Search results

  1. kALEnga kidamali

    Tucheze kamchezo: Unaijua hii mitaa?(Dar)

    Na sisi wa chanika tunaruhusiwa kushiriki kwenye hii maada?
  2. kALEnga kidamali

    Kiraracha, Marangu: Licha ya hofu ya migogoro ya kifamilia ndoa ya Mrema, imetoa maswali mengi kwa jamii

    Wakuu hofu yangu juu ya ile ndoa ya uzeeni ilikuwa kwenye haya masuala yetu ya kiafrika, ona vurugu zimeanza mke wa mrema gari lake limetolewa matairi huko....
  3. kALEnga kidamali

    Kaka yangu ananichukia

    Majibu sahihi anaweza kuwa nayo mama ako usikute bro Kuna Siri anaijua kuhusu wewe ambayo ww huijui... Pia tafuta siku ukae nae na umuulize sababu ya yy kukuchukia hivyo...
  4. kALEnga kidamali

    Ni sahihi kulaumiwa kwa vyama vya upinzani hususani CHADEMA kwa ukimya wao juu ya TOZO?

    Kwani hawawezi kutumia vikao vya ndani,kuongea na vyombo vya habari,social media ikiwemo kutoa barua na nyaraka tofauti kwenda serikalini kwa kulisemea tatizo husika? Mkuu hebu kubali kuwa chama kinayumba sana kwa sasa...si kawaida ya chadema kuyakalia kimya matatizo ya namna hii.
  5. kALEnga kidamali

    Ni sahihi kulaumiwa kwa vyama vya upinzani hususani CHADEMA kwa ukimya wao juu ya TOZO?

    Kwani ile nguvu ya kupush ajenda ya Katiba mpya kabla ya mbowe kukamatwa hao chadema walikuwa BUNGENI? kwanini wasitumie njia zilezile walizozitumia kuwashawishi watu juu ya katiba mpya kutusemea haya matatizo yaliyopo sasa?..
  6. kALEnga kidamali

    Ni sahihi kulaumiwa kwa vyama vya upinzani hususani CHADEMA kwa ukimya wao juu ya TOZO?

    Mkuu unapaswa kujua kuwa ushawishi wa chama chochote cha kisiasa huwaga ni kupigania ajenda zinazogusa maisha ya mwananchi moja kwa moja....tuliona chadema ikipinga UFISADI watu wakaielewa agenda yao kwakuwa ndilo lilikuwa tatizo kubwa kwa kipindi hicho... Sasa Leo hii Kuna tatizo linalowatesa...
  7. kALEnga kidamali

    Hivi haya majina ya vitu vipya kwa Kiswahili nani huwa anatunga?

    Kwani simu ya lununu ikiwa kubwa si ndio inaitwa kishkwambi? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kALEnga kidamali

    Ni sahihi kulaumiwa kwa vyama vya upinzani hususani CHADEMA kwa ukimya wao juu ya TOZO?

    Kelele ni nyingi lakini kwa sehemu kubwa sauti zinazosikika ni zile za wananchi wa kawaida tu, hatuoni wanaharakati Wala vyama vya kisiasa hususani chama kama CHADEMA kikitoa tamko lolote zaidi ya kukaa kimya katikati ya hizi kelele nyingi zenye viashiria vya maumivu juu ya tozo... Sasa huu...
  9. kALEnga kidamali

    Sensa ya watu na makazi: Maswali ambayo hayakupaswa kuwepo kwenye dodoso

    Ni kweli maeneo mengine Kuna changamoto Sana na usumbufu mwingi Ila kwenye issue ya sensa ni lazima uulizwe kwakuwa hata Kama mifumo itakuwa na taarifa zako bado phyisical verification itahitajika ili kupata usahihi wa taarifa zilizopo kwenye mifumo ya kidigitali.
  10. kALEnga kidamali

    Sensa ya watu na makazi: Maswali ambayo hayakupaswa kuwepo kwenye dodoso

    Unaposema data za NIDA teyari zipo NBS..hao NBS watajuaje walio hai na waliokufa kwa usahihi bila kupta takwimu za sensa? Ikumbukwe ni idadi kubwa ya watu wanaokufa bila kufuata certificate za vifo kutoprocess certificate ya kifo kunaikosesha serikali takwimu sahihi za vifo... Ukiona familia...
  11. kALEnga kidamali

    Sensa ya watu na makazi: Maswali ambayo hayakupaswa kuwepo kwenye dodoso

    Hoja zako zimekosa mashiko inaonyesha unapinga vitu vilivyo juu ya uelewawa wako.
  12. kALEnga kidamali

    Kiraracha, Marangu: Licha ya hofu ya migogoro ya kifamilia ndoa ya Mrema, imetoa maswali mengi kwa jamii

    Ni hatari Sana kwa mtu kupuuza tamaduni za jamii yake na kuziona hazipo ikiwa zipo na kila siku anashuhudia athari zake....
  13. kALEnga kidamali

    CHADEMA huwatetea wananchi kwenye mambo gani?

    Sasa kwanini mnataka wawatetee na kwenye kila kosa la ccm analaumiwa chadema? Mimi nadhani ni wakati sahihi wa ccm kufanya kazi yake bila kuingiliwa na wapinzani wanaowatetea mabeberu kwakuwa hata bungeni hawapo, Inafika wakati hata wao chadema mnawachanya wakisimama kuwateteeni mnawapinga na...
  14. kALEnga kidamali

    Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

    Wahuni...wahuuniiii, woteee mikononi juuuuuu....!!! Hebu nionyeshe unavyochuma mchicha tembele ×2 Anainamaaa anainukaaa anainamaa anainukaaa×2
  15. kALEnga kidamali

    Sheria za miaka 30 kwa jinsia ya kiume kufungwa kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi au binti aliye zaidi ya miaka 15 imepitwa na wakati

    Kumekuwa na simanzi kubwa na kuongeza idadi ya familia zitakazoishi maisha magumu kutokana na madhaifu ya sheria zetu ambazo zimelenga kukomesha watu badala ya kutatua tatizo. Sheria inayomfunga kijana miaka 30 kisa tu amempa mimba mwanafunzi hata aliye na miaka zaidi ya 18 ziangaliwe upya au...
  16. kALEnga kidamali

    Nini siri ya maisha baada ya kifo?

    Kwani wewe ukiwa kwenye ule usingizi mzito huwa ukijua chochote kinachoendelea duniani? Mfano wa kifo kwa sisi tulio hai ni ule usingizi mzito ambao hutokuja kuamka tena...
  17. kALEnga kidamali

    Kwanini Sheria zetu na kanuni hazitoi ahueni kwa watu wake kila zinapotungwa?

    Hivi ni kwanini kila sheria iliyotungwa na zinazoendelea kutungwa ni zile tu ambazo lengo lake ni kubana, kufunga, kukandamiza na kuzuia kwanini hatuoni sheria ambazo zinatoa uhuru zaidi na matumaini zaidi kwa watu wake tofauti na sasa ambapo ukisikia kuna sheria mpya utaona athari zake kwa...
  18. kALEnga kidamali

    Maisha baada ya kifo kwa viumbe wengine hali ipoje?

    Kwahiyo viumbe wengine wakifa hapa duniani habari yao ndio imeisha na hatutokutana nao tena huko mbinguni?
  19. kALEnga kidamali

    Kero kubwa kwenye tendo la ndoa

    Wanaume tuonewe huruma, yaani siku nzima nihangaike kutafuta pesa bado tena usiku nianze kupambana kumfikisha mtu mlimani kweli...hebu wanawake kwenye hilo watuvumilie kidogo tusije shindwa fika mbinguni kwa kuchoka jamani
  20. kALEnga kidamali

    Kenya 2022 Omondi: Dkt. Ruto alitumia mbinu za hayati Magufuli (kuwakumbatia Jua kali na mama mboga) ili kujipatia Ushindi

    Tokea lini mpinzani wa serikali akawa na uwezo wa kuiba kura, kura huwa zikiibiwa na wagombea walio upande wa serikali huko hata wizi unaweza ukalindwa na mashindi bandia akatangazwa Ila sio kwa mpinzani..
Back
Top Bottom