Search results

  1. B

    Chaguzi za serikali za mitaa ni udanganyifu na uwizi

    Naanza kwa samahani siyo mwandishi mzuri. Cha msingi, ujumbe ufike moja kwa moja kwenye hoja. Nilitaka kushiriki chaguzi za mitaa zilizopita, nikanyimwa kupiga kura kisa sina kadi ya chama. Hivi kila Mtanzania ana chama, hili suala ni lazima. Mbona chaguzi za mbunge, Rais na diwani hazina...
  2. B

    Msaada wa kisheria kuhusu mgawanyo wa fedha za malipo ya marehemu

    Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua mgawanyiko wake unakuwaje tuko watoto sita na mama , kuna jambo moja nataka kuongeza hapo sisi watoto...
  3. B

    Pump Attendants wana nafasi nzuri ya kuwaelimisha madereva

    Naenda moja kwa moja kwenye mada. Jana nimepita kujaza mafuta kwenye kituo kimoja sitakitaja nimefurahishwa sana na uelewa aliokuwa nao pump attendant aliyekuwa ananihudumia, ni hivi nilipofika pale nimesimamisha gari akaniamrisha nizime gari nikazima lakini nikasema ngoja nimhoji ni kwanini...
  4. B

    Tigo Pesa mnaudhi, nimenunua umeme juzi mpaka sasa sijapata

    Habari za asubuhi najuta kununua luku kwa kupitia tigo pesa nimenunua umeme saa 16:02 Tarehe 28.06.2021 mpaka sasa sijapata umeme majibu hayaridhishi, basi kama mmeshindwa si mrudishe pesa ya mteja. Umelipa TSh 40,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:22118028400...
  5. B

    Ujenzi flyover chang'ombe /uhasibu

    Naomba kujuzwa kuhusiana na ujenzi unaendelea wa flyover chang'ombe /uhasibu maana yangu ni kuwa kwa nini hawa wakandarasi wakati wa ujenzi hawamalizi kwanza upande mmoja ili kupunguza msongamano ndio waendelèe na mwingine kuliko upande mmoja haujaisha wao wameshanza mwingine msongamo inazidi...
Back
Top Bottom