Search results

  1. FisadiKuu

    Bi. Christine Mwakatobe alifeli kuendesha KADCO, Je, tutegemee mafanikio AICC? Au maisha ni bahati?

    It is what it is.. wewe maskini usitegemee lolote. Hata vitabu vya dini vinasema mwenye nacho anaongezewa
  2. FisadiKuu

    Hizi fedha za kuendesha makongamano, warsha na matukio mbalimbali ya kuadhimisha miaka mitatu ya Rais Samia zinatoka wapi? Au sekta binafsi?

    Zake au za babake?? Au ulidhani alizaliwa mwenyewe kwao kamba pesa zote za urithi ni zake?? Kwanini siku zote hakujenga Machame kama pesa ni zake ye mwenyewe?? Alafu kama ana pesa kwanini aliwachangisha Join the Chain??
  3. FisadiKuu

    Hizi fedha za kuendesha makongamano, warsha na matukio mbalimbali ya kuadhimisha miaka mitatu ya Rais Samia zinatoka wapi? Au sekta binafsi?

    Toa hoja sio maneno tupu, kama ulidhani maandamano ni bure jiulize kwanini ulichangishwa Join the Chain. Wapumbavu ndio waliwao
  4. FisadiKuu

    Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    its either ana link ya ujambazi au ugaidi. Ni kweli wasihangaike kumtafuta.. Hii iwe somo tuache kununua simu za mikononi kwa watu ambao hatuwafahamu..
  5. FisadiKuu

    Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

    Mwambie huyo Martin aache kuwa chawa wa Boni. Mwanaume kamili wa kanda maalum haifai awe chawa.. Kazi yake kuokota mayai na kuzurula n boni akibwia bia za bure
  6. FisadiKuu

    Hizi fedha za kuendesha makongamano, warsha na matukio mbalimbali ya kuadhimisha miaka mitatu ya Rais Samia zinatoka wapi? Au sekta binafsi?

    We unafikiri bodaboda ataacha kukaa kijiweni apakie vichwa apeleke marejesho kwa boss ila azunguke na Mbowe bure siku nzima?? Yale magari wanakodi, music, matangazo unafikiri yanafanyika bure??
  7. FisadiKuu

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Ahahahaha hizi ndoto za mchana.. Mwambie aende pale Tanesco azuie mgao wa umeme kama enzi zake. Au auende pale Magufuli bus terminal akatukane kwanini stand nzima inanuka kinyesi kama anaweza
  8. FisadiKuu

    Hizi fedha za kuendesha makongamano, warsha na matukio mbalimbali ya kuadhimisha miaka mitatu ya Rais Samia zinatoka wapi? Au sekta binafsi?

    Umeuliza zile za kuandamana na kufanya mikutano zinatoka wapi? Mbowe na Jacob wana maghorofa wenzako!!
  9. FisadiKuu

    Mlio oa au kudate na wanawake wa kimachame njoeni hapa tufarijiane ndugu zangu

    Hivi Mama Maria Nyerere, Mama Mkapa, Mama Fatma Karume, Mama Magufuli, Mama Lowassa, Mama Mwinyi hawa wote ni wamachame?? Mama Mercy Mengi aliyekuwa mke wa kwanza wa Mengi alifariki na kumuacha Mzee, sipati picha Jackline angelikuwa Mmachame na ile situation ya kifo cha Mengi Dubai habari...
  10. FisadiKuu

    Bahasha fc: Tumalize mchezo mapema

    Timu la magumashi, yalipoona Ihefu haimuwezi wametoa kampuni yao awe mdhamini. Kazi ipoo
  11. FisadiKuu

    Mauaji ya wabeba mkaa maarufu 'booster'

    Mvua zisiponyesha, mabwawa yakose maji Umeme uwe wa mgao mnailaumu serikali. Maji yakipungua huko Mto Ruvu ambao ndio unalisha Dar mnailaumu serikali.. Tukubali kufata tu sheria, mapori tengefu yasiyoruhusiwa kuvunwa miti yaachwe..
  12. FisadiKuu

    CCM Kukubali Chongolo kujiuzulu kwa kashfa bila kuzichunguza iliziamini leo anateuliwaje na tuhuma zile bila kusafishwa?

    Chongolo yeye binafsi ndiye aliandika barua ya kujihudhuru, huo ni uwajibikaji. Chongolo kwenye barua hakukiri kwamba amefanya, alieleza kabisa kwamba kuhisiwa na aliachia vyombo vichunguze. Huo ndio ustaarabu. Vyombo lazima vilichunguza na kuona ni uzushi tu. Na ndio maana unamwona leo...
  13. FisadiKuu

    Kati ya pombe, wasichana na kamari kipi kinarostisha Sana?

    Pombe na Mwanamke angalau kuna ka starehe unaambulia. Sasa sijui kamari unaambulia kitu gani
  14. FisadiKuu

    Wiki tatu nyuma Ksh dhidi ya Tsh ilikuwa 16.3, Leo 21.1. Wachumi wa Tanzania mnatusaidiaje?

    Kwani ni Kenyan shilling tu?? Almost every currency inaaprreciate against ours. Mwigulu kichwa maji uchumi wa kukariri darasani field sifuri na blah blah nyingi. Iko siku majuzi tu hapa Kimei alitoa lecture ya Uchumi pale bungeni mpaka wabunge wakamuongeza muda aendelee na darasa. That was a...
  15. FisadiKuu

    Wiki tatu nyuma Ksh dhidi ya Tsh ilikuwa 16.3, Leo 21.1. Wachumi wa Tanzania mnatusaidiaje?

    Mwigulu pale hamna kitu.. Anaacha kuweka watu wenye uzoefu wa muda mrefu kwenye sekta za kifedha na uchumi anakuja kuweka wapiga kelele na wabobezi kwenye ushirikina
  16. FisadiKuu

    MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

    Arusha mapema tu Lema anashinda, Mbeya pale mchuano ni Dola na Sugu. Ngoja tuonee
Back
Top Bottom