Search results

  1. K

    CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

    Chama cha democrasia na maendeleo kimezidi kuonekana kuwa mbadala wa ccm kutokana na jinsi serikali inavyoendesha nchi , usanii , unyanyasaji na udini vikiwa ndiyo mtaji wa ccm , kung'ang'ania uwajibikaji wa pamoja hata katika kuiua nchi , huo ni ujambazi usioweza kuvumiliwa, falsafa mfu za...
  2. K

    Naibu Meya Arusha Ajiuzulu

    kuna habari zisizo rasmi ya kuwa meya wa arusha amebwaga manyanga , yeyote aliye na habari za uhakika atujuze tafadhali.
  3. K

    Gazeti la an nnur kufutwa/ kufungiwa

    Kutokana na mwenendo wa gazeti hili kuna kila dalili za gazeti hili la kiislam kufutwa au kufungiwa kwani limeonyesha dhahiri bila ya uficho kuwa na mwelekeo wa kichochezi , mwelekeo wenye kuamsha na kujenga hisia kali za kidini hasa kwa waislam ambao kwa miaka mingi wamekuwa ni watu wenye...
  4. K

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    Naomba nianze kwa kuonyesha masikitiko yangu na hasa katika zama hizi za kikwete, suala hili laudini litatupeleka pabaya kwani sasa hivi uhuru na habari leo ndiyo magazeti yaliyo bize sana kuzungumzia masuala ya udini sijui wana maslahi gani, ni vema wakawa mfano wa kulinda maadili ya uandishi...
  5. K

    kongamano la katiba UDSM Lahujumiwa

    Hatutaki siasa za maji taka , kama ni kweli sasa hao ndiyo wanaochochea udini ili kulinda maslahi ya watawala wa namna yao, ni upuuzi inngawa najua kwa maslahi ya kisiasa ya kundi fulani mipango kama hiyo ya kuhujumu kongamano la katiba haitafanikiwa , na washindwe na walegee.
  6. K

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Kumesha jengeka utamaduni ndani ya ccm, pindi chama chochote kinapoonekana kuwa tishio kwao utasikia au ni wadini , au ni ukabila , historia inaonyesha 1995 NCCR mageuzi ilikuwa chama cha kichaga, 2000 CUF ilikuwa ni chama cha kiislamu tena mpaka kikatuhumiwa kuingiza majambia, na sasa 2010...
  7. K

    Chatanda azua tena mvutano CCM, Chadema Arusha

    kama kuna watu wa kukumbukwa kwa kuifanyanya tanzania iunze 2011 vibaya ni hawa watu wawili, na ndiyo the most hated people in Tanzania at the moment,hawa hawafai kuliko hata kushindwa kwa serikali kuwajibika ,popote jina la makamba linapotamkwa hasira za watu zinaongezeka , makamba na...
  8. K

    Chatanda azua tena mvutano CCM, Chadema Arusha

    Katika viongozi wote wa kisiasa na kidini waliozungumza kuhusiana na tukio la mauaji ya arusha, ni hawa viongozi watatu ndiyo walionekana kuwa na mtazamo finyu na uwezo uwezo mdogo wa kufikiri ,kwani haiingii akilini eti tu kwa sababu ya maslahi binafsi ya kisiasa unakuwa mtu usiyejali hata...
  9. K

    CHADEMA sasa KUINGIA GHARAMA ZA MISIBA NA MATIBABU YA WAHANGA WA MAANDAMANO

    Jamani nafikiri ingependeza sana kama mazishi haya yange pewa full media coverage,miongoni mwa vyombo hivyo iwe TBC kwani ni chombo kinachofanya kazi kwa pesa ya walipa kodi.ili watanzania wote waone unyama na udhalimu huu uliofanywa na serikali inayodai kuchaguliwa na watanzania ili iwauwe kwa...
  10. K

    CHADEMA sasa KUINGIA GHARAMA ZA MISIBA NA MATIBABU YA WAHANGA WA MAANDAMANO

    Kiuhalisi mazishi haya yananikumbusha madhila yaliyokuwa yanawapata wapigania uhuru wa africa ya kusini kama yalivyoigizwa kwenye mkanda wa SERAFINA , Napongeza hekima na busara na utashi ulioonyeshwa na Chadema wa kuamua kuyafanya mazishi haya kuwa ya kitaifa na naomba media coverage 100%...
  11. K

    Tabia ya polisi kupiga raia katika maandamano ya amani ni kwa maslahi ya nani?

    Kinachonishangaza katika hili ni hiki , tunaambiwa RPC arusha alitoa kibali cha maandamano na mkutano tarehe 4, siku hiyo hiyo jioni IGP akatangaza kusitisha maandamano kwa kile alichokiita taarifa za kiintelijensia , swali ninalojiuliza ni hili, je taarifa hizi RPC wa arusha hakuwa nazo ila...
  12. K

    Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

    Kwa tabia na hulka alizonazo katibu mkuu wa ccm mr makamba ni hatari sana kwa utulivu wa nchi yetu kwani anafanya maamuzi yake kishabiki na bila kupima athari za maamuzi na matamshi anayoyatoa , mimi napendekeza vyombo vya ccm vimuondoe makamba mapema kutoka ukatibu mkuu kabla hajasababisha...
  13. K

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Kauli ya serikali ya kutaka kuanzisha mazungumzo sasa awkati tayari watu wamepoteza maishani upuuzi na matusi kwa watanzania , CCM wameamua kwa dhati kubaka haki ya watanzania kwa kutumia dola, sasa tuone hayo maguvu yenu yatawafikisha wapi, watu ambao dhamiri na nafsi zenu zimekufa na zinanuka...
  14. K

    Tamko la raisi juu ya yale ya Arusha ni lipi?

    Hawezi kusema lolote kwani yeye ndiye aliyewatuma, mafisadi ni bora kuliko maisha ya watanzania, wanakotupeleka siko, wanaojitoa muhanga kwa kujilipua walianza hivyohivyo, hatime wtu wanakata tamaa na mwishoe, wanaibuka watu wenye misimamo mikali, lakini yote husababishwa na tawala kandamizi.
  15. K

    Kama serikali inasema haina pesa chadema tangazeni matmezi ya hisani watu wachangie g

    Pamoja na wizi ulikithiri serikalini katika kila idara bado serikali kupitia selina kombani bila hata aibu yoyote anasimama na kutuambia eti serikali haina pesa kwa ajili ya kugharamia uuandaaji wa katiba mpya , SASA MIMI NASEMA TUNAOMBA CHADEMA WATANGAZE MATEMBEZI YA HISANI NCHI NZIMA ILI...
  16. K

    Akina gbagbo wake wengi africa ndiyo maana anagoma kuachia ngazi

    Huu ni ukweli usipipngika kwani viongozi wengi wa Africa ni wachakachuaji wakubwa wa matokeo ya kura,na ndiyo maana hata laisi wenu kiweteee hawezi kumlaani Gbagbo, kwa sababu naye ni walewale. hana jipya aibu imemtanda uso mzima kwani sote tunajua hatukumchagua bali tulimchakachua.
  17. K

    Mseto wa zanzibar waiweka CUF njia panda kama chama cha upinzani

    Katika mitego mibaya ambayo Chama cha CUF wamewahi kutegewa na kunaswa ni kujikuta wameingia kwenye mseto ambao kimsingi umewavua sifa ya kuwa watetezi wa wananchi kwa kuleta changamoto mbadala, kwa kujiunga na sisiem na serikali hiyo kuwa chini ya uongozi wa sisiem na makamu wa pili wa...
  18. K

    Tabia ya polisi kupiga raia katika maandamano ya amani ni kwa maslahi ya nani?

    Vitendo hivi vya ukandamizaji vinaelekea kuota mizizi katika nchi yetu ,lakini kinachonitisha ni pale wananchi wanaohisi kunyimwa haki zao na kuendelea kuwa wahanga wa kuchakachuliwa maisha yao kwa maslahi ya mafisadi wachache kama makamba watakapo fikia hali ya kuwa sugu na hatimaye kuamua...
  19. K

    Ni bora CHADEMA ifutwe

    Ndugu yangu kwanza nomba nikupe pole kwa maoni yako yasiyo na tija wala nmaslahi kwa taifa, kinachokufurahisha ni nini kwa uchafu wa ccm , hebu wahurumie watanzania maskini wanaoteseka kwa sababu ya mfumo mbovu usiojali maisha ya wanyonge , naomba jihurumie na wewe mwenyewe kwa sababu Dowans...
  20. K

    Heri serikali ya kikoloni kuliko hii ya ccm

    Kwanza ninawapongeza kwa kutambua kuwa ccm siyo wa kuwachekea, wasonge mbele na maandamano hayo, ingawa bado sijawaelewa kitu kimoja wao ni chama cha upinzani au ni mshirika mwenza wa serikali ya ccm , unawezaje kuwa serikalini bado unalitaka joho la upinzani, hivi 2015 watawaambia nini...
Back
Top Bottom