Search results

  1. D

    Hii Imekaaje Wapendwa

    Mhmhmhm aiseee, You're unique lady. Nimesoma comment yako hadi mwili wanisisimka kwa jinsi ulivyo-ongea point. Mungu akuongezee hekima na busara zaidi dah!
  2. D

    Hili linanitatiza

    Wengi wamesaidia kukupa mchango mzuri wa mawazo nakuomba kwa yale mema basi yafanyie kazi. Unajua hakuna kitu kinachouma kama unampenda mtu na ukaona mhusika haguswi hata kidogo kuthamini upendo unao-mpa hadi inafikia hatua unakuwa-bitter as you said. Ushauri ni huu: Wala usipoteze muda...
  3. D

    Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

    Katika nchi yetu Tanzania, Makamba ni bogus nambari moja! Yaani ni afadhari mtoto wa darasa la kwanza anaweza ulizwa swali na akaa hata few seconds kufikiri ajibu nini kuliko huyu tahira wa kikwete! Ni mlopokaji tu na hajui hata kufanya arguement, na wala kufikiria effects za kauli zake!! Yaani...
  4. D

    Jogoo lashindwa kupanda mtungi ! Kweli mke wa mtu ni sumu !!!

    Nimepigiwa simu muda si mrefu na kuhabarishwa kuwa jamaa mmoja katika mji wa Songea amefumanikwa na mganga maarufu kutoka kanda ya ziwa nyasa akiwa anavunja amri ya sita na mke wake! Mganga huyo ambaye ni mpole lakini machachari alimuwekea mtego mke wake baada ya kuona hampi unyumba kwa muda...
  5. D

    Ni kweli haya mambo bado yapo??

    Mkuu tunakushukuru kwa kutufahamisha na hilo maana tafiti nyingi za kupambana na ukimwi zinafanywa mijini tu na maeneo yaliyo mengi ya vijijini au wilaya as you mentioned mostly are underestimated! tukija kustuka basi nchi tayari imeangamia! kuna haja ya wahusika kufanyia kazi jambo hili.
  6. D

    Ni kweli haya mambo bado yapo??

    Mkuu, Mi naona hiyo ni hatari sana kwa sasa! Nilishawahi sikia usemi kuwa " PENYE UREMBO PANA ULIMBO"! sasa hapo lazima wanaume tutaangamia ikiwa tutafurahi kwa hiyo kitu kushuka bei hadi buku! It is so sad!!
  7. D

    Ni kweli haya mambo bado yapo??

    Wakati dunia ikiwa katika kampeni za kupambana na janga hatari la UKIMWI, inasemekana kuwa hali imekuwa tofauti katika miji mikubwa ya Tanzania hasa DSM, Arusha, Mwanza, na Tanga. Kulingana na uchunguzi wa asasi moja ya kupambana na maambukizi ya Ukimwi, imebaini kuwa wanawake wanaoshiriki zaidi...
  8. D

    Eti ni kweli maprofessor hawajui mapenzi?

    Mkuu Maprofesa wa kike kwa huko Bongo D'salaam kwa walio wengi hawaolewi coz wao wanaona ndio wao! Hivyo huwa wanaishia kuzaa tu coz ya muda unaenda lakini hata wa kuwaambia "Mambo vipi prof - kwa kuonyesha mwelekeo wa kuoa huwa hawapati". Solution huwa wanaamua kufanya timing na kumtafuta mtu...
  9. D

    Kwanini?

    Ni kweli umenena lakini unamuogopa hata mwanamke mwenzako? au usalama gani sasa na yeye anaweza kukubadilikia ghafla au ni ROHO ZA KUNTU ZINAWATAWALA NYIE WANAWAKE??
  10. D

    Kubaka siyo hatia kwetu!!

    NAONA HIYO PICHA TAYARI MKUU! SASA TUNAOMBA MATOKEO YAKE! eennhhhheee imekuaje hapo jamaa kafanikiwa au?? Tujuze plse!
  11. D

    Single and available

    AUNT LIZZY, Mie mzima ila tu uchovu wa mabox si unajua tena maisha yetu! Si unajua akufukuzaye hakuambii toka? ndio maana mhmhm mie naona sitakikani tena @! Ila nashukuru kwa kunipa hi, nahisi leo nitapiga box vizuri sana! Endelea kula good time!!
  12. D

    Single and available

    Kaza buti mkuu, pia mmwagie misifa kem kem, mfano mwambie we usiku kucha yale macho yake yakufanya usikose usingizi yaani full of dreamz kwa yeye tu! so lazima somo litaeleweka
  13. D

    Single and available

    Hahahahaha na wewe umeshaanza! Umenipa tu pole kwa maumivu na kuamua kunipotezea jumla ! hata kusema ngoja nimjulie hali mgonjwa hakuna! Aunt Lizzy vipi tena??
  14. D

    Single and available

    Mhmhmh hapo sasa Miss unakosea , we si unajua jinsi gani mi nalalamika kwa vile nilivyotendwa na bidada! Hivyo akili yangu ilikuwa nianze kufunga NOVENA ili kambi ihamie kwako sasa kwa utaratibu huu mbona unaanza kunitia hofu! Nitafanikiwa kweli ? Maana mhmh usije fanya kweli halafu mie...
  15. D

    Single and available

    Hhahahahha, Mkuuu umenichekesha sana!!! Yaani umeamua kula winga faster!!! na kumkumbuka Rose wako?? Sasa Rose akijua ulitaka kucheat naye si atakumwaga mkuu??? kuwa makini sana!!
  16. D

    Ni mimi tu ninamkosi na wachaga au ndiivyo walivyo?

    Thankx Bro, Nimekusoma vilivyo mkuu, na pia sina budi kumshukuru Madam Rose 1980 kwa kutolifumbia macho suala hili na kutanabaisha mchango wake wa mawazo ambao kwa kiasi kikubwa nadhani huenda ikawa ni source ya hili tatizo nililolipata. I appreciate U're contribution too.
  17. D

    Ni mimi tu ninamkosi na wachaga au ndiivyo walivyo?

    Asante mkuu kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi na pia nitakazana kupiga box zaidi ili hata nitakapompata huyo mrembo mwingine basi tule kuku na bata kwa raha zaidi. Thankx.
  18. D

    Ni mimi tu ninamkosi na wachaga au ndiivyo walivyo?

    Asante mkuu, Nadhani hiyo nayo itanisaidia kunikeep busy na kumsahau huyo mrembo ila tu dah Roho yaniuma kama nini maana mtoto mwenyewe alikuwa kajazia kila idara hasa ila ya kijunguuuu ukuuu sasa sijui kama nitabahatika kupata ile kitu roho inapenda tena!!
  19. D

    Ni mimi tu ninamkosi na wachaga au ndiivyo walivyo?

    Mkuu, Unajua philosophy ya mapenzi ni pana sana. Haina maana kuwa mwanamke ukimnunulia perfume au Rav4 ndio unampenda au yeye anakupenda @! Pia ile dhana kuwa mwanamke wa kudumu katika ndoa ni yule wa kijijini hiyo dhana nayo imepitwa na wakati mkuu. Wale wa jana sio wa leo Kiongozi wangu...
Back
Top Bottom