Search results

  1. F

    Dowans issue

    Kweli ni nzuri hilo jambo....... ila hofu yangu kuu ni kwamba upande wa pili unaweza ukatumia mbinu hizi tatu..1. kupambana 2.kukimbia 3. kunyamaza kimya. bora watumie 1 na 2 maana tutajua uelekeo wa hitimisho la mjadala hata baada ya siku chache baada ya mjadala lakini kama watatumia njia namba...
  2. F

    MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

    safi sana...na unakuwaje wewe ni great thinker? na wakati hata magreat thinkers hawakuleta udini wala vijembe ila walichallenge ili kuboresha ukweli ni uleule tuwasaidi kimawazo ili watoke kwenye pango la giza sio udini hapaaa.
  3. F

    MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

    msemakweli huuawa kabisa kama sio kupingwa......nidhamu, juhudi na maarifa ndio kiongozi cha seminari licha ukiondoa syllabus ambapo wote wanaongozwa na hiyo...na hilo nalo tulijue wanajamii.
  4. F

    MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

    Nami niweke neno la ukweli hapa ...seminari hizi unazozisema ni zile za kanisa katoliki ambazo nidhamu ni ya juu ukipewa maelezo ya kukimbia kilomita moja wewe ukaongeza hutasifiwa ila ni utovu wa nidhamu na utapewa onyo la adhabu au kufukuzwa hivyo nidhamu ndio chanzo cha mafanikio hata...
  5. F

    MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

    Naona nisipotoa wazo langu nitakuwa simsaidii mjukuu wangu atakaezaliwa miaka 30 ijayo...awali ya yote poleni nyote mlioshindwa kufanya vibaya katika mitihani yenu ila mkumbuke usemi wa wanafalsafa wa kale kwamba kufaulu au kushindwa ni sehemu ya maisha sio katika mtihani tu wadogo...
  6. F

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Naomba nami niweke wazo maana nawiwa moyoni kwa hili ''je kuna jambo baya au zuri sana katika jamiii?'' ulionalo baya leo kesho laweza kuwa zuri na bado ni lile lile...je MOU ni mbaya au ubaya ni kuifisadi MOU maana hata mimi naweza kuanzisha NGO yangu na nikapata financial assistance{MSAADA WA...
  7. F

    Did Mwalimu die a natural death?

    Mambo ya kifo muungwana huwa yana sababu halafu hakuna ambaye anaweza kusifia mtu huyu amekufa kifo kizuri kiwe cha asili au vingenevyo.... kwangu mimi mwalimu hajafa maana ninajitahidi kungalia yale mazuri aliyotenda kwa kiwango chake cha ubinadamu nikiacha ubaya lakini pia nini mantiki ya kila...
  8. F

    Taasisi Gani iondolewe kabisa katika aktiba mpya?

    Hapa napo nami niweke wazo langu dogo nikiwa nina maana ni mdau mdogo wa katiba mpya hapa nyumbani tanzania wapo pia wadau mimi nawaita wadau wakuu nikiwa na maana si wasomi tu bali pia ni wasomi katika katiba hawa wanaweza wakawa wanasheria na sio wazazi wangu walio kule katika vijaruba vya...
  9. F

    Katiba mpya ni sawa na kupindua nchi - Nimrod Mkono

    kizazi ni kipindi cha miaka thelasini, watu na waamini kuwa kizazi kinaweza kubadili historia kutoka pale watu hawatamki juu ya katiba hata leo wanatamka ..... hawa watamkao ndio watakaobadili katiba na kama ni mapinduzi basi haya ya katiba hayatakuja ghafla.... kama nyakati za Nuhu maji yalijaa...
Back
Top Bottom