yanarudi?

    Habari za Jioni? Natumai wote mko poa, Naomba kuuliza jambo moja kuhusu mahusiano hasa ya kimapenzi. Hivi nini huwa chanzo cha watu waliokuwa na mahusiano zamani na wakaachana au kupotezeana kwa miaka kadhaa au muda mrefu na ukakuta mmoja wao kaoa/kaolewa lakini bado wakionana mahusiano...
  8. iam halavi

    Mpenzi wangu hajawahi kuwa na 'love mood'

    Habarini za wikiend? Natumaini wana JF wote mko poa na wikiend inaenda vizuri kwa upande wenu. Sina muda mrefu sana hapa JF japo nimekuwa nikiingia kila siku hapa ili kujifunza mambo na vituko vya dunia na mara kwa mara nimekuwa nikichangia baadhi ya thread. Hili ni moja ya jukwaa...
  9. iam halavi

    Msaada kuhusu TIN namba

    Habari za wikiend? Natumai wadau wote JF katika sekta hii mko poa, Mimi ni mgeni katika jukwaa hili japo nimekuwa nikipita mara kwa mara kujifunza kitu kipya katika maswala ya uchumi na biashara coz mi mwenyewe ni mjasiriamali na mfanyabiashara. Mwaka jana mwezi wa 9 nilienda TRA kuomba TIN...
Back
Top Bottom