Mwenye uzi vipi bhana. Hii ni nchi, sio shimo la taka kwamba kila mtu anatupa kadri anavyojisikia. Hivi kila mtu akifanya atakavyo utajisikiaje. Vyakula, mafuta, kampuni za cm, dala dala, mabasi, umeme nk kila mtu apandishe anavyotaka kwa kuwa hakusaidiwa kujenga itakuwaje? Tuliza msuka, elimu...
Hiyo sio kweli. Mleta mada sio mtumishi wa gov na hana idea jinsi ya hela zinavyotolewa. Huwez kuoda kiasi hicho cha pesa bila issue ya msingi. Na ukumbuke hela zote zatoka hazina. Na cha zaidi hela zilizozuiliwa kwa ajili ya sikukuu haziwezi kutoka bila maelekezo ya juu na si mkurugenzi. Jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.