Search results

  1. C

    Msaada: Nawezaje ku-resign kabisa kwenye mtandao wa facebook?

    1. Kwanza delete picha zako zote. 2. Kwenye icon ya account scroll hadi deactivate account click na usirudi tena. Kwa kufanya hivi una hakika hakuna atakaeaccess picha zako wala taarifa nyingine baada ya hapo miongoni mwa marafiki zako katika fb, isipokuwa service providers katika system yao.
Back
Top Bottom